Mwananchi Digital
UBINGWA WAOTA MBAWA, TAZAMA KINACHOENDELEA KMC HIVI SASA
- Title
- UBINGWA WAOTA MBAWA, TAZAMA KINACHOENDELEA KMC HIVI SASA
- Runtime
- 1:11
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Meneja afunguka safari ngumu ya Mohammed Hussein
- Runtime
- 2:04
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Meneja wa mchezaji Mohammed Hussein, Carlos Sylvester, amesema ameshindwa kuficha hisia zake za furaha baada ya mchezaji huyo kukamilisha safari ngumu aliyopitia kwa kipindi kirefu. Amesema hakutarajia mambo kufikia hatua hiyo, akieleza kuwa walimtegemea Mungu katika kila hatua hadi kufikia mafanikio hayo.
Carlos amesema Mohammed Hussein alikumbana na changamoto nyingi, ikiwemo kutukanwa, kusemwa vibaya na kutishiwa, huku akieleza kuwa kulikuwa na nyakati ambazo walitamani kukata tamaa. Hata hivyo, amesema walichagua kuvumilia na kuendelea kumuomba Mungu, jambo ambalo limewapa nguvu na hatimaye kushuhudia kile alichokiita maajabu ya Mwenyezi Mungu.
Aidha, Carlos amesisitiza kuwa yeye pamoja na Mohammed hawakuwahi kujibu maneno yaliyokuwa yakisemwa dhidi yao, licha ya maumivu waliyopitia. Amesema mchezaji huyo alikuwa akiumia na hata kulia kutokana na presha ya mazingira yaliyomzunguka, lakini waliona busara kuvumilia hadi mwisho, akihitimisha kwa kusema kuwa a...
- Title
- Hersi azungumzia hali ya Pacome baada ya mechi
- Runtime
- 0:30
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Rais wa Yanga, Hersi Said, amesema klabu hiyo bado haijapata taarifa kamili kuhusu hali ya mchezaji Pacome Zouzoua baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania, lakini amethibitisha kuwa ameanza kupatiwa huduma ya kwanza.
Amesema baada ya kukamilisha huduma hizo za awali, klabu itampeleka mchezaji huyo katika hospitali yenye huduma bora zaidi kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya kina, huku akihidi kuwa taarifa kamili kuhusu hali yake zitatolewa baadaye.
- Title
- AHMED ALLY : KUNA WATU WALIKUA WANACHEZA MECHI ZETU LIGI KUU
- Runtime
- 6:11
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- KOCHA SIMBA ATANGAZA KIAMA KOMBE LA FA, ATAJA SABABU SIMBA KUKOSA UBINGWA LIGI KUU
- Runtime
- 2:28
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Muliro: Ulinzi Dar sio kwa ajili ya Sabasaba pekee, ataja sababu
- Runtime
- 1:21
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuonekana kwa askari wakifanya doria na kuimarisha ulinzi ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya kawaida ya jeshi hilo.
Muliro amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 29, 2026 wakati akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu.
“Labda leo umeona kwa sababu unazunguka, lakini hali hii imekuwepo kwa muda mrefu. Ni wajibu wetu kuhakikisha wananchi na mali zao wanakuwa salama,” amesema.
Muliro amesema ulinzi huo hauhusiani na Maonyesho ya Sabasaba pekee, bali unalenga kuhakikisha usalama wa wakazi wote wa Dar es Salaam.
“Ulinzi huu ni kwa wananchi wote, kuanzia Kibamba, Tegeta, Kunduchi, Bunju B, Kitunda, Mwanagati, Msongola, Chanika hadi Kigamboni. Lengo ni kuhakikisha maeneo yote ya Dar es Salaam yanakuwa salama, si eneo la Sabasaba pekee,” amesema.
- Title
- Tazama Ulinzi ulivyoimarishwa Dar, askari wengi vituo vya mwendokasi , makutano ya barabara
- Runtime
- 1:54
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara.
Mwananchi imezunguka maeneo mbalimbali ya jiji na kushuhudia askari wakiwa wamepangwa katika vikundi kwenye vituo vya mabasi ya mwendokasi na makutano ya barabara zinazoelekea katikati ya jiji, ikiwemo Mtoni kwa Azizi Ally, Tazara, Buguruni, Uhasibu, Ubungo, Mwenge, Magomeni, Mnazi Mmoja na Fire.
Mbali na askari waliokuwa na silaha, wengine walionekana wakiwa wamevalia vifaa vya kutuliza ghasia, huku magari ya polisi ya kuwatawanya waandamanaji (maarufu washawasha) na magari ya doria yakizunguka kutoka eneo moja hadi jingine kama sehemu ya kuimarisha usalama.
Hata hivyo, Juni 26, 2026 Serikali ilisitisha mikutano ya hadhara ya vyama vyote vya siasa nchini kwa sababu ya kile ilichoeleza kuwapo kwa...
- Title
- "INAHITAJIKA MIUJIZA" AMRI KIEMBA AITABIRIA TIMU HII UBINGWA LIGI KUU, AMCHAMBUA MVP, MFUGAJI BORA !
- Runtime
- 26:31
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- AFRIKA KUSINI YANYOLEWA KOMBE LA DUNIA, KOCHA HUGO BROOS AIBUA JIPYA
- Runtime
- 1:13
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Kocha wa Afrika Kusini, Hugo Broos, amebadili kauli yake akisema kwamba, atajipa muda wa kutafakari kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho wa kuachana na timu hiyo, huku akisema milango bado iko wazi kuendelea kuinoa timu hiyo.
Kauli hiyo inakuja huku kukiwa na matamanio makubwa kutoka kwa mashabiki na wadau wa soka wanaotaka kuona mwelekeo wa kikosi hicho baada ya kuishia hatua ya mtoano kwenye Kombe la Dunia kwa kufungwa na Canada bao 1-0.
Broos amesisitiza umuhimu wa kufanya uamuzi kwa utulivu bila kukurupuka, ili kuhakikisha hatua inayofuata inaleta tija kwake na Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA).
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 74, kabla ya hapo amewahi kusema baada ya Fainali za Kombe la Dunia 2026, atastaafu kufundisha soka, hali iliyofanya SAFA kuanza mchakato wa kumsaka mrithi wake huku majina kadhaa ya makocha yakitajwa akiwemo Pitso Mosimane.
Broos akiwa na kikosi cha Afrika Kusini, ameweka rekodi ya kuiongoza timu hiyo k...
- Title
- VIONGOZI 16 WA CUF ZANZIBAR WATANGAZA KUJIUZULU NAFASI ZAO
- Runtime
- 2:24
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar leo Jumapil, Juni 28, 2026 wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi 15 waliojiondoa Zanzibar, Omar Mohamed Hassan amesema wamefikia uamuzi huo kutokana na kutoridhishwa na mfumo wa uongozi uliopo pamoja na migogoro ya mara kwa mara inayokikumba chama.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Wilaya Kaskazini A, Vuai Kona Haji amesema tangu ajiunge na CUF hajawahi kuwa mwanachama wa chama kingine lakini sasa ameona hana sababu ya kuendelea kutokana na migogoro isiyokwisha.
Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa CUF Zanzibar, Haroub Mohamed Shamsi amesema hadi sasa chama hakijapokea barua rasmi kutoka kwa viongozi hao.
"Chama kitatoa tamko rasmi endapo kitapokea barua za kujiuzulu. Hadi sasa hakuna barua yoyote iliyowasilishwa kwetu," amesema.
- Title
- AFRIKA YAFANYA MAAJABU 'SHARPNESS' YA MAYELE KOMBE LA DUNIA, WASAUZI DIMBANI LEO UCHAMBUZI WA NAHEKA
- Runtime
- 25:17
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- Zambia yaipongeza Tanzania kwa mafanikio sekta ya umeme
- Runtime
- 1:57
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati nchini Zambia, Arnold Simwaba, ameipongeza Tanzania kwa mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika sekta ya umeme, akieleza kuwa hatua hizo zimeimarisha ushirikiano wa kikanda na kuongeza fursa za maendeleo.
Akizungumza Jana, mkoani Dodoma katika kikao kilichowakutanisha wataalamu kutoka Tanesco, Wizara ya Nishati ya Zambia, Mamlaka ya Umeme Vijijini ya Zambia na Zesco, Simwaba amesema Tanzania imeonyesha mafanikio makubwa kupitia utekelezaji wa miradi ya umeme na kampeni za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Amesema nchi hizo mbili zinaendelea kushirikiana katika utekelezaji wa Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Tanzania na Zambia (Taza), ambao utaunganisha gridi za umeme za mataifa hayo na kurahisisha biashara ya umeme kikanda.
“Mkutano huu umetupa fursa ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Tanzania, hususan katika utekelezaji wa miradi ya umeme na utoaji wa elimu kuhusu matumizi ya nishati safi ya ku...
- Title
- KOCHA SIMBA AFAFANUA ANAYOUPIGIA HESABU UBINGWA WA LIGI KUU AKIBAKI NA MOJA
- Runtime
- 1:47
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- KOCHA SINGIDA BS: TULIFIKIRIA KUWAPA SIMBA MECHI, WAMETUNYIMA NAFASI, MPIRA UKO HIVYO
- Runtime
- 2:06
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- MSEMAJI SINGIDA BS: TULICHEZA NA SIMBA KUKAMILISHA RATIBA, TUMEJIFUNZA HAYA TUKIPOTEZA KWA BAO 2-0
- Runtime
- 4:26
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- AHMED ALLY AFUNGUKIA PAREDI LA UBINGWA, JANGWANI IILIVYOUMIZWA KUIFUNGA SINGIDA, MUDA WOWOTE ITAKUFA
- Runtime
- 17:08
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano...
- Title
- Ajali:Sita wanusurika kifo,Lori likfeli breki Moshi!
- Runtime
- 4:00
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Moshi.Watu sita wamenusurika kifo baada ya lori aina ya Fuso linalodaiwa kufeli breki kupoteza mwelekeo na kuvamia vibanda vya wafanyabiashara katika Soko la Manyema, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Tukio hilo limetokea leo Juni 27, 2026 majira ya saa mbili kasoro asubuhi, ambapo gari hilo lililokuwa likitokea katikati ya mji lilianza kupoteza uelekeo kuanzia eneo la Soko la Kati kabla ya kushuka kwa kasi likipitia barabara ya Double Road, Mission Street na Swahili Street, kisha kuingia katika eneo la soko na kuharibu vibanda pamoja na miundombinu.
Kwa mujibu wa mashuhuda,lori hilo lilianza kupata hitilafu ya breki likiwa eneo la Soko la Kati kabla ya kuendelea kushuka kwa kasi kupitia barabara hizo.
Katika hatua hiyo, dereva alishindwa kulidhibiti na kuingia Mtaa wa Riadha moja kwa moja na kugonga daraja lililokuwa jirani na vibanda vya wafanyabiashara na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.
Akizungumzia tukio hilo, M...
- Title
- Mama atumbikiza kichanga kwenye shimo la choo Moshi
- Runtime
- 3:28
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Moshi. Mwanamke mmoja, mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, Kata ya Rau, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, anayefahamika kwa jina la Scholastica Ngowo (32), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa mimba na kutupa kichanga kinachodaiwa kuwa na umri wa takribani miezi saba kwenye shimo la choo.
Inaelezwa kuwa mwanamke huyo ambaye ni mama wa watoto wanne alikuwa ni mjamzito na kwamba kwa siku kadhaa hakuonekana mtaani hapo mpaka hapo ilipobainika kuwa amejifungua kichanga hicho na kukitupa chooni.
Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani hapa, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kuopolewa kwa kichanga hicho leo ambacho amesema kilitolewa kwenye shimo hilo tayari kikiwa kimefariki.
Akizungumzia tukio hilo, mama mzazi wa binti huyo, Elizabeth Ngowo amesema tukio hilo limemhuzunisha sana na ni tukio la ukatili na kwamba halipaswi kufanywa na jamii.
Naye, diwani wa kata hiyo, Stallone Malinda amesema tukio limewashangaza sana na kuonyesha ni ...
- Title
- #live : PPP as a Strategic Financing Engine for FYDP IV and Tanzania Vision 2050.
- Runtime
- 3:36:04
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- Public-Private Partnership (PPP) as a Strategic Financing Engine for FYDP IV and Tanzania Vision 2050.
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA NANE TAREHE 26 JUNI, 2026
- Runtime
- 1:58:56
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA NANE TAREHE 26 JUNI, 2026
- Title
- MAPYA YAIBUKA HORMUZ, MELI YASHAMBULIWA
- Runtime
- 3:22
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Geneva. Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Bahari (IMO), limesitisha kwa muda mpango wake wa kuwaondoa zaidi ya mabaharia 11,000, waliokwama katika Mlango wa Hormuz baada ya meli moja ya mizigo kushambuliwa, wakati ikipita katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji, wa kimataifa.
Mkurugenzi Mkuu wa IMO Arsenio Dominguez, amesema mabaharia kadhaa tayari walikuwa wamehamishwa kwa usalama, lakini operesheni hiyo imesimamishwa ili kuhakikisha kunakuwa na dhamana za kutosha za usalama kabla ya kuendelea, pia amesisitiza kuwa usalama wa mabaharia unabaki kuwa kipaumbele cha kwanza cha shirika hilo.
Shambulio hilo lilitokea Alhamisi, baada ya Shirika la Uingereza la Ufuatiliaji wa Usalama Baharini (UKMTO), kuripoti kuwa meli iligongwa na kombora lisilojulikana ikiwa umbali wa maili 7.5 za baharini, kusini mashariki mwa bandari ya Dahit nchini Oman, kukiwa hakuna mtu aliyeripotiwa kujeruhiwa, huku kampuni ya usimamizi wa hatari baharini ya Vanguard ikisema kuwa, m...
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA HAMSINI NA SABA JUNI 25, 2026
- Runtime
- 3:37:15
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA HAMSINI NA SABA JUNI 25, 2026
- Title
- WADAU WA BIASHARA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI SOKO LA MITAJI NCHINI
- Runtime
- 4:34
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Charles Shirima amewaalika wadau wa biashara na wawekezaji kukimbilia fursa iliyop ya ujumuishaji wa kifedha na ukuaji wa soko la mitaji nchini.
Shirima ameyazungumza hayo wakati wa hafla ya kuorodheshwa kwa hati fungani ya Kiislamu ya muda mfupi ya KCB Sukuk Mapato iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
KCB Mapato Sukuk ambayo imevutia uwekezaji wenye thamani ya TZS bilioni 30.24, sawa na 302% ya lengo la awali.
Nae Mkuu wa Kitengo cha Islamic Banking, Amour Muro, alisema tukio hilo la kuorodhesha katika soko la mitaji ni mafanikio ya sekta ya fedha na kuwataka watanzania wengi zaidi kukimbilia fursa hizo.
Aidha Amur alifafanua kuwa KCB Mapato Sukuk imevutia uwekezaji wenye thamani ya TZS bilioni 30.24, sawa na 302% ya lengo la awali.
- Title
- AFRIKA KUSINI YAANDIKA HISTORIA KOMBE LA DUNIA, MASEKO ATOA UJUMBE KWA WALIOWABEZA
- Runtime
- 4:42
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Afrika Kusini imeandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufuzu hatua ya 32 bora kwa mara ya kwanza tangu ianze kushiriki mashindano hayo mwaka 1998.
- Title
- TETEMEKO LATIKISA VENEZUELA, WAKAZI WAKIMBILIA MITAANI KWA HOFU
- Runtime
- 2:48
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Caracas, Venezuela. Wakazi wa mji mkuu wa Venezuela, Caracas wameelezea hofu kubwa waliyoipata baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi kutokea kwa mfululizo Jumatano, yakisababisha uharibifu wa majengo na kuwalazimu maelfu ya watu kukimbilia mitaani kwa hofu ya mitikisiko, mingine.
Mwandishi wa habari Nicole Kolster alisema alikuwa nyumbani kwake, katika ghorofa ya saba wakati nyumba ilipoanza kutikisika kwa nguvu, na kuona madirisha yakiyumba na haraka akajikinga kati ya mlango wa mbele na ukuta, wa mawe akihofia jengo lingeweza kuporomoka, wakati wowote.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tetemeko la kwanza lilikuwa na ukubwa wa kipimo cha 7.2 na la pili 7.5 katika kipimo cha Richter, yakitokea ndani ya sekunde chache na hadi sasa, huku idadi kamili ya waliofariki au kujeruhiwa bado haijajulikana, huku mamlaka zikiendelea kutathmini kiwango, cha uharibifu.
Kolster alisema baada ya tetemeko hilo, majirani walitoka nje na kuwataka wakazi wote kuh...
- Title
- KENYA YASIMAMA! GEN Z YAREJEA TENA, YATIKISA MIJI MIKUBWA
- Runtime
- 3:11
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Nairobi, Kenya. Polisi nchini Kenya wafunga barabara muhimu zinazoelekea katikati mwa jiji la Nairobi, huku maandamano ya kitaifa yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen Z yakitarajiwa kufanyika leo, ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu maandamano makubwa ya kupinga serikali yaliyotikisa nchi, mwaka 2024.
Maelfu ya Wakenya waliandamana mwezi Juni 2024, kupinga ongezeko la kodi lililopendekezwa na serikali na kufikia hatua ya waandamanaji, kuvamia jengo la Bunge jambo lililosababisha serikali kuondoa muswada wa fedha uliokuwa ukipingwa vikali, na wananchi.
Waandamanaji wamesema maandamano ya mwaka huu, yanalenga kudai haki kwa zaidi ya watu 80 waliouawa na wengine wengi kujeruhiwa, wakati wa maandamano ya kupinga kodi mwaka 2024, pamoja na maandamano ya kumbukumbu yaliyofanyika, mwaka jana.
- Title
- #live RAIS SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO LA TIBA YA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI, KCMC MOSHI
- Runtime
- 1:10:11
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- #live RAIS SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO LA TIBA YA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI, KCMC MOSHI
- Title
- #live RAIS SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO LA TIBA YA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI, KCMC MOSHI
- Runtime
- 44:15

- 51:40
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- #live RAIS SAMIA AKISHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO LA TIBA YA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI, KCMC MOSHI
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA HAMSINI NA SITA JUNI 24, 2026
- Runtime
- 1:41:01
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA HAMSINI NA SITA JUNI 24, 2026
- Title
- TAZAMA TAMBO ZA ALI KAMWE BAADA YA MCHEZO NA AZAM FC
- Runtime
- 5:07
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- UTANI WA ALI KAMWE ZAKA ZAKAZI ASHINDWA KUVUMILIA ATOA NENO ZITO
- Runtime
- 3:01
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- AHMED ALLY ASHANGAA KUSIKIA AZAM KAFUNGWA 3-0 NA YANGA , ATAJA SABABU
- Runtime
- 1:34
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MBUNGE ASHA BARAKA AIBANA SERIKALI HUDUMA ZA AFYA KIGOMA
- Runtime
- 1:25
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Asha Baraka leo Juni 24 2026 Bungeni Dodoma ameibana serikali kuwekwa kwa jitihada za kusogeza na kuboresha huduma za afya ili ziwafikie wananchi kwa urahisi Wilaya ya Uvinza Mkoa wa Kigoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI - Afya), Mhe. Dkt. Jafar Rajab Seif amejibu hilo kutoka kwa Mhe. Asha Baraka juu ya mpango wa Serikali na mikakati ya uboreshaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.
Mhe. Seif amesema kuwa Serikali inaendelea na hatua za tathmini katika vituo vyote vya afya nchini vitakavyotoa huduma kwa wananchi na Wilaya ya Uvinja ni miongoni mwa Wilaya zilizopo kwenye mpango mkakati wa kuhakikisha vinajengwa vituo vya afya vitakavyotoa huduma kulingana na mahitaji.
- Title
- Chipsi soda Kombe la Dunia Sh83,800
- Runtime
- 2:34
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Unaweza kuwaona mashabiki wa soka wakiwa na raha katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 zinazoendelea huko Marekani, Canada na Mexico lakini nyuma ya raha hizo kuna gharama kubwa ya kifedha ambayo wanaingia ili kumudu maisha ya kawaida katika nchi hizo.
Kwa mfano kwa mlo mmoja tu wa chipsi zenye saladi na chupa moja ya soda, mtu atalazimika kutumia kiasi cha Doka 31.99 (Sh83,000).
Gharama ya sahani moja ya chips ambayo kwa huku nyumbani Tanzania bei ya chini ni Sh2,000, katika fainali za Kombe la Dunia inauzwa kiasi cha Dola 22 (Sh57,600) na chupa moja ya soda inauzwa kiasi cha Dola 9.99 (Sh26,170) wakati kwa huku nyumbani ni Sh700 tu.
Chupa moja ya maji ya kunywa ambayo kwa huku nyumbani Tanzania inauzwa hadi Sh400, katika Fainali hizo za Kombe la Dunia inauzwa kwa Dola 9.99 (Sh26,170).
Kwa watumiaji vileo, glasi moja ya bia inauzwa kiasi cha Dola 18.99 (Sh49,800) wakati mkate wenye nyama katikati (baga) unauzwa kiasi cha Dola 16.99 ...
- Title
- The talent problem: Addressing Tanzania's skills gap challenge
- Runtime
- 52:34
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- In this exclusive interview with Q-Sourcing Servtec Group, we look at the solutions to Tanzania’s skills gap, which has become one of the country’s biggest economic challenges: employers increasingly say jobs exist, but many applicants lack the mix of technical, digital and workplace skills required to fill them.
- Title
- Baa13 zapigwa kufuli Kinondoni kisa kelele, bado operesheni fungia inaendelea
- Runtime
- 8:42
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- EXCLUSIVE INTERVIEW: KUMBE ANKO MAFIX UONGO ALIANZIA SHULE
- Runtime
- 19:46
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- VITA YAZUKA TENA, ISRAEL YAUWA WATU LEBANON
- Runtime
- 3:15
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Lebanon. Watu wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon, hii ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Lebanon, tukio hilo ni la kwanza kuripotiwa tangu makubaliano mapya ya kusitisha mapigano, kati ya Israel na kundi la Hezbollah yaanze kutekelezwa mwishoni, mwa wiki iliyopita.
Shirika la Habari la Taifa la Lebanon (NNA) lilisema wanaume hao wawili waliuawa, walipokuwa karibu na tingatinga lililokuwa likifungua barabara, katika mji wa Nabatieh al-Fawqa, wakati huo timu za uokoaji zilikuwa zikiendelea na kazi ya kuondoa vifusi na kutafuta miili iliyokwama chini ya mabaki ya majengo yaliyoharibiwa.
Jeshi la Israel lilisema wanajeshi wake walifyatua risasi dhidi ya watu wanne, waliowataja kuwa wapiganaji wa Hezbollah waliokuwa wakitumia tingatinga, na pikipiki katika eneo la mlima wa Ali al-Taher, mashariki mwa Nabatieh al-Fawqa, Jeshi hilo lilidai kuwa watu hao waliingia katika eneo la usalama, lililotangazwa na Israel na kupuuza ris...
- Title
- NEEMA MAJULE: CCM NI TANURU YA KUPIKA VIONGOZI
- Runtime
- 9:01
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- VITA YA IRAN YATIKISA MAREKANI, BUNGE LAMWEKEA TRUMP VIKWAZO
- Runtime
- 3:09
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Marekani. Bunge la Marekani limeandika historia kwa kupitisha kwa mara ya kwanza azimio la mamlaka ya vita, (War Powers Resolution) linalomtaka Rais Donald Trump kusitisha vita dhidi ya Iran au kupata idhini ya Bunge kabla ya kuendelea na operesheni za kijeshi, hatua hiyo imeonekana kama onyo kali kutoka kwa wabunge dhidi ya namna Ikulu ilivyoshughulikia, mgogoro huo.
Azimio hilo lilipitishwa Jumanne na Seneti kwa kura 50 dhidi ya 48, huku baadhi ya maseneta wa Chama cha Republican wakijiunga na Democrats kuunga mkono hatua hiyo, mapema mwezi huu Baraza la wawakilishi pia lilikuwa limepitisha azimio hilo kwa kura 215, dhidi ya 208.
Hata hivyo, azimio hilo halina nguvu ya kisheria, kwani halitapelekwa kwa Rais Trump kutiwa saini kama sheria, badala yake linaonyesha msimamo na hisia za Bunge kuhusu vita hivyo vinavyoendelea, na namna vinavyopaswa, kusimamiwa.
Akijibu hatua hiyo, Trump alilikosoa vikali azimio hilo kupitia mtandao wake wa Truth Socia...
- Title
- VITUKO VYA ANKO MAFIKSI, FAHAMU JINA LAKE LILIPOANZIA
- Runtime
- 1:55
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Mtoto mbaroni akituhumiwa kumuua baba yake Dar, afukia mwili chumbani
- Runtime
- 2:18
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- SIMANZI MTOTO WA MIAKA TISA ANYONGWA HADI KUFA NA WASIOJULIKANA ,MAJIRANI WASIMULIA
- Runtime
- 2:58
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Mwanafunzi wa darasa la tatu, Moreen Leonard Nyamajeje (9), mkazi wa Mtaa wa Lilungu, Manispaa ya Mtwara Mikindani, anadaiwa kunyongwa hadi kufa na watu wasiojulikana Juni 21, 2026, akiwa anacheza na watoto wenzake karibu na Kambi ya Jeshi la Magereza Lilungu.
Inadaiwa watu hao walifika na kuwaita watoto hao kwa ishara kabla ya kumchukua Moreen na kutokomea naye kuelekea eneo la shamba la Magereza ambako baadaye aliuawa na mwili wake kupatikana porini ukiwa na dalili za kunyongwa.
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limethibitisha tukio hilo na linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini waliohusika, huku wakazi wa eneo hilo wakieleza hofu na kuitaka serikali kuimarisha ulinzi na kuchukua hatua za haraka.
- Title
- Simanzi za tawala mwili wa RPC Tabora ukiagwa, wasifu wake wasomwa
- Runtime
- 5:33
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Profesa Kitila: CCM ni chama cha demokrasia , awapiga dongo upinzani
- Runtime
- 1:35
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Profesa Kitila: Wananchi wasidanganywe, CCM pekee ndiyo yenye ajenda ya Katiba Mpya
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA TANO TAREHE 23 JUNI, 2026
- Runtime
- 3:16:42
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA TANO TAREHE 23 JUNI, 2026
- Title
- MLANGO WA HORMUZ MAKUBALIANO MAPYA WASHINGTON, TEHRAN
- Runtime
- 3:14
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Uswisi. Iran imekanusha madai yaliyotolewa na Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance, kwamba imekubali kuwaruhusu wakaguzi wa nyuklia kurejea nchini humo, baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Washington na Tehran, yenye lengo la kufikia makubaliano ya kudumu ya kumaliza mvutano uliosababishwa na vita, vya hivi karibuni.
Katika mazungumzo yaliyofanyika katika mji wa Bürgenstock nchini Uswisi, Vance alisema majadiliano kuhusu kurejeshwa kwa wakaguzi wa International Atomic Energy Agency (IAEA), yanaweza kuanza mara moja huku Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kupitia msemaji wake Esmail Baqai, ilieleza kuwa Tehran haijatoa ahadi yoyote mpya kuhusu ukaguzi, wa nyuklia.
Wakati huo huo, Marekani imetangaza msamaha wa muda wa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Iran, hatua inayoiruhusu Tehran kuuza mafuta yake kwa kutumia dola za Marekani kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa, Uamuzi huo umetolewa kupitia leseni maalumu ya siku 60, iliyotolewa na Wizara ya Fedha, ya ...
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA NNE TAREHE 22 JUNI, 2026
- Runtime
- 3:51:44
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA HAMSINI NA NNE TAREHE 22 JUNI, 2026