Azam TV
KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi watema cheche, Yanga SC leo kibaruani, Simba naye kesho dimbani
- Title
- KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi watema cheche, Yanga SC leo kibaruani, Simba naye kesho dimbani
- Runtime
- 1:02:56
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- TRA United 0-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 04/09/2026
- Runtime
- 4:21
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Tazama jinsi TRA United walivyobanwa mbavu na Mbeya City, nyumbani kwao kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Mechi imemalika bila goli, huku TRA wakikosa penati dakika ya mwisho ya mchezo kupitia kwa Nassry Kombo.
- Title
- Mchakato mzima wa burudani ya Ligi Kuu ya NBC
- Runtime
- 18:12
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Fuatana na Ruqaiya Mbugita katika makala maalum iliyoandaliwa na Sharif Bayona, inayokufungulia pazia na kukuonesha kwa undani mchakato mzima unaopitiwa kuhakikisha kila mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unawafikia mashabiki kupitia runinga.
#AzamTV #AzamSports #NBCPremierLeague #NBCPLAzam TV
- Title
- JKT Tanzania yalenga nafasi ya kucheza kimataifa.
- Runtime
- 4:02
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- JKT TANZANIA vs PAMBA JIJI: Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi chake kipo tayari dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa NBC Premier League, huku akithibitisha kuwa wachezaji wake wapo katika hali nzuri na tayari kwa ushindani.
Kwa upande wake mchezaji, Jafar Maneno amesema ari na morali ya wachezaji iko juu, wakitambua umuhimu wa mchezo huo na dhamira yao ikiwa ni kupambana wanapata alama tatu mbele ya mashabiki wao kwenye uwanja wa nyumbani ili kujiweka katika mazingira ya kumaliza katika nafasi nne za juu tayari kwa maandalizi ya kucheza kimataifa msimun ujao.
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKEMSHIKE 03/09/2026 | AZAMTV
- Runtime
- 41:11
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Pamba Jiji yataka alama 3 za kwanza dhidi ya JKT Tanzania!
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- JKT TANZANIA vs PAMBA JIJI | Kocha wa Pamba Jiji, Francis Baraza akizungumza kuelekea mchezo wa NBC Premier League dhidi ya JKT Tanzania, amesema timu yake inafahamu uzito wa mchezo huo na umuhimu wa kupata ushindi wa alama tatu kwa mara ya kwanza.
Azam TV
- Title
- Namungo FC 1-0 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 18/08/2026
- Runtime
- 3:15
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Goli pekee la Hashim Manyanya ndilo lililowapa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa, Lindi.
Tazama highlights...
- Title
- Coastal Union 0-1 Mashujaa FC | Highlights | NBC PL 15/08/2026
- Runtime
- 4:49
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Tazama highlights, jinsi Mashujaa FC walivyozichukua alama tatu kutoka kwa Coastal Union, ushindi ukiwa ni bao 1-0 kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
Goli pekee la mchezo lilifungwa na Chrispin Ngushi dakika ya 86.
- Title
- VIWANJANI:Yanga yaaswa kuwa macho na Gaborone United Ligi ya Mabingwa Afrika.
- Runtime
- 55:10
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka, Godlisten Muro amesema endapo Gaborone United itaendelea na falsafa na mfumo wa kikosi chake cha awali, Yanga SC hawapaswi kuangalia ubora wa mchezaji mmoja mmoja, bali wanapaswa kuongeza umakini na kuichukulia timu hiyo kwa umakini zaidi.
Azam TV
- Title
- SIMBA SC TV: Matukio mechi dhidi ya Geita Gold na Maandalizi ya mechi za Klabu Bingwa Afrika.
- Runtime
- 24:15
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Post ya Fabrizio kuhusu jezi za Yanga yatikisa ulimwengu
- Runtime
- 12:55
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Post ya jezi mpya za Yanga zitakazotumika katika mashindano ya kimataifa, imeonwa na Messi na Ronaldo…???
Wachambuzi wa soka Godlisten Muro Sharif Bayona na mtangazaji Ibrahim Kasuga watia neno kuhusu kile ambacho mwanahabari Fabrizio Romano amenufaika nacho kwenye kazi hiyo.
Ni Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi ncha #Viwanjani
#Viwanjani
- Title
- MSHIKEMSHIKEMSHIKE 02/09/2026 | AZAMTV
- Runtime
- 31:37
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Tazama kipindi cha Mshikemshike kikiwa na habari kemkem za michezo
- Title
- Mtoto wa Mafisango aitaka Simba SC
- Runtime
- 4:02
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- MTOTO WA MAFISANGO AITAJA SIMBA: Mtoto wa nyota wa zamani aliyekipiga klabu za Simba na Azam za Tanzania, Mnyarwanda mwenye asili ya DR Congo marehemu Patrick Mafisango, anayeitwa Crespo Tabou Teqra Mafisango amesema hamu yake ni kucheza kwa wekundu wa Msimbazi kuiomba timu hiyo kufuatilia kipaji chake kwa sababu anaamini soka analiweza.
Crespo ni mtoto pekee ambaye alikuwa akiishi Dar es Salaam, Tanzania na marehemu baba yake hadi alipofariki dunia mwaka 2012.
Kwa sasa anaichezea Kiyovu FC ya Rwanda katika nafasi ya kiungo.
Mchezaji huyo amezungumza yote hayo alipokutana na mwandishi wetu Doris Maliyaga nchini Rwanda.
Mafisango alifariki kwa ajali ya gari Mei 17, 2012 maeneo ya Keko Veta Dar Salaam, Tanzania akiwa mchezaji wa Simba SC.
#Mafisango
- Title
- Singida BS 3-2 Namungo FC | Highlights | NBC PL 01/09/2026
- Runtime
- 4:09
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Singida Black Stars imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Airtel Stadium, Singida.
Namungo ndiyo waliotangulia kwa goli la kujifunga la Benjamin Tanimu, kabla ya Singida kuchomoa kupitia kwa Mohamed Damaro.
Namungo waliongeza lingine kwa penati ya Rogers Gabriel lakini Singida wakapindua meza kupitia kwa Exauce Nzaou na Marcel Canadi.
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Yanga yaifuata Gaborone United kibabe
- Runtime
- 17:42
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Miongoni mwa taarifa zilizobamba mitandaoni ni pamoja na Yanga kuifuata Gaborone United nchini Botswana.
- Title
- VIWANJANI: Simba SC na Yanga SC kuelekea Klabu Bingwa Afrika.
- Runtime
- 50:39
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Wachambuzi wa soka George Job, Amri Kiemba na Godlisten Muro wanatoa mtazamo wao kuhusu safari, maandalizi na matarajio ya Yanga na Simba kuelekea mechi zao za Klabu Bingwa Afrika.
George anasema kwa sasa Yanga SC imefanya maboresho makubwa kuanzia benchi zima la ufundi ambalo lina uzoefu katika michuano ya kimataifa hivyo matarajio ni makubwa kwa klabu hiyo.
- Title
- JKT Tanzania 2-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 3:38
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya JKT Tanzania na Namungo FC katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.
Magoli ya JKT Tanzania yamefungwa na Paul Peter Kasunda na Said Mkopi huku goli la Namungo likiwekwa nyavuni na Hassan Wahabi amabaye amejifunga.
FT: JKT Tanzania 2-1 Namungo FC
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #JKTTanzania #Namungo
- Title
- MSHIKEMSHIKE 01/09/2026.
- Runtime
- 31:37
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli yote | Singida BS 3-2 Namungo FC | NBC PL 01/09/2026
- Runtime
- 5:40
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Singida Black Stars imepata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Airtel Stadium, Singida.
Namungo ndiyo waliotangulia kwa goli la kujifunga la Benjamin Tanimu, kabla ya Singida kuchomoa kupitia kwa Mohamed Damaro.
Namungo waliongeza lingine kwa penati ya Rogers Gabriel lakini Singida wakapindua meza kupitia kwa Exauce Nzaou na Marcel Canadi.
Tazama magoli yote hapa..
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Wachezaji Fountain Gate, Yanga ni mwendo wa picha baada ya mechi
- Runtime
- 23:13
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @domayo ‘afungua code’ kuhusu tabia za wachezaji hasa baada ya kumalizika mechi.
Domayo anasema wachezaji wa timu moja na nyingine huwa wanawasiliana kwa kupigiana simu na hata kutumiana meseji.
Maneno ya Domayo yanakuja baada ya kushuhudia wachezaji wa Yanga na Fountain Gate wakipiga picha baada ya kumalizika kwa mechi ya NBC Premier League iliyopigwa katika dimba la Sheikh Ameri Abeid, jana Agosti 31, 2026.
#Zilizobamba
- Title
- VIWANJANI: Azam FC yabeba alama 3 mbele ya Kagera Sugar, Singida BS kibaruani dhidi ya Namungo.
- Runtime
- 29:08
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- VIWANJANI: Yanga SC, Simba SC zaibuka na ushindi na kufikisha alama 15.
- Runtime
- 49:43
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Wachambuzi wa soka, Frank Domayo, George Job na Khalid Chukuchuku wametoa tathmini yao kuhusu ushindi wa Yanga SC na Simba SC katika mzunguko wa tano wa NBC Premier League, huku timu zote zikishinda kwa mabao 2-0 Agosti 31, 2026.
Katika mchezo wa Fountain Gate dhidi ya Yanga SC, uliomalizika kwa Yanga kushinda 2-0, George na Domayo wametoa tathmini ya kiufundi ya mchezo huo, huku Domayo akipongeza namna Kocha Manqoba Mngqithi anavyofanya rotation ya wachezaji, akisema hatua hiyo ni muhimu katika kukijenga kikosi na kukiweka tayari kwa msimu mrefu.
Pia wamechambua kwa undani mchakato mzima wa goli la Clatous Chama, akimalizia pasi ya Libasse Gueye katika ushindi wa Simba SC dhidi ya Geita Gold.
Wameeleza namna Gueye alivyotumia uwezo binafsi, utulivu na akili ya mchezo kumvuka mlinzi na kutengeneza pasi iliyomuwezesha Chama kumalizia kwa usahihi.
Azam TV
- Title
- Kagera Sugar 0-2 Azam FC | Highlights | NBC PL 31/08/2026
- Runtime
- 10:08
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi ugenini, kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-0 kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba.
Magoli yamefungwa na Zidane Sereri pamoja na Feisal Salum, huku Idd Selemani Nado akikosa penati, na Gibril Sillah akitolewa kwa kadi nyekundu.
- Title
- Magoli | Kagera Sugar 0-2 Azam FC | NBC Premier League 31/08/2026
- Runtime
- 3:27
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi ugenini, kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-0 kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba.
Magoli yamefungwa na Zidane Sereri pamoja na Feisal Salum, huku Idd Selemani Nado akikosa penati, na Gibril Sillah akitolewa kwa kadi nyekundu.
Tazama magoli..
- Title
- Simba SC 2-0 Geita Gold FC | Highlights | NBC Premier League 31/08/2026
- Runtime
- 6:46
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Libase Gueye ame-assist goli moja na kufunga goli moja,, Simba ikishinda 2-0 dhidi ya Geita Gold FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Libase ambaye ndiye aliyeibuka nyota wa mchezo, amefunga goli la pili, huku la kwanza likifungwa na Clatous Chama.
- Title
- Magoli | Simba SC 2-0 Geita Gold FC | NBC PL 31/08/2026
- Runtime
- 2:57
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Libase Gueye ame-assist goli moja na kufunga goli moja,, Simba ikishinda 2-0 dhidi ya Geita Gold FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Libase ambaye ndiye aliyeibuka nyota wa mchezo, amefunga goli la pili, huku la kwanza likifungwa na Clatous Chama.
- Title
- Fountain Gate FC 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 31/08/2026
- Runtime
- 8:31
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Peter Shalulile na Mudathir Yahya wamegawana magoli, kila mmoja akifunga moja, na Yanga ikaondoka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Fountain Gate FC.
Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
- Title
- Magoli | Fountain Gate FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 31/08/2026
- Runtime
- 2:21
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Peter Shalulile na Mudathir Yahya wamegawana magoli, kila mmoja akifunga moja, na Yanga ikaondoka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Fountain Gate FC.
Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mbeya City kwao sherehe tu, Ahmad Ally apita njia za Mourinho
- Runtime
- 18:10
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Kocha Ahmad Ally wa JKT Tanzani, apita njia ya makocha Jose Mourinho na Pep Guardiola vile wanavyofanya wawapo vyumba vya kubadilishia jezi.
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya #Viwanjani
#JKTTanzania
- Title
- Kocha wa Yanga Manqoba ameanza kwa kumchambua Kocha Minziro kuelekea mechi ya Fountain Gate
- Runtime
- 8:42
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- FOUNTAIN GATE vs YANGA SC: Utaratibu ni uleule kwa Kocha Manqoba Mngqithi wa Yanga SC, ambaye amekuwa akichambua vikosi vya wapinzani wake kwa kutaja majina ya mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Leo ameanza na Kocha Fred Felix ‘Minziro’ ambaye anasema ni legend wa Yanga na bila shaka anajua ari na utaratibu wa klabu hiyo.
Manqoba ametaja mpaka mfumo ambao Fountain Gate hutumia.
Kwa upande wake mchezaji Juma Issa Abushiri ‘Chuga’ ameelezea namna alivyopokea kile ambacho kilizungumzwa na kocha wake baada ya mechi dhidi ya JKT Tanzania.
Mechi ni kesho Agosti 31, 2026, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- Kocha Fountain Gate akiri ubora wa Yanga, ajipanga kukabiliana nao
- Runtime
- 2:27
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- FOUNTAIN GATE vs YANGA SC: “Hatuna maingizo mapya”
Kocha wa Fountain Gate, Fred Felix ‘Minziro’ anasema ni kweli wanakutana na timu inayocheza vizuri na kushambulia kwa kasi lakini wao wataingia na mbinu ya kupambana nao ili kupunguza kasi yao.
Kocha huyo anasema ataendelea kuwatumia wachezaji alionao kwasababu timu yake haina wachezaji wapya kutokana na changamoto za usajili.
Kwa upande wake mchezaji Obasi Macdonald, anasema wao wapo tayari kwa mechi ya kesho na wanajua aina ya timu wanayokwenda kukutana nayo.
Mechi ni kesho Agosti 31, 2026, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- Kocha Katwila wa Geita Gold asema wapo tayari kuivaa Simba
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- SIMBA vs GEITA GOLD: “Wana wachezaji wanaoweza kuamua mechi”
Kocha Zuberi Katwila wa Geita Gold anasema wapinzani wao wana wachezaji wenye uwezo mkubwa na wao wamejipanga kukabiliana nao.
Kwa upande wake nahodha wa kikosi hicho Yusufu Mhilu anasema wao wachezaji wanajua kuwa kesho Agosti 31, 2026 wanakwenda kucheza na timu inayotafuta ubingwa na wao wamejipanga kuikabili.
Mechi ni saa 12:30 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- Kocha Barker wa Simba alia na majeruhi, adhabu kuelekea mechi ya Geita Gold
- Runtime
- 1:53
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- SIMBA vs GEITA GOLD: “Maandalizi yanaendelea vema”
Kocha wa Simba SC, Steve Barker anasema kuna changamoto ya majeruhi katika safu yake ya ulinzi lakini pia wapo baadhi ya wachezaji tegemeo hawatopatikana kuelekea mchezo wa kesho wa NBC Premier League dhidi ya wageni wao Geita Gold.
Kwa upande wake mchezaji Hussein Daud Semfuko anasema wanajua umuhimu wa mchezo wa kesho na wamejiandaa kuzipambania alama tatu.
Mechi ni saa 12:30 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- JKT Tanzania 2-1 Namungo | Magoli | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 3:30
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya JKT Tanzania dhidi ya Namungo FC.
Magoli ya JKT Tanzania yamefungwa na Paul Peter Kasunda na Said Mkopi huku goli la Namungo likiwekwa nyavuni na Hassan Wahabi amabaye amejifunga.
FT: JKT Tanzania 2-1 Namungo FC
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #JKTTanzania #Namungo
- Title
- Singida BS 4-2 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 10:25
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Singida BS dhidi ya Polisi Tanzania katika dimba la Airtel mkoani Singida.
Chuma sita zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Singida BS dhidi ya Polisi Tanzania.
Ilianza Polisi kupitia Baraka Michael na goli lao la pili lilifungwa na Ibrahim Ame.
Wenyeji Singida BS wakafungua karamu ya magoli kupitia Jonathan Sowah, kisha James Mwashinga, Shekhan Ibrahim na baadae Jeancy Mboma akaweka goli la nne.
FT: Singida BS 4-2 Polisi Tanzania
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #SingidaBS #PolisiTanzania
- Title
- TRA United 0-1 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 8:54
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya TRA United dhidi ya Dodoma Jiji.
Mechi imepigwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid.
Mfungaji ni William Edgar.
FT: TRA United 0-1 Dodoma Jiji
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #TRAUnited #DodomaJiji
- Title
- Singida BS 4-2 Polisi Tanzania | Magoli | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 6:40
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Chuma sita zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Singida BS dhidi ya Polisi Tanzania.
Ilianza Polisi kupitia Baraka Michael na goli lao la pili lilifungwa na Ibrahim Ame.
Wenyeji Singida BS wakafungua karamu ya magoli kupitia Jonathan Sowah, kisha James Mwashinga, Shekhan Ibrahim na baadae Jeancy Mboma akaweka goli la nne.
FT: Singida BS 4-2 Polisi Tanzania
Saa 3:00 usiku ni JKT Tanzania dhidi ya Namungo FC LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #SingidaBS #PolisiTanzania
- Title
- TRA United 0-1 Dodoma Jiji | Uzuri wa jiji la Arusha - 29/08/2026
- Runtime
- 2:05
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Tazama uzuri wa maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha na shughuli zinazofanyika hasa utalii.
Mtangazaji @hinjojr ndiye msimulizi wako wakati akiifungua mechi ya NBC Premier League kati ya TRA United dhidi ya Dodoma Jiji.
FT: TRA United 0-1 Dodoma Jiji
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #TRAUnited #DodomaJiji
- Title
- TRA United 0-1 Dodoma Jiji | Goli | NBC Premier League - 29/08/2026
- Runtime
- 1:00
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Goli lililoilaza TRA United na kuiruhusu Dodoma Jiji ikiondoka na alama tatu.
Mfungaji ni William Edgar.
FT: TRA United 0-1 Dodoma Jiji
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #TRAUnited #DodomaJiji
- Title
- TRA United 0-1 Dodoma Jiji | Kadi nyekundu kwa Kelvin Kijili - 29/08/2026
- Runtime
- 2:13
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Matukio mawili yaliyosababisha kadi mbili za njano kwa Kelvin Kijili wa TRA United.
Mfungaji ni William Edgar.
FT: TRA United 0-1 Dodoma Jiji
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidI #TRAUnited #DodomaJiji
- Title
- KURASA ZA MWISHO | 29/08/2026.
- Runtime
- 57:31
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- ''hata baada ya AFCON tutabaki na miundombinu mizuri'',
Wachambuzi wa Soka, Khatimu Naheka, Philip Nkini, Jabir Juma na Charles Abel wakieleza maboresho ya viwanja na miundombinu yanayoendelea kufanyika kuelekea AFCON 2027.
Azam TV
- Title
- Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC | Highlights | NBC PL 28/08/2026
- Runtime
- 3:36
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Cheikh Ibrahima Toure amefunga moja na kutoa assist moja, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Pamba Jiji, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam.
Mfungaji wa goli la kwanza alikuwa ni Maxi Nzengeli..
- Title
- Magoli | Yanga SC 2-0 Pamba Jiji | NBC Premier League 28/08/2026
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Cheikh Ibrahima Toure amefunga moja na kutoa assist moja, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Pamba Jiji, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam.
Mfungaji wa goli la kwanza alikuwa ni Maxi Nzengeli..
- Title
- Geita Gold FC 2-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 28/08/2026
- Runtime
- 3:24
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Ni sare ya maajabu kwenye Dimba la Bukombe, Ushirombo, mkoani Geita, Azam FC wakichomolewa dakika za jiooooooni.
Azam wametangulia kwa penati kupitia kwa Abdul Suleiman Sopu, lakini wakachomoa kupitia kwa Obrey Chirwa...
Kunako dakika za majeruhi, Azam wakafunga kupitia kwa Himid Mao, lakini dakika mbili baadaye wakachomoa kupitia kwa Martin Kigi.
Hii ni Ligi Kuuya NBC.
- Title
- Magoli | Geita Gold FC 2-2 Azam FC | NBC Premier League 28/08/2026
- Runtime
- 6:13
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Ni sare ya maajabu kwenye Dimba la Bukombe, Ushirombo, mkoani Geita, Azam FC wakichomolewa dakika za jiooooooni.
Azam wametangulia kwa penati kupitia kwa Abdul Suleiman Sopu, lakini wakachomoa kupitia kwa Obrey Chirwa...
Kunako dakika za majeruhi, Azam wakafunga kupitia kwa Himid Mao, lakini dakika mbili baadaye wakachomoa kupitia kwa Martin Kigi.
Hii ni Ligi Kuuya NBC.
- Title
- Fountain Gate 0-2 Mbeya City | Highlights | NBC PL 28/08/2026
- Runtime
- 8:14
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL ‘Majanga’ ya super sub, Oscar Mwajanga akitokea benchi na kuchapa chuma mbili yeye peke yake…!!!
FT: Fountain Gate 0-2 Mbeya City
Hii ni Ligi Kuu ya NBC, mchezo ukipigwa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
- Title
- Magoli ya Mwajanga | Fountain Gate 0-2 Mbeya City | NBC Premier League 28/08/2026
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL ‘Majanga’ ya super sub, Oscar Mwajanga akitokea benchi na kuchapa chuma mbili yeye peke yake…!!!
FT: Fountain Gate 0-2 Mbeya City
Hii ni Ligi Kuu ya NBC, mchezo ukipigwa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
- Title
- Simba SC TV | Wiki hii imeangazia matukio muhimu, kabla na baada ya mchezo dhidi ya Singida BS.
- Runtime
- 26:12
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE | 28/08/2026.
- Runtime
- 45:29
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba SC Yaanza kwa ushindi nyumbani dhidi ya Wanamangushi.
- Runtime
- 33:39
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka, George Job amesema mashabiki wa Simba SC wanapaswa kuelewa kuwa lengo kuu lilikuwa kupata alama tatu, badala ya kuangalia idadi kubwa ya magoli.
Amesisitiza umuhimu wa kumheshimu kila mpinzani na kuthamini ushindi uliopatikana.
Azam TV

