ITV Tanzania
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Runtime
- 5:01
- Date posted
- 35 minutes ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Runtime
- 5:10
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- RAIS DKT. SAMIA AKISHUHUDIA TAMKO LA PAMOJA LA MARIDHIANO YA KISIASA BAINA YA CCM NA ACT, ZANZIBAR
- Runtime
- 1:33:56
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- #HABARI: Waziri Mkuu mstaafu na Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Julai 4, 2026 amewasili katika viwanja vya NDC jijini Dar es Salaam kushiriki mbio za Mac D Marathon zilizoanza kwa maandalizi mbalimbali ya washiriki.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JALAI 09, 2026
- Runtime
- 16:35
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MCHEZOSUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: JULAI 09, 2026
- Runtime
- 8:11
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WAFUGAJI LIWALE WALIA NA BAADHI YA ASKARI POLISI
- Runtime
- 11:12
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- Baadhi ya wafugaji wa jamii ya Wasukuma na Wamang'ati katika Kijiji cha Kipelele, Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, wameiomba Serikali ,kuingilia kati na kufanya uchunguzi kuhusu tuhuma wanazozielekeza kwa baadhi ya askari polisi wa wilaya hiyo, kwani wamekuwa wakiwatoza fedha nyingi wanapokutwa na makosa kuanzia shilingi milioni moja, milioni tatu hadi milioni saba na kuendelea.
Kutokana na hali hiyo, wameiomba Serikali kufanya uchunguzi wa kina kuhusu madai hayo na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayebainika kukiuka sheria, huku wakisisitiza kuwa hawakatai kuchukuliwa hatua wanapofanya makosa, bali wanataka sheria na taratibu zifuatwe kwa usawa.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP John Imori, amesema malalamiko hayo yaliyotolewa na wafugaji hayajafika ofisini kwake, ila atafanyia uchunguzi malalamiko hayo na atakaekutwa na kosa hilo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Usisahau kutufuati...
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA NA SOKO LA NYUMBA ZA KULALA WAGENI ...JULAI 09, 2026
- Runtime
- 21:31
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI, SAA MBILI JULAI 09, 2026 -RAIS SAMIA AWAONYA WANAHARAKATI WENYE MIOYO YA UGAIDI
- Runtime
- 58:56
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA MICHEZO: JULAI 09, 2026 -
- Runtime
- 38:06
- Date posted
- 6 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMALIZIKA LIGI KUU MSIMU WA 2025/26. JE, NINI KIBORESHWE KUWA NA LIGI BORA ZAIDI MSIMU UJAO?
- Runtime
- 1:36:27
- Date posted
- 6 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MARUDIO HABARI YA SAA KUMI NA MBILI: JULAI 09, 2026
- Runtime
- 31:01
- Date posted
- 6 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- VILIO, SIMANZI! BAADA YA MV KALEBEZO KUTEKETEA MOTO MWANZA
- Runtime
- 4:01
- Date posted
- 7 hours ago
- Description
- Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwa kwenye boti mv kalebezo iliyoteketea na kuzama katika maeneo ya visiwa vya Kunene na Lyamwenge ziwa Victoria ikiwa imebeba shehena ya mizigo na abiria ikitokea kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera kuelekea mkoani Mwanza limekamilika baada ya vyombo vya usalama kushirikiana na shirika la uwakala wa meli tasac kufanikisha kuokoa zaidi ya watu arobaini waliokuwa katika boti hiyo.
Baadhi ya manusura waliookolewa katika ajali hiyo waliowasili katika soko la kimataifa la dagaa kirumba majira ya saa kumi alasiri na boti maalumu ya uokozi ya shirika la uwakala wa meli TASAC wamepongeza juhudi zilizofanywa na vyombo vya usalama walioshirikiana na wavuvi kuwaokoa.
Huduma ya uokozi imefanywa na vyombo vya usalama katika mkoa wa mwanza kwa ushirikiano pia wa shirika la uwakala wa meli nchini tasac ambapo kaimu afisa mfawidhi wa tasac mwanza mhandisi Paul Musokwa watu wawili wamefanikiwa kuokolewa.
Baadhi ya wafa...
- Title
- RAIS WA JAMII YA WAMASAI AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 104 NA WAJUKUU 165
- Runtime
- 2:31
- Date posted
- 7 hours ago
- Description
- Rais wa Kabila la Kimaasai anayeongoza jamii hiyo katika nchi mbili za Kenya na Tanzania Tipiti Lagwanani Lembalelo, aliyekuwa na umri wa miaka (104) huku akiwa msuluhishi mkuu wa migogoro inayozua mapigano baina ya wakulima na wafugaji,amefariki dunia huku akiacha watoto (36) wajukuu 165.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JULAI 09, 2026: WAWILI WAFARIKI WAKIDAIWA KUSHAMBULIWA NA KIBOKO
- Runtime
- 20:31
- Date posted
- 8 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- HAPA NA PALE KUTOKA KILIMANJARO- , JULAI 09, 2026 - WAKULIMA WA KAHAWA HAWANA PEMBEJEO ZA KILIMO
- Runtime
- 10:50
- Date posted
- 8 hours ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- GOD YANGA, MCHUNGAJI WA SIMBA WAKUTANA LIVE, KILA MTU ATAJA ANACHOPENDA KUTOKA KWA TIMU YA MWENZAKE
- Runtime
- 10:15
- Date posted
- 9 hours ago
- Description
- Mashabiki wa Simba na Yanga, God Yanga na Mchungaji wa Simba, wamekutana kwenye kipindi cha Meza Huru cha ITV ambapo kila mmoja ameeleza uzuri wa timu ya mwenzake.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 130 MBARONI KWA KUPANGA VITENDO VYA KIHALIFU NCHINI
- Runtime
- 3:11
- Date posted
- 9 hours ago
- Description
- Jeshi la Polisi Tanzania Juni 19, 2026 na Julai 5,2026 lilitoa taarifa za kujulisha hali ya usalama pamoja na hatua linazochukua kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa shwari ili kuruhusu wananchi waendelee na shughuli zao za kujitafutia riziki katika mazingira ya amani, utulivu na usalama.
Leo Julai 9, 2026, jeshi hilo limetoa taarifa kuwa hali ya Nchi ni shwari.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Runtime
- 4:50
- Date posted
- 12 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZA HURU: NIDHAMU YA MASHABIKI- JULAI 09, 2026
- Runtime
- 1:16:14
- Date posted
- 12 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- RAIS SAMIA AWAONYA WANAHARAKATI WENYE MATENDO YA KIGAIDI
- Runtime
- 2:50
- Date posted
- 13 hours ago
- Description
- #HABARI: Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaonya wanaojiita wanaharakati kwa jina ili kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi, yanayohusisha uvunjifu wa amani, uharibifu wa mali na miundombinu.
Pia, amesema ugaidi ni vitendo vinavyokusudia kuitishia jamii au kuishurutisha Serikali ikubaliane na matakwa ya watu au kundi fulani kwa ajili ya kutimiza haja za kisiasa, kiitikadi au kidini.
Rais Samia ameyasema hayo visiwani Zanzibar leo, Alhamisi Julai 9, 2026 alipohutubia wakati wa hafla ya utiaji saini Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar.
Mkuu huyo wa nchi, amesema kwa mustabali wa dunia ya sasa, ugaidi unaweza kufanyika pia kwa lengo la kuirudisha nyuma nchi inayoendelea kwa kasi.
Amesema vitendo vya kigaidi havikubaliki duniani kote na kila nchi inatumia nguvu ya dola kuhami raia na heshima yake, hivyo Tanzania haitasita kufanya hivyo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI Y...
- Title
- 🔴HEKAHEKA ZA WOLRD CUP:KAULI YA ETOO KUHUSU LIONEL MESSI…KWANINI MOROCCO NDIO KABAKI PEKE YAKE?
- Runtime
- 49:57
- Date posted
- 13 hours ago
- Description
- 🔴HEKAHEKA ZA WOLRD CUP:KAULI YA ETOO KUHUSU LIONEL MESSI…KWANINI MOROCCO NDIO KABALI KOMBE LA DUNIA?
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- HOTUBA YA RAIS SAMIA MARIDHIANO Z'NZIBAR "MARIDHIANO SI UDHAIFU, NI UKOMAVU WA KISIASA"
- Runtime
- 10:50
- Date posted
- 14 hours ago
- Description
- #HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan, amesema maridhiano si udhaifu, bali ni ukomavu wa kisiasa unaojenga misingi ya umoja na kuheshimiana.
Amesema maridhiano ni ishara kwamba viongozi wanaweza kutofautiana kwa hoja, lakini wakakubaliana katika mambo ya msingi ya uendeshaji wa nchi, kujali maslahi na ustawi wa wananchi na nchi kwa ujumla.
Rais Samia ameyasema hayo visiwani Zanzibar leo, Alhamisi Julai 9, 2026 alipohutubia wakati wa hafla ya utiaji saini Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa Zanzibar.
Amesema mwelekeo huo wa kiungwana, unafungua ukurasa mwingine katika kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
- Title
- 🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JALAI 08, 2026
- Runtime
- 25:16
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- BREAKING: BOTI YATEKETEA KWA MOTO WAWILI WAPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA
- Runtime
- 2:01
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine 49 wameokolewa baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria na mizigo kuteketea moto katika ziwa Victoria ikitokea Kisiwa cha Goziba mkoani Kagera kuelekea Mwanza.
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mwanza, Kamishna Msaidizi (ACF) Elisa Mugisha amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - JULAI 09, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 18 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI JULAI 09, 2026: TISHIO LA MAANDAMANO LASIMAMISHA BIASHARA
- Runtime
- 6:46
- Date posted
- 20 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- HAPA NA PALE KUTOKA DODOMA- , JULAI 08, 2026 - WAKAZI WAHOFIA NJIA ZINAZOTUMIKA KUTETEKEZA MBWA
- Runtime
- 10:50
- Date posted
- 20 hours ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZA HURU: MAGONJWA YA MOYO- JULAI 08, 2026
- Runtime
- 1:20:01
- Date posted
- 21 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HEKAHEKA ZA WORLD CUP: MCHEZAJI APIGWA RISASI SITA KOMBE LA DUNIA..JULAI 08, 2026.
- Runtime
- 47:52
- Date posted
- 24 hours ago
- Description
- 🔴HEKAHEKA ZA WORD CUP: MOROCC0 VS UHOLANZI, UFARANSA VS SWEDEN..JUNI 30, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:40
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:36
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:20
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MATUMIZI YA NISHATI SAFI KWA TAASISI ZA ELIMU YAANZA KULETA TIJA MONDULI MKOANI ARUSHA
- Runtime
- 2:58
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Matumizi ya Nishati Safi ya kupikia katika Taasisi za Elimu, yameendelea kuleta mageuzi Wilayani Monduli mkoani Arusha, ambapo shule zilizoanza kutumia teknolojia hiyo zimeripoti kupungua kwa matumizi ya kuni na mkaa pamoja na kuimarika kwa mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.
Wilaya ya Monduli ni miongoni mwa maeneo yanayokabiliwa na athari za ukame unaochangiwa na uharibifu wa mazingira, hususani ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, wadau wanaamini kuwa kuongezeka kwa matumizi ya nishati safi kutasaidia kulinda mazingira, kupunguza ukataji wa miti na kuchangia maendeleo endelevu ya jamii.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:05
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MADIWANI WAONYWA KUTOKUWA VIKWAZO UTEKELEZAJI WA MIRADI YA WANANCHI.
- Runtime
- 2:18
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, wametakiwa kutokuwa vikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi na badala yake waisimamie iweze kuleta tija zaidi pamoja na kuifanya Halmashauri hiyo kuendelea kupata hati safi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Bwana Stewart Nombo, katika baraza maalum la Madiwani, kujadili taarifa ya utekelezaji wa mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MCHEZOSUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:25
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:50
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI, SAA MBILI JULAI 08, 2026 - WAFUGAJI WALALAMIKIA KUTOZWA MAMILIONI NA ASKARI
- Runtime
- 57:46
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA MICHEZO: TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA ROBO FAINALI: |JULAI 08, 2026
- Runtime
- 39:40
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA: JULAI 08, 2026 -MAJIKO YANAYOTUMIA UMEME KIDOGO
- Runtime
- 39:10
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JULAI 08, 2026: WAWILI WAFARIKI WAKIDAIWA KUSHAMBULIWA NA KIBOKO
- Runtime
- 25:06
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:20
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WAWILI WAFARIKI MAJINI KWA KUSHAMBULIWA NA KIBOKO MAYELE
- Runtime
- 1:57
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #HABARI: Wavuvi wawili, Mathias Rashid 40 na Sandu Makoye 43, wamefariki dunia wakidaiwa kushambuliwa na kiboko anayefahamika kwa jina maarufu la Mayele wakati wakivua samaki usiku wa kuamkia leo katika bwawa la Igombe lililopo kwenye kata ya Misha wilaya na Mkoa wa Tabora ambapo miili yao imeopolewa ikiwa na majeraha mbalimbali kwa baadhi ya viungo vya ndani ya mwili kutoka nje.
- Title
- KILICHOENDELEA MKOANI SONGWE SIKU YA SABA SABA, HAKUNA MAANDAMANO YOYOTE POLISI WATHIBITISHA
- Runtime
- 3:27
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - JULAI 08, 2026
- Runtime
- 4:40
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI JULAI 08, 2026: TISHIO LA MAANDAMANO LASIMAMISHA BIASHARA
- Runtime
- 8:31
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HEKAHEKA ZA WORLD CUP: HILI NDIO BALAA LILILOWAKUTA URENO.JULAI 07, 2026
- Runtime
- 43:10
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- 🔴HEKAHEKA ZA WORD CUP: MOROCC0 VS UHOLANZI, UFARANSA VS SWEDEN..JUNI 30, 2026
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI, SAA MBILI JULAI 06, 2026 - WATU SITA WAFARIKI BAADA YA BASI KUPINDUKA TABORA
- Runtime
- 1:00:15
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MKUU WA MKOA DAR ATOA NENO SIKU YA SABASABA ,ATAKA SIKU ZA SABASABA ZIONGEZWA
- Runtime
- 3:58
- Date posted
- 2 days ago
- Description