Azam TV
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 10/9/2026.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 10/9/2026.
- Runtime
- 52:27
- Date posted
- 8 hours ago
- Description
- Azam TV
- Title
- ZANZIBAR MARATHON | Zanzibar kusimama Septemba 20. 2026
- Runtime
- 6:41
- Date posted
- 16 hours ago
- Description
- ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON: “Azam mmekuwa familia”
Mratibu wa Zanzibar International Marathon, Fidea Bright ameipongeza #AzamTV kwa ushirikiano wake kwenye marathon na huku akiongeza kuwa imekuwa sehemu ya familia.
Fidea anasema kwa sasa Zanzibar International Marathon ni kama sikukuu na husimamisha mji.
Kwa upande wa @azamtvfitnessclub ikiwakilishwa na Mkuu wa Idara ya Usafiri Azam Media, Abdallah Salmini amesema timu yao itashiriki kwenye marathon hiyo.
Marathon hiyo itafanyika Septemba 20, 2026, Zanzibar.
#ZanzibarInternationalMarathon
- Title
- VIWANJANI | Simba na Yanga zaaminiwa kufanya vizuri mechi za marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
- Runtime
- 29:13
- Date posted
- 16 hours ago
- Description
- Wachambuzi wa soka, Michael Hyera, Frank Domayo na Khalid Chukuchuku wametoa mitazamo yao kuhusu eneo la kiungo la klabu zote mbili za Simba na Yanga kuelekea mechi zao za marudio za Ligi ya Mabingwa Afrika.
Domayo amesema Mighty Wanderers wanatarajiwa kuja kucheza kwa nguvu wakitafuta matokeo, lakini hali ya kujiamini inayoonekana kwa wachezaji wa Simba SC inaweza kuwapa faida katika mchezo huo.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mashujaa hawataki Singida BS ipumue
- Runtime
- 12:13
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mashujaa FC kama kawa yao ‘yaichokoza’ Singida BS baada kuifunga jana Septemba 10, 2026, pale Lake Tanganyika Kigoma.
Mchambuzi wa soka @khalid_chukuchuku amrushia ‘dongo’ Hussein Massanza.
Mwenyewe Massanza asema ni mambo ya mpira na mashabiki watulie wakati huu timu inaelekea kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ghazala.
Ni #Zilizobamba mitandaoni.
#Zilizobamb
- Title
- Kocha Mgunda asema mechi na Dodoma Jiji ni ngumu
- Runtime
- 2:57
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- DODOMA JIJI vs NAMUNGO: Kocha wa Namungo FC, Juma Mgunda anasema wamejiandaa kucheza mechi ngumu dhidi ya Dodoma Jiji katika uwanja wao wa nyumbani.
Kwa upande wake mchezaji Cyprian Kipenye anasema kila mchezaji yupo tayari kucheza mechi ya kesho dhidi ya Dodoma Jiji.
Ni mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa kesho Septemba 11, 2026 saa 1:00 usiku.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates
- Title
- Kocha Dodoma Jiji anautaka ushindi mbele ya Namungo FC, mchezo wa NBC PL
- Runtime
- 2:31
- Date posted
- 18 hours ago
- Description
- DODOMA JIJI vs NAMUNGO: “Timu imeimarika kwa kiasi kikubwa na tupo tayari kwa mechi”
Kocha wa Dodoma Jiji, Vicent Mashami anasema wanataka kushinda mechi wakiwa nyumbani ili kuwapa furaha mashabiki wao.
Kwa upande wake mchezaji Mwana Kibuta David anasema mashabiki wanapaswa kujitokeza kwa wingi ili kuwapa nguvu ya kuibuka na ushindi.
Ni mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Namungo FC ambao utapigwa kesho Septemba 11, 2026 saa 1:00 usiku.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 9/9/2026.
- Runtime
- 43:49
- Date posted
- 22 hours ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Mashujaa FC 2-1 Singida BS | Highlights | NBC PL 09/09/2026
- Runtime
- 7:23
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Mashujaa FC wamefanya bonge la 'come-back', wakimpiga Singida BS 2-1 kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili, Singida wakitangulia kupitia kwa Ahmed Pipino, lakini Mashujaa wakachomoa kwa header ya Samson Madeleke na la ushindi limkifungwa dakika za jioooooni na Haroun Lyawatwa.
- Title
- Magoli | Mashujaa FC 2-1 Singida BS | NBC Premier League 09/09/2026
- Runtime
- 3:11
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Mashujaa FC wamefanya bonge la 'come-back', wakimpiga Singida BS 2-1 kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili, Singida wakitangulia kupitia kwa Ahmed Pipino, lakini Mashujaa wakachomoa kwa header ya Samson Madeleke na la ushindi limkifungwa dakika za jioooooni na Haroun Lyawatwa.
Magoli haya hapa....
- Title
- Yanga SC, Simba SC wanaingiaje kwenye mechi ya marudiano? Wachambuzi watema cheche
- Runtime
- 33:58
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Ni Wachambuzi, Frank Domayo, Khalid Chukuchuku na Godlisten Muro wakieleza ubora wa Yanga SC na Simba SC kuelekea mechi zao za marudiano Jumamosi na Jumapili wiki hii.
Yanga SC vs Gaborone United na Simba SC vs Might Wanderers
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 08/09/2026
- Runtime
- 31:57
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli | Mlandege FC 0-2 Polisi SC | PBZ Premier League 04/09/2026
- Runtime
- 1:58
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Salum Akida na Migomba Nyau ndio waliopeleka msiba Mlandege FC kwa kuichapa magoli mawili na kuipa Polisi SC ushindi wa 2-0 katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar #PBZPremierLeague
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Huko Yanga ni mwendo wa bleach tu kama Selemani Mwalimu
- Runtime
- 20:42
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mashabiki wa Yanga wameamua kuweka ‘bleach’ na kuongea Kichina.
Wachambuzi Michael Hyera Iddy Nonga na Sharif Bayona wakichambua Kichina chao.
Mtangazaji Ibra Kasuga asema tusubiri Jumamosi ya Septemba 12, 2026 kuona mambo yatakuwaje kwenye mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia #Viwanjani
#Viwanjani #Zilizobamba
- Title
- Kamwe awasisitiza mashabiki Yanga kwenda kuwatia nguvu wachezaji Azam Complex
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- PRESS YANGA: “Ni mchezo mgumu lakini sio wa kutisha”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ameuchambua uhatari wa wapinzani wao Gaborone United akitaja hasa mipira ya kutenga na kuwasisitiza mashabiki kujaa katika dimba la Azam Complex.
Kamwe amesema nguvu ya kushangilia ikifanyika kwa ufasaha, mambo yatakuwa mazuri Jumamosi ya Septemba 12, 2026.
Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika
- Title
- Yanga SC yatoa ratiba kamili Viingilio, N-Card na maelekezo ya mchezo dhidi ya Gaborone United.
- Runtime
- 4:36
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- PRESS YANGA : Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akieleza ratiba nzima kuelekea mchezo wao wa marudiano dhidi ya Gaborone United.
Kamwe ameweka wazi viingilio vya mchezo huo, ambapo amesema VIP A ni shilingi 30,000, VIP B ni shilingi 10,000 huku Mzunguko ukiwa shilingi 5,000.
Aidha, Kamwe amebainisha kuwa mfumo utakaotumika kuingia uwanjani ni wa N-Card.
Azam TV
- Title
- Magoli | Gor Mahia 0-2 Pyramids FC | | CAF Champions League - 06/09/2026
- Runtime
- 2:30
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- MAGOLI: Hivi ndivyo Gor Mahia walivyochezea kichapo cha 2-0 kutoka kwa Pyramids FC, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa jana kwenye Dimba la Nyayo, Nairobi, Kenya.
Goli la kwanza ni Walid El Karti na goli la pili Mahamoud Saber.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 07/09/2026
- Runtime
- 39:52
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Azam FC 2-0 Namungo FC | Highlights | NBC PL 07/09/2026
- Runtime
- 7:32
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Magoli mawili kutoka kwa Hassan Mobiru na Gibril Sillah yameipa alama tatu muhimu Azam FC dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Azam Complex, Chamazi...
- Title
- Magoli | Azam FC 2-0 Namungo FC | NBC Premier League 07/09/2026
- Runtime
- 1:57
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Magoli mawili kutoka kwa Hassan Mobiru na Gibril Sillah yameipa alama tatu muhimu Azam FC dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Azam Complex, Chamazi...
- Title
- Polisi Tanzania 1-2 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 06/09/2026
- Runtime
- 9:12
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Polisi Tanzania imepoteza mchezo nyumbani kwa kichapo cha 2-1 kutoka kwa Coastal Union, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Magoli ya Coastal yamefungwa na Maabad Maulid Maabad, likiwemo moja la penati, huku goli la Polisi likiwekwa nyavuni na Anuary Jabir
FT: Polisi Tanzania 1-2 Coastal Union
Tazama highlights
- Title
- VIWANJANI: Singida BS, Simba SC zapata ushindi ugenini kimataifa, Yanga SC yatpata sare.
- Runtime
- 45:21
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Wachambuzi wa soka, Michael Hyera, Godlisten Muro na Amri Kiemba, wametoa nondo za kiufundi kuhusu mechi za kimataifa kuhusu klabu za Simba, Yanga na Singida BS.
Hyera amemsifu mchezaji wa Yanga SC, Seleman Mwalimu kwa ustadi na unyumbulifu aliouonesha kabla na baada ya kupokea krosi ya Mudathir Yahya, kisha kuitumia vyema kufunga goli la kusawazisha dhidi ya Gaborone United.
Kwa upande wake, Kiemba amesema si kila wakati timu inaweza kutoa kile mashabiki wanachokitarajia, hivyo mafanikio madogo yanapaswa kuthaminiwa na kupongezwa, kwani neno la shukrani linaweza kuongeza morali kwa wanaopambana kwa ajili ya timu.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Simba kutoa darasa la kushinda ugenini kimataifa
- Runtime
- 19:35
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Simba yatangaza darasa la kushinda ugenini kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika.
Darasa hilo litatolewa kesho Jumanne Septemba 8, 2026 ofisini kwa Oysterbay Dar es Salaam.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha #Viwanjani
#Viwanjani
- Title
- Magoli | Al Ghazala 1-7 Singida BS | Kombe la Shirikisho Afrika - 06/09/2026
- Runtime
- 5:57
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CAFCC : Tazama chuma zote nane zilizofungwa kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Al Ghazala dhidi ya Singida BS.
Methew Tegisi kaweka hat trick, Sowah kaweka mawili, Shekhan Ibrahim moja na Henry David moja.
Al Ghazala goli lao limefungwa na Mohamed Zakariya.
FT: Al Ghazala SC 1-7 Singida BS
Ilikuwa LIVE #AzamSports4HD
#CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #CCC #AlGhazalaWau #SingidaBS
- Title
- Mighty Wabderers 0-1 Simba SC | Neno kutoka kwa Rushine, Morice Abraham
- Runtime
- 3:00
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CAFCL: Nahodha wa Simba SC kwenye mchezo wa leo Rushine De Reuck anasema ilikuwa muhimu kupata matokeo leo na pia kutoruhusu goli.
Kwa upande wake mchezaji Morice Abraham afunguka kile walichoambiwa na Kocha Barker wakati wa mapumziko.
FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #MightyWanderers #SimbaSCMightyWanderers #MWFSSC
- Title
- Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | Kocha Simba akoshwa na kiwango timu yake
- Runtime
- 2:57
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CAFCL: “Tulimiliki mechi”
Kocha wa Mighty Wanderers, MacDonald Mtetemera anasema kosa moja ndio limewagharimu na kupoteza mechi wakiwa nyumbani.
Kocha wa Simba SC, Steve Barker anasema ushindi walioupata ni muhimu japo ‘pitch’ hakuwa nyepesi japo ameonesha kufurahishwa na kiwango cha vijana wake.
FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #MightyWanderers #SimbaSCMightyWanderers #MWFSSC
- Title
- Magoli | Polisi Tanzania 1- 2 Coastal Union | NBC PL - 06/09/2026
- Runtime
- 3:28
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #NBCPL: Tazama chum zote tatu zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Coastal Union.
Magoli ya Coastal yamefungwa na Maabad Maulid huku goli la Polisi likiwekwa nyavuni na Anuary Jabir
FT: Polisi Tanzania 1-2 Coastal Union
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #PolisiTanzania #CoastalUnion
- Title
- Mighty Wanderers 0 -1 Simba SC | Highlights | Ligi ya Mabingwa Afrika - 06/09/2026
- Runtime
- 9:26
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CAFCL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri wakati Simba SC ikiifunga Mighty Wanderers ya Malawi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi imechezwa katika dimba la Bingu nchini Malawi.
Goli limefungwa na Anicet Oura.
FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #MightyWanderers #SimbaSCMightyWanderers #MWFSSC
- Title
- Goli la Anicet Oura | Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAF Champions League - 06/09/2026
- Runtime
- 1:11
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- #CAFCL: Tazama goli la Simba SC ikiifunga Mighty Wanderers ya Malawi kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi imechezwa katika dimba la Bingu nchini Malawi.
Goli limefungwa na Anicet Oura.
FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC
Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD
#CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC #MightyWanderers #SimbaSCMightyWanderers #MWFSSC
- Title
- SPORTS AM: Uchambuzi mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika, Shirikisho na Polisi vs Coastal Union NBC PL.
- Runtime
- 1:16:24
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Magwiji wa soka nchini Bakari Malima, Julius Mrope, Keneth Mkapa na Duwa Said wameuchambua mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Simba SC dhidi ya Mighty Wanderers, na mechi ya jana kati ya Yanga SC dhidi ya Gaborone United.
Azam TV
- Title
- Goli la Ngassa | Dodoma Jiji 1-0 Mashujaa FC | NBC PL 04/09/2026
- Runtime
- 1:53
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Tazama header kali ya Berno Ngassa ilivyowapa alama tatu Dodoma Jiji dhidi ya Mashujaa FC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa Jamhuri Stadium, Dodoma.
Azam TV
- Title
- Dodoma Jiji 1-0 Mashujaa FC | Highlights | NBC Premier League 04/09/2026
- Runtime
- 4:23
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Tazama header kali ya Berno Ngassa ilivyowapa alama tatu Dodoma Jiji dhidi ya Mashujaa FC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa Jamhuri Stadium, Dodoma.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI | Yanga SC, Simba SC zinavyoingia Ligi ya Mabingwa Afrika
- Runtime
- 49:59
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wachambuzi wa soka, Ramadhani Mbwaduke, Amri Kiemba na Khalid Chukuchuku wanashusha nondo kuhusu mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Yanga SC na Simba SC .
Azam TV
- Title
- Magoli | KMKM SC 0-3 Al Ahli Tripoli | CAF Confederation Cup 05/09/2026
- Runtime
- 2:27
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Gaborone United 1-1 Yanga SC | Highlights | CAF Champions League 05/09/2026
- Runtime
- 8:13
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Selemani Mwalimu ameinusuru Yanga na kichapo kwa kusawazisha goli dakika za majeruhi dhid ya Gaborone United, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Dimba la Taifa la Botswana, Jijini Gaborone.
Yanga walitanguliwa kwa goli la free kick lililofungwa na Obry Amseb dakika ya 33.
Hii ni mechi ya mkondo wa kwanza, raundi ya awali CAF Champions League.
- Title
- Magoli | Gaborone United 1-1 Yanga SC | CAF Champions League 05/09/2026
- Runtime
- 3:05
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Selemani Mwalimu ameinusuru Yanga na kichapo kwa kusawazisha goli dakika za majeruhi dhid ya Gaborone United, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Dimba la Taifa la Botswana, Jijini Gaborone.
Yanga walitanguliwa kwa goli la free kick lililofungwa na Obry Amseb dakika ya 33.
Hii ni mechi ya mkondo wa kwanza, raundi ya awali CAF Champions League.
- Title
- JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji FC | Highlights | NBC Premier League 05/09/2026
- Runtime
- 3:16
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Magoli mawili ya Mohammed Bakari 'Mudy Beka' na moja na Paul Peter Kasunda yametosha kuipa ushindi wa 3-0, JKT Tanzania dhidi ya Pamba Jiji FC.
Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
- Title
- Magoli | JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji FC | NBC Premier League 05/09/2026
- Runtime
- 4:01
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Magoli mawili ya Mohammed Bakari 'Mudy Beka' na moja na Paul Peter Kasunda yametosha kuipa ushindi wa 3-0, JKT Tanzania dhidi ya Pamba Jiji FC.
Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
- Title
- Rais wa Yanga Hersi Said aitaja nusu fainali, fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
- Runtime
- 1:52
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- KUTOKA BOTSWANA: “hatujaja hapa kizembe, timu tunayo, tumefanya usajili mzuri, maandalizi mazuri, tuna benchi la ufundi zuri, tuna dua za Watanzania wenzetu ambao siku zote wamekuwa wakituombea mema, naamini tukikusanya baraka zote hizo tutapata ushindi leo”
Maneno ya Rais Yanga SC, Hersi Said alipozungumza leo Septemba 5, 2026, kwenye uzinduzi wa tawi jipya la timu hiyo nchini Botswana.
Yanga itashuka dimbani saa 2:00 usiku kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya wenyeji wao Gaborone United #AzamSports2HD
#LigiYaMabingwaAfrika #CAFCL #GaboroneUnited #YangaSC
- Title
- KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi watema cheche, Yanga SC leo kibaruani, Simba naye kesho dimbani
- Runtime
- 1:02:56
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- TRA United 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 04/09/2026
- Runtime
- 4:21
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Tazama jinsi TRA United walivyobanwa mbavu na Mbeya City, nyumbani kwao kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Mechi imemalika bila goli, huku TRA wakikosa penati dakika ya mwisho ya mchezo kupitia kwa Nassry Kombo.
- Title
- Mchakato mzima wa burudani ya Ligi Kuu ya NBC
- Runtime
- 18:12
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Fuatana na Ruqaiya Mbugita katika makala maalum iliyoandaliwa na Sharif Bayona, inayokufungulia pazia na kukuonesha kwa undani mchakato mzima unaopitiwa kuhakikisha kila mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unawafikia mashabiki kupitia runinga.
#AzamTV #AzamSports #NBCPremierLeague #NBCPLAzam TV
- Title
- JKT Tanzania yalenga nafasi ya kucheza kimataifa.
- Runtime
- 4:02
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- JKT TANZANIA vs PAMBA JIJI: Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi chake kipo tayari dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa NBC Premier League, huku akithibitisha kuwa wachezaji wake wapo katika hali nzuri na tayari kwa ushindani.
Kwa upande wake mchezaji, Jafar Maneno amesema ari na morali ya wachezaji iko juu, wakitambua umuhimu wa mchezo huo na dhamira yao ikiwa ni kupambana wanapata alama tatu mbele ya mashabiki wao kwenye uwanja wa nyumbani ili kujiweka katika mazingira ya kumaliza katika nafasi nne za juu tayari kwa maandalizi ya kucheza kimataifa msimun ujao.
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKEMSHIKE 03/09/2026 | AZAMTV
- Runtime
- 41:11
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Pamba Jiji yataka alama 3 za kwanza dhidi ya JKT Tanzania!
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- JKT TANZANIA vs PAMBA JIJI | Kocha wa Pamba Jiji, Francis Baraza akizungumza kuelekea mchezo wa NBC Premier League dhidi ya JKT Tanzania, amesema timu yake inafahamu uzito wa mchezo huo na umuhimu wa kupata ushindi wa alama tatu kwa mara ya kwanza.
Azam TV
- Title
- Namungo FC 1-0 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 18/08/2026
- Runtime
- 3:15
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Goli pekee la Hashim Manyanya ndilo lililowapa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa, Lindi.
Tazama highlights...
- Title
- Coastal Union 0-1 Mashujaa FC | Highlights | NBC PL 15/08/2026
- Runtime
- 4:49
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Tazama highlights, jinsi Mashujaa FC walivyozichukua alama tatu kutoka kwa Coastal Union, ushindi ukiwa ni bao 1-0 kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
Goli pekee la mchezo lilifungwa na Chrispin Ngushi dakika ya 86.
- Title
- VIWANJANI:Yanga yaaswa kuwa macho na Gaborone United Ligi ya Mabingwa Afrika.
- Runtime
- 55:10
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mchambuzi wa soka, Godlisten Muro amesema endapo Gaborone United itaendelea na falsafa na mfumo wa kikosi chake cha awali, Yanga SC hawapaswi kuangalia ubora wa mchezaji mmoja mmoja, bali wanapaswa kuongeza umakini na kuichukulia timu hiyo kwa umakini zaidi.
Azam TV
- Title
- SIMBA SC TV: Matukio mechi dhidi ya Geita Gold na Maandalizi ya mechi za Klabu Bingwa Afrika.
- Runtime
- 24:15
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Post ya Fabrizio kuhusu jezi za Yanga yatikisa ulimwengu
- Runtime
- 12:55
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Post ya jezi mpya za Yanga zitakazotumika katika mashindano ya kimataifa, imeonwa na Messi na Ronaldo…???
Wachambuzi wa soka Godlisten Muro Sharif Bayona na mtangazaji Ibrahim Kasuga watia neno kuhusu kile ambacho mwanahabari Fabrizio Romano amenufaika nacho kwenye kazi hiyo.
Ni Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi ncha #Viwanjani
#Viwanjani
- Title
- MSHIKEMSHIKEMSHIKE 02/09/2026 | AZAMTV
- Runtime
- 31:37
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Tazama kipindi cha Mshikemshike kikiwa na habari kemkem za michezo

