Mwananchi Digital
WANAFUNZI DarTU WATEMBELEA MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED
- Title
- WANAFUNZI DarTU WATEMBELEA MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED
- Runtime
- 12:26
- Date posted
- 13 hours ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Budget 2026/27: What Tanzanians, businesses and investors want to see
- Runtime
- 32:59
- Date posted
- 16 hours ago
- Description
- In this exclusive budget dialogue, KPMG Tanzania Tax Partners Fabiola Ssebuyoya and Samwel Esupu share their perspectives on the key tax and fiscal policy measures they believe should be prioritised in the 2026/27 national budget to support economic growth, attract investment, strengthen domestic revenue mobilisation, and accelerate Tanzania’s development agenda.
- Title
- EXCLUSIVE INTERVIEW PART 2 || MAGORI AFUNGUKA MAZITO MSIMBAZI
- Runtime
- 51:59
- Date posted
- 20 hours ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- BONI YAI AWATAJA GEN Z ANGUKO LA MBOWE CHADEMA
- Runtime
- 7:52
- Date posted
- 20 hours ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA SITA
- Runtime
- 1:29:48
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA SITA
- Title
- ZAO LA UFUTA LINAVYOENDESHA MAISHA YA ASINA
- Runtime
- 10:18
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Kila punje ya ufuta anayovuna Asina Lutumbo wa Ngunichile, Nachingwea, hubeba hadithi ya maendeleo.
Ni punje zinazoweka chakula mezani. Ni punje zinazogharamia matibabu. Ni punje zinazowapeleka watoto na wajukuu shule. Ni punje zinazogeuka matumaini ya kesho.
Kwa mara ya kwanza msimu huu, Asina amepanda mbegu bora ya ufuta aina ya Lindi2002, iliyofanyiwa utafiti na kuzalishwa hapa nchini kupitia taasisi ya TARI na kusambazwa kwa wakulima na COPRA kwa wakulima kama Asina anayeuza ufuta wake kupitia minada ya kidijitali. Asina anaamini kuwa, kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo, mavuno yake yameongezeka na ndoto zake zitafanikiwa zaidi.
Kwa Asina, shamba si kipande cha ardhi tu. Ni benki yake, ni bima yake, ni chanzo cha ustawi wa familia yake.
𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗶𝘆𝗼 𝗠𝗮𝗹𝗶 𝗦𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮𝗻𝗶, 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗽𝗼 𝗺𝗯𝗲𝗴𝘂 𝗯𝗼𝗿𝗮, 𝗺𝗮𝗮𝗿𝗶𝗳𝗮 𝗻𝗮 𝗷𝘂...
- Title
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TANO
- Runtime
- 1:30:38
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #live BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TANO
- Title
- MICHONGO CHANZO CHA FOLENI DAR ES SALAAM
- Runtime
- 16:16
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MBEGU YA MAFANIKIO SAFARI YA WAKULIMA WA UFUTA NGUNICHILE
- Runtime
- 4:03
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Hii ndiyo Mali Shambani! Kwa Seleman Mbaula wa Ngunichile, Nachingwea Mkoa wa Lindi.
Kilimo cha ufuta si zao tu bali ni biashara iliyomwezesha kubadili maisha ya familia yake. Ameweza kusomesha watoto wake na kujenga nyumba bora.
Kupitia matumizi ya mbegu bora ya ufuta aina ya Lindi zilizowezeshwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), ameongeza tija, mavuno na kipato.
Kutoka shambani hadi kwenye maisha bora huu ndio ushahidi kwamba kilimo biashara kinajenga mali, familia na mustakabali wa wadau kwenye mnyororo wa thamani wa zao hili la ufuta.
- Title
- #Live: MJADALA WA PPP KUHUSU MAGEUZI SEKTA YA AFYA NCHINI KUELEKEA DIRA 20250
- Runtime
- 2:00:40
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- UFUTA ULIVYOBEBA NDOTO YA SAFINA KUENDELEA NA MASOMO
- Runtime
- 5:00
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Mali Shambani ni zaidi ya mavuno, ni matumaini ya kesho. Katika kijiji cha Mipande, Masasi, familia ya Abdurahman Mohammed imewekeza kwenye kilimo cha ufuta kwa ndoto moja kubwa, kumpeleka binti yao Safina kujiunga na elimu ya juu.
Mwaka huu wamepanda mbegu bora ya ufuta aina ya Lindi 2002 iliyosambazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA).
Mbegu iliyotoa matumaini mapya na kuongeza matarajio ya kufanikisha ndoto za familia hii. Ukurasa mpya unatarajiwa kufunguliwa baada ya mavuno ya mbegu hii kuongezeka.
Kwa Safina, kila mmea wa ufuta unaoota shambani ni hatua moja karibu na ndoto yake ya kuwa Muhasibu katika chuo cha TIA. Kwa wazazi wake, ni tumaini la kuona juhudi za kilimo zikigeuka kuwa elimu, maendeleo na maisha bora.
Hii ndiyo nguvu ya Kilimo Biashara. Hii ndiyo Mali Shambani, ambapo shamba halizai mazao tu, linazalisha ndoto na fursa za maisha.
- Title
- #live: BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA 48 JUNI 5, 2026
- Runtime
- 1:50:21
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- DC Mpogolo ataka usimamizi wa sheria za mazingira Dar
- Runtime
- 13:12
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amezitaka Halmashauri za mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na taasisi za Udhibiti wa mazingira kusimamia Sheria kudumisha usafi wa mazingira katika mkoa huo.
Mpogolo ametoa kauli hiyo leo Juni 5,2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani, ambayo kwa mkoa wa Dar es Salaam maadhimisho yamefanyika viwanja vya mnazi mmoja.
Amesema tatizo lililopo kwenye usimamizi wa mazingira ni uwajibikaji kwani tayari sheria zipo hazihitaji kutungwa zingine.
- Title
- KIHONGOSI AWAITA HECHE, LEMA NA BONI YAI KWENYE MDAHAL
- Runtime
- 2:56
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Arumeru. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amesema anawataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), John Heche kwenye mdahalo.
Wengine ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (Boni Yai).
Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Juni 5, 2026 alipokuwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya Kanisa Katoliki Ngaramtoni, wilayani Arumeru, mkoani Arusha,ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani Arusha.
“Namtaka Heche aje hapa kushoto, Lema aje hapa kulia, Boni Yai asogee hapa na Sugu wa Mbeya akae hapa. Wote wawepo hao wanne, mimi niwe peke yangu halafu tuanze mdahalo,” amesema Kihongosi.
(Imeandikwa na Janeth Mushi)
- Title
- ZAIDI YA SH22.3 BILIONI KUBORESHA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO, SHINYANGA
- Runtime
- 3:35
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Shinyanga. Mshauri elekezi wa mradi kutoka kampuni ya Volumetric Arch Consult Berno Batenamani ameeleza kuwa, mradi wa ujenzi wa jengo la mama na mtoto lenye ghorofa tano pamoja na maabara utaanza baada ya wiki mbili kuanzia leo, ambapo itakuwa Juni 19, 2026 na utatekelezwa kwa kipindi cha miaka miwili,
Akizungumza leo Juni 05, 2026 katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi katika Hospitali ya rufaa ya mkoa ya Shinyanga (Mwawaza) Batenamani ameeleza kuwa, mradi huo utagharimu kias cha Sh. 22.3 bilioni hadi kukamilika kwake na utakuwa na majengo mawili,
Naye mtekelezaji wa mradi huo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Amar Builders Limited Vipul Naran amesema kuwa watafanya kazi kwa uaminifu na kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mkoa na kumaliza ndani ya mkataba,
Aidha, Mganga mfawidhi kutoka Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga (Mwawaza) Daktari John Luzila ametoa shukrani kwa serikali kufikia hatua ya utekelezaji ...
- Title
- PARESSO AJITOLEA KUJENGA OFISI ZA CCM KARATU
- Runtime
- 8:02
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, ametangaza mpango wa kujenga na kukarabati ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kata mbalimbali za Wilaya ya Karatu ili kuimarisha shughuli za chama ngazi za chini.
Akizungumza Juni 4, 2026 mbele ya wanachama na viongozi wa CCM wilayani humo, Paresso amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha chama kinaendelea kuwa imara na kusogea karibu zaidi na wananchi.
“Jukumu la kujenga chama linapaswa kuwa letu sote bila kujali vyeo, dini wala makabila yetu,” amesema Paresso.
Amesema tayari ameandika barua rasmi kwa Kamati ya Siasa ya CCM kuhusu azma hiyo na kupokea ushirikiano wa kutosha wa utekelezaji wake.
Katika mkutano huo, Paresso pia amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi ya kuwaletea maendeleo Watanzania pamoja na kuimarisha chama hicho.
- Title
- HUDEFO WAZINDUA SHERIA NDOGO YA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MIKOKO -LINDI
- Runtime
- 2:13
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- RAIS SAMIA AKISHIRIKI NA KUHUTUBIA JUKWAA LA 29 LA KIMATAIFA LA UCHUMI LA ST. PETERSBURG
- Runtime
- 39:12
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- RAIS SAMIA AKISHIRIKI NA KUHUTUBIA JUKWAA LA 29 LA KIMATAIFA LA UCHUMI LA ST. PETERSBURG
- Title
- BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU.
- Runtime
- 0:22
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU.
- Title
- MCHUNGAJI MSIGWA: WATAWALA WAKUBALI MAKOSA KUELEKEA MARIDHIANO YA KWELI
- Runtime
- 2:29
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Dar es Salaam. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema njia pekee ya kuliponya Taifa na kulitoa katika hali ya sasa ni watawala kukubali makosa yao na kurejea kwenye misingi ya mazungumzo ya kweli na maridhiano.
Pia, amesema ili maridhiano yawe na maana, taasisi muhimu kama Bunge, Mahakama na Polisi ziachwe zifanye kazi zao kwa uhuru bila kuingiliwa na kwamba matatizo ya kisiasa yatatuliwe kisiasa na ya kiuchumi yatatuliwe kiuchumi.
Mchungaji Msigwa amebainisha hayo Juni 2, 2026 wakati wa mahojiano maalumu na Mwananchi, jijini Dar es Salaam, akizungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa zikiwa zimepita wiki mbili tangu alipotangaza kurejea Chadema akitokea Chama cha Mapinduzi (CCM).
Msigwa ambaye alikuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10, alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea Chadema Mei 23, 2026 huku akitoa sababu kuu kwamba mauaji ya Oktoba 29, 2025 yalisukuma dham...
- Title
- BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU.
- Runtime
- 1:49:26
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU.
- Title
- Miezi 6 bila maji, kilio cha wakazi wa Tabata Darajani
- Runtime
- 10:34
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- EXCLUSIVE INTERVIEW PART 1 || MAGORI AFUNGUKA MAZITO MSIMBAZI
- Runtime
- 42:05
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- Mpaka wa Holili mguu sawa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola
- Runtime
- 3:17
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Wakati mamlaka zikiendelea kuongeza umakini na kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola nchini, hali katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro, imeelezwa kuwa shwari, huku kukiwa hakuna kisa chochote cha ugonjwa huo kilichoripotiwa hadi sasa.
Akizungumzia hali ya mpaka huo leo Juni 4, 2026 Kaimu Ofisa Mfawidhi afya mpaka wa Holili, Petro Mwani amesema hatua mbalimbali za tahadhari zinaendelea kuchukuliwa mpakani hapo ili kuzuia uwezekano wa ugonjwa huo kuingia nchini, huku wasafiri na wakazi wa maeneo ya mpaka huo wakihimizwa kuendelea kuzingatia miongozo ya afya inayotolewa na mamlaka husika.
Aidha, amesema kuwa, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea katika mataifa jirani, maafisa wa afya mpakani hapo wamechukua tahadhari zote muhimu, ikiwemo kutoa elimu kwa makundi mbalimbali, wakiwemo wafanyakazi ambao hukutana na wasafiri wa aina tofauti wanaovuka mpaka huo.
- Title
- ALLY HAPI AMJIBU HECHE, LEMA MADAI YA UHURU WA KUTOA MAONI
- Runtime
- 2:59
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi taifa Ally Hapi amejibu hoja za Makamu mwenyekiti taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pamoja na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema, kuhusu kudai uhuru wa kutoa maoni huku wakiwa katika majukwaa na kuzungumza yote wanayoyataka.
Akizungumza leo Juni 04, 2026 baada ya mapokezi yaliyofanyika katika stendi ya soko kuu, Manispaa ya Shinyanga, huku akisema kuwa anashangaa uhuru wanaodai ni upi, huku akiongeza kuwa waache kuwasumbua wananchi na tone tone sababu wao ndio walikataa kushiriki uchaguzi ambao ungewasaidia kupata ruzuku,
“Wanapanda katika majukwaa na kuzungumza yote wanayotaka pamoja na kukejeli, Je, ni uhuru upi wanaouzungumzia kama wanapanda katika majukwaa na kukejeli” amesema Hapi.
- Title
- KUBADILISHA MIUONDOMBINU HUDUMA ZA UMMA
- Runtime
- 2:04:32
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- KUBADILISHA MIUONDOMBINU HUDUMA ZA UMMA
- Title
- #live: BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA 42 JUNI 3, 2026
- Runtime
- 1:39:09
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- KUBADILISHA MIUONDOMBINU HUDUMA ZA UMMA
- Runtime
- 3:27
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- KUBADILISHA MIUONDOMBINU HUDUMA ZA UMMA
- Title
- RAIS SAMIA AKIWASILI NCHINI URUSI KWA ZIARA YA KITAIFA
- Runtime
- 19:45
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA, DODOMA
- Title
- MCHUNGAJI MSIGWA ASIMULIA NAMNA MTOTO WAKE ALIVYOMCHOCHEA KUTIMKA CCM
- Runtime
- 19:38
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- #live: BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA 41 JUNI 2, 2026
- Runtime
- 2:16:50
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MTANDAO WA VIWANGO WAELEZA KUHUSU VIWANGO VYAKE
- Runtime
- 27:54
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Mahojiano Maalumu ya na Ofisa Mkuu wa Teknolojia na Ufundi wa Yas Tanzania, Emmanuel Mallya.
- Title
- #live: FUATILIA IBADA YA MAZISHI YA LEONARD MUSUSA HATUA KWA HATUA
- Runtime
- 5:44:48
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Leonard Mususa alifariki dunia Mei 30, 2026 na ratiba iliyotolewa na familia inaeleza, atazikwa leo Jumanne, Juni 2, 2026 katika makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam.
- Title
- MAGORI AFUNGUKA BILIONI 20 ZA MO
- Runtime
- 3:55
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- #live: BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI JUNI 1, 2026
- Runtime
- 1:29:04
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #live: BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU, KIKAO CHA AROBAINI JUNI 1, 2026
- Title
- MWILI WA MUSUSA UKIWASILI NYUMBANI KWAKE MASAKI
- Runtime
- 1:45
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mwili wa Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Mususa, umewasili nyumbani kwake, Masaki jijini Dar es Salaam.
Mususa alifariki dunia Mei 30, 2026 na ratiba iliyotolewa na familia inaeleza, atazikwa kesho Juni 2, 2026 katika makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia Mwananchi.
- Title
- MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA UVAAJI WA SUTI, WADAU WAFUNGUKA VITU VYA KUZINGATIA
- Runtime
- 9:14
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kibaya zaidi, wengi wanafikiri ukishavaa suti basi tayari wewe ni mtu wa class. Kumbe suti nayo inahitaji akili ya kuivaa. Si kila koti jeusi na suruali nyeusi vinaendana, si kila kiatu kinafaa kuingia kwenye suti, na si kila anayefunga tai anapaswa kuitwa “smart”. Wengine wanavaa suti halafu wanachomekea soksi za rangi ya chungwa au viatu vilivyochoka mpaka vinaonekana vinaomba kupumzishwa.
Hapa wadau wanafunguka vitu vuya kuzingatia wakati wa uvaaji suti.
- Title
- NYAHOZA: OFISI YA MSAJILI HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHOCHOTE
- Runtime
- 1:35
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inatekeleza majukumu yake kwa uhuru na bila upendeleo kwa chama chochote cha siasa, akisisitiza kuwa vyama vyote vinachukuliwa sawa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza wakati wa ziara katika makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, leo Juni mosi, 2026, Nyahoza amesema ofisi hiyo ni mlezi wa vyama vyote vya siasa na jukumu lake ni kuvishauri na kuvielekeza pale inapobaini changamoto ili viweze kujirekebisha.
Amesema ushirikiano mzuri walioupata leo kutoka Chadema katika kujadili masuala ya utekelezaji wa sera za jinsia na madawati ya jinsia unaonesha kuwa hakuna mgongano kati ya chama hicho na Ofisi ya Msajili, akibainisha kuwa lengo la ziara hiyo lilikuwa kujadili masuala hayo na si hoja nyingine za kisiasa.
Alipoulizwa kuhusu Chadema huandikiwa barua nyingi kutoka Ofisi ya Msajili, Nyahoza amesema idadi ya b...
- Title
- BABA LEVO ALIVYOBADILI MTAZAMO WA UCHAWA KWA WANANCHI, AMFUNGUKIA ZITTO KABWE
- Runtime
- 28:53
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi saba tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema sasa anaheshimika kutokana na kazi anayoifanya jimboni kwake.
Baba Levo anasema hayo kwenye mahojiano maalumu na Mwananchi, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam alipozungumzia masuala mbalimbali kuhusu ubunge wake na uzoefu alioupata ndani ya muda huo mfupi.
Hii ni mara ya kwanza kwa Baba Levo kuwa mbunge baada ya kuwashinda wagombea wa upinzani akiwamo aliyewahi mbunge wa jimbo hilo kupitia ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwa ni msanii wa muziki na mhamasishaji.
Mbunge huyo ambaye hujitambulisha kama ‘chawa’ anasema aliamini anapendwa na wananchi wa Kigoma Mjini tangu alipokuwa diwani kupitia ACT- Wazalendo, lakini walikuwa wakimheshimu Zitto, sasa anabadili upepo, wananchi wameanza kumheshimu.
Hii ni sehemu ya pili.
- Title
- #live: MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 | MEI 31, 2026
- Runtime
- 1:57:35
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #live: MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UTEKELEZAJI WA DIRA 2050 | MEI 31, 2026
- Title
- KOCHA MGOSI AFUNGUKA SABABU ZA KUTWAA UBINGWA
- Runtime
- 4:07
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- C.E.O KWENYE RAHA ZA KUSHEHEREKEA UBINGWA WA SIMBA QUEENS
- Runtime
- 4:51
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- AHMED ALLY: HAIKUWA RAISI SIMBA QUEENS KUTWAA UBINGWA
- Runtime
- 5:00
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MAGORI: KUKOSA UBINGWA MIAKA MINNE IMETUUMIZA SANA
- Runtime
- 7:31
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MTOTO WA MIAKA SITA ALIYEPOTEA APATIKANA AMEKUFA NDANI YA BWAWA LA SAMAKI MOSHI
- Runtime
- 7:04
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Moshi.Simanzi na hasira vimetawala katika Mtaa wa Matindigani, Kata ya Pasua wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya mtoto mwenye umri wa miaka sita, Idrisa Khatibu Ramadhani, aliyekuwa akitafutwa tangu jana jioni, kukutwa amefariki ndani ya bwawa la kufugia samaki la mtu binafsi huku wananchi wakidai eneo hilo si salama kwa watoto.
Tukio hilo limelotokea leo,Jumapili Mei 31, 2026, limezua simanzi na hasira kwa wananchi wa eneo hilo wamedai bwawa hilo si salama kutokana na kutokuwa na uzio imara unaoweza kuzuia watoto kufika karibu na maji.
Akizungumza katika eneo la tukio, Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Philbert Beda, amesema walipokea taarifa za mtoto huyo kudondoka kwenye bwawa hilo majira ya saa sita mchana na kufika eneo la tukio kwa ajili ya uokoaji.
“Kwa taarifa za awali, mtoto alipotea tangu jana majira ya mchana na leo ndipo amepatikana akiwa amefariki ndani ya bwawa hilo. Chanzo halisi cha tuki...
- Title
- MALISA: SAFARI YA DEMOKRASIA YA KWELI BADO NI NDEFU
- Runtime
- 10:29
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Moshi. Mchungaji Godfrey Malisa amesema Tanzania bado ina safari ndefu kuifikia demokrasia ya kweli kutokana na kuwepo kwa makundi mawili ya watu wanaoitaka na wasioitaka, hali ambayo amesema ni tatizo kubwa linalolikabili Taifa.
Kutokana na sintofahamu hiyo, amesema mazingira ya kisiasa yaliyopo sasa yakiendelea kubaki kama yalivyo, mgombea urais wa CCM ndiye atakayeendelea kushinda na vyama vingine vitaendelea kuwa na nafasi ndogo ya kufanya mabadiliko makubwa kisiasa.
Malisa amebainisha hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, ambapo amezungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii kuhusu mustakabali wa taifa.
- Title
- SERIKALI ILIVYOWEKA ULINZI UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050
- Runtime
- 2:58
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Serikali imeweka mifumo madhubuti ya kuhakikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inalindwa na kuendelea kutekelezwa kikamilifu licha ya mabadiliko ya uongozi yanayotokea katika vipindi tofauti vya Serikali.
Profesa Kitila amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha utekelezaji wa dira hiyo hauyumbi na unaendelea kuwa mwongozo mkuu wa maendeleo ya Taifa kwa muda mrefu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 31, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam, Profesa Kitila amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imeandaliwa kwa lengo la kuelekeza maendeleo ya nchi na kusaidia Tanzania kufikia malengo yake ya kiuchumi na kijamii ifikapo mwaka 2050.
“Tumekuwa makini kuhakikisha kuwa hata kunapotokea mabadiliko ya uongozi katika awamu mbalimbali za Serikali, dira hii inabaki kuwa mwongozo wa taifa na inalindwa ili isiathiriwe na mabadiliko hayo,” amesema Profesa Kitila.
- Title
- KITILA: UKUAJI WA UCHUMI UENDANE NA KIWANGO CHA KUPUNGUZA UMASKINI NA KUZALISHA AJIRA
- Runtime
- 5:21
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Tume ya Taifa ya Mipango, inayoongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, imejadili mwongozo wa kitaifa wa ufuatiliaji na tathimini ya miradi ya maendeleo na kuidhinisha maeneo makuu matatu ya kimkakati yanayohitaji mageuzi makubwa.
Maeneo hayo ni mageuzi katika mifumo ya utawala wa utumishi wa umma, ambayo yanajumuisha viashiria vya upimaji 13; mageuzi katika uwekezaji na uzalishaji, yenye viashiria vya upimaji 53 na mageuzi katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi na mazingira, ambayo yatajikita zaidi katika kuboresha utoaji wa huduma.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, aliposisitiza kuwa lengo ni kuhakikisha utekelezaji wa mipango ya sasa unaenda sambamba na ukuaji wa uchumi, kupunguza umaskini na kuongeza ajira nchini.
Amezungumza hayo katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 unaoend...
- Title
- MAGORI: CHAMA HAKUPENDA KWENDA YANGA
- Runtime
- 5:37
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
- Title
- MALISA ASIMULIA MAFUNZO, MACHUNGU YA SIKU 183 ALIZOKAA GEREZANI
- Runtime
- 6:59
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Moshi. Zikiwa zimepita siku tisa tangu alipoachiwa huru, Mchungaji Godfrey Malisa amesema kipindi cha siku 183 alizokaa gerezani kilikuwa chuo cha mafunzo, huku akishauri kufanyika kwa marekebisho katika mfumo wa utoaji msamaha kwa wafungwa ili uwaguse wengi zaidi.
Malisa alisema akiwa huko alikutana na wafungwa waliokaa magerezani kwa muda mrefu, baadhi yao kwa miaka 15 hadi 18, huku wengine wakiwa ni watu wenye ulemavu ambao huendelea kuwa na matumaini tasa kila misamaha inapokuwa ikitangazwa.
Hata hivyo, alisema mara nyingi misamaha hiyo haiwagusi wafungwa hao, jambo ambalo huwasababishia maumivu makubwa na kukata tamaa.
Ametoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na Mwananchi Digital, siku tisa baada ya kuachiwa huru kufuatia kukabiliwa na mashtaka mbalimbali, likiwamo la uhaini, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Hii ni sehemu ya kwanza usikose sehemu ya pili.

