Azam TV
Magoli yote | CFFA 0-4 Yanga SC | CAF Champions League 17/10/2026
- Title
- Magoli yote | CFFA 0-4 Yanga SC | CAF Champions League 17/10/2026
- Runtime
- 5:18
- Date posted
- 4 hours ago
- Description
- CAF CL: Yanga SC ikiwa ugenini kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi, imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA ya Madagascar, mchezo wa mkondo wa kwanza, raundi ya pili, Ligi ya Mabingwa Afrika.
Magoli yote manne ya ‘Wananchi’ wakiwa ugenini Azam Complex, Chamazi; Wafungaji ni Cheikh Toure, Albert Kangwanda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli.
- Title
- ZED FC 1-1 Azam FC | Highlights | Kombe la Shirikisho Afrika | CAFCC 16/10/2026
- Runtime
- 9:42
- Date posted
- 23 hours ago
- Description
- CAFCC: Imekwisha hivyo….
FT: ZED FC 1-1 Azam FC
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #AzamSports2HD na #AzamSports4HD
#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #CAFConfederationCup #ZEDFC #AzamFC
- Title
- ZED FC 1-1 Azam FC | Magoli | Kombe la Shirikisho Afrika | CAFCC 16/10/2026
- Runtime
- 2:19
- Date posted
- 23 hours ago
- Description
- CAFCC: Imekwisha hivyo….
FT: ZED FC 1-1 Azam FC
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #AzamSports2HD na #AzamSports4HD
#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #CAFConfederationCup #ZEDFC #AzamFC
- Title
- Geita Gold FC 0-3 Dodoma Jiji DC | Highlights | NBC Premier League 16/10/2026
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 23 hours ago
- Description
- #NBCPL: Chuma zote tatu hizi hapa...!
FT: Geita Gold 0-3 Dodoma Jiji
Burudani ya Kombe la Shirikisho inaendelea LIVE #AzamSports3HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #GeitaGolfFC #DodomaJijiFC #GeitaDodoma #GGFDFC
- Title
- Geita Gold FC 0-3 Dodoma Jiji DC | Magoli | NBC Premier League 16/10/2026
- Runtime
- 3:53
- Date posted
- 24 hours ago
- Description
- #NBCPL: Chuma zote tatu hizi hapa...!
FT: Geita Gold 0-3 Dodoma Jiji
Burudani ya Kombe la Shirikisho inaendelea LIVE #AzamSports3HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #GeitaGolfFC #DodomaJijiFC #GeitaDodoma #GGFDFC
- Title
- Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji FC | Highlights | NBC Premier League 16/10/2027
- Runtime
- 3:56
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #NBCPL: Chuma zote mbili hizi hapa zilizowekwa kambani katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
FT: Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji
Inafuata Geita Gold vs Dodoma Jiji saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #PambaJijiFC #FountainGatePambaJiji #FGTPMB
- Title
- Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji FC | Magoli | NBC Premier League 16/10/2027
- Runtime
- 2:57
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #NBCPL: Chuma zote mbili hizi hapa zilizowekwa kambani katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
FT: Fountain Gate 1-1 Pamba Jiji
Inafuata Geita Gold vs Dodoma Jiji saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #PambaJijiFC #FountainGatePambaJiji #FGTPMB
- Title
- WEDNESDAY NIGHT LIVE | Ujue mchezo mpya wa soka uitwao "Min Football
- Runtime
- 53:17
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Katika kipindi cha Wednesday Night Live, safari hii inakuletea wataalamu wa mchezo wa min football, mchezo ambao idadi ya wachezaji kwa kila timu ni sita.
IddY Muhunzi ambaye ni Makamu wa Rais wa Chama cha Min Football (TAMFA) na Seif Jamal Suleiman ambaye ni kocha wa mchezo huo.
Mwenyeji wao ni mtangazaji Patrick Nyembera.
- Title
- Drogba atua Tanzania kuhamasisha AFCON 2027
- Runtime
- 1:57
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- DIDIER DROGBA AWASILI TANZANIA: Nyota wa zamani wa Chelsea raia wa Ivory Coast, Didier Drogba ametua nchini kwa mwaliko wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa ni sehemu ya hamasa kuelekea fainali za #AFCON2027
Akizungumzia AFCON, Drogba amesema kuandaa mashindano hayo si jambo dogo, akieleza kuwa ni fursa muhimu kwa Watanzania kuungana, kuiunga mkono timu yao ya taifa na kuhakikisha nchi inang’ara kupitia soka.
Drogba, ambaye ni miongoni mwa majina makubwa katika historia ya soka la Afrika, amesisitiza umuhimu wa Tanzania kutumia fursa ya kuandaa mashindano hayo kujitangaza kimataifa, kukuza utalii na kuendeleza sekta ya michezo.
#AFCON2027 #Drogba
- Title
- Simba SC TV | 16/10/2026: Mnyama alivyoifunga Yanga 2-1 na kuichakaza Mashujaa 6-1.
- Runtime
- 24:47
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Kwenye Simba TV juma hili imeangazia zaidi michezo yake miwili ya NBC Premier League ambayo alifanikiwa kuondoka na alama zote sita mbele ya Yanga SC na dhidi ya Mashujaa.
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Ally Kamwe asema kwa sasa wana hasira, Simba bado wapo na dabi
- Runtime
- 11:03
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Tazama taarifa zilizochukua nafasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Yanga kuipania mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya CFFA FC.
Simba bado hawajamalizana na Yanga kutokana na matokeo ya Kariakoo Derby.
- Title
- NYAVUNI | 16/10/2026 | Magoli 10 bora na 'saves' kali Ligi Kuu ya NBC 2026/2027.
- Runtime
- 18:40
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Magoli ya Ellie Mpanzu, Idriss Diomande na Peter Shalulile ndiyo yamechukua nafasi tatu za juu.
Goli nambari moja linatoka kwa Ellie Mpanzu akiiongoza Simba SC ikiichapa Yanga SC Magoli 2-1.
Upande wa saves kali, kinara ni ile ya golikipa wa Azam FC, Aishi Manula katika mchezo dhidi ya Coastal Union.
Mkali wetu wa wiki ni Ellie Mpanzu wa Simba SC.
Usikose #Nyavuni kila Alhamisi saa 4:00 usiku #AzamSports1HD
- Title
- MSHIKEMSHIKE 15/10/2026
- Runtime
- 48:43
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli yote sita | Gor Mahia 4-2 Murang'a Seal | SportPesa League Kenya 13/10/2026
- Runtime
- 7:23
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Tazama magoli yote sita, Gor Mahia wakimpiga Murang'a Seal 4-2 kwenye Dimba la Nyayo, Nairobi, ikiwa ni raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Kenya, #SportPesaLeague
Wafungaji wa Gor Mahia ni Alpha Onyango, Sharif Musa aliyefunga mawili na Jackson Dwang' , kwa Murang'a Seal magoli yote mawili yamefungwa na Josphat Lopaga.
- Title
- SPORTS AM: Baada ya kuichapa Yanga Shabiki wa Simba ajiapiza ubingwa wa NBC PL 2026/26
- Runtime
- 2:41
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #KariakooDerby Shabiki wa Simba William Johnson anasema wanachohitaji kwa mzunguko wa pili wa ligi ni kuchukua alama moja kwa Yanga, na alama moja kwa Azam FC ili kutangza ubingwa wa NBC Premier league msimu huu…
Je, unakubaliana naye?
Said Msumi anamtunzia risiti yake hadi mwishoni mwa msimu, mwezi Mei mwakani
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaYanga #shabiki #SportsAM
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Yusuf Bakhresa yupo bega kwa bega na Azam FC
- Runtime
- 10:33
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- AZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mmiliki wa Azam FC, Yusuf Bakhresa yupo bega kwa bega na timu yake nchini Misri kuhakikisha vijana wake wanafanya vizuri kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), dhidi ya ZED FC.
Ukaribu wake kwa mashabiki wanogesha zaidi.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha viwanjani.
#Viwanjani
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 14/10/2026
- Runtime
- 53:32
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mashabiki Simba wafanya paredi kwa kikosi chao kabla ya kuivaa Mashujaa
- Runtime
- 9:19
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Tazama mapokezi waliyopewa wachezaji wa Simba SC, jana Oktoba 13, 2026, wakati wakiwasili katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Hii ilikuwa kuelekea mechi yao ya NBC Premier League dhidi ya Mashujaa FC.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha viwanjani ambapo mtangazaji @gharib_mzinga23 asema jambo hilo ni deni kwa wachezaji.
#Viwanjani
- Title
- Magoli | Kariakoo Derby | Kamera mbalimbali
- Runtime
- 2:34
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #KariakooDerby
- Title
- AzamTV - NBC Premier League Anthem_2026/27 (Drill Version)
- Runtime
- 1:43
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba yaendeleza moto NBC PL,Twiga Stars yaitandika timu ya Taifa ya wanawake ya Botswana.
- Runtime
- 51:53
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Nginjanginja za Doumbia wa Simba kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa FC
- Runtime
- 2:19
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #NBCPL: Tazama takribani dakika mbili za ‘mwamba’ Ibrahim Doumbia baada ya kuingia katika kipindi cha pili kwenye mchezo wa jana Oktoba 13, 2026, dhidi ya Mashujaa FC.
Katika mchezo huo mnyama alishusha kipigo cha magoli 6-1 ndani ya dimba la Uhuru Dar es Salaam.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #SimbaSC #MashujaaFC #SimbaMashujaa
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 13/10/2026
- Runtime
- 43:32
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba 6-1 Mashujaa | Highlights | NBC Premier League 13/10/2026
- Runtime
- 16:14
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Simba SC imeibonda Mashujaa FC kipigo cha mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Wa kwanza kufunga ni Libasse Gueye, akafuata Elie Mpanzu aliyefunga mawili.. huku wengine wakiwa ni Anicet Oura, Morice Abraham na Ismael Olivier Toure...
Goli la kufutia machozi ni la maajabu kutoka kwa Selemani Bwenzi...
Tazama magoli yote saba, na kadi nyekundu waliyopata Mashujaa FC kupitia kwa straika wake Hassan Kabunda.
- Title
- Magoli | Tanzania (W) 6-0 Botswana (W) | Kufuzu Olimpiki Wanawake 13/10/2026
- Runtime
- 5:38
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- TWIGA STARS: Timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars imeichapa Botswana mabao 6-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu Olimpiki 2028 itakayofanyika nchini Marekani.
Wafungaji wa magoli hayo ni Aisha Juma Mnunka,
Hasnath Ubamba, Ester Maseke, Opah Clement, Mary Siyame na Enekia Lunyamila.
- Title
- Magoli na kadi nyekundu | Simba SC 6-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 13/10/2026
- Runtime
- 11:32
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Simba SC imeibonda Mashujaa FC kipigo cha mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Wa kwanza kufunga ni Libasse Gueye, akafuata Elie Mpanzu aliyefunga mawili.. huku wengine wakiwa ni Anicet Oura, Morice Abraham na Ismael Olivier Toure...
Goli la kufutia machozi ni la maajabu kutoka kwa Selemani Bwenzi...
Tazama magoli yote saba, na kadi nyekundu waliyopata Mashujaa FC kupitia kwa straika wake Hassan Kabunda.
- Title
- Simba vs Mashujaa | Fatma Chikawe alivyolifungua dawati la uchambuzi | NBC PL 13/10/2026
- Runtime
- 5:36
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- NBC PL: Fatma Abdallah Chikawe a.k.a Bibi Harusi Mpyaaaaa… anafungulia matangazo kwa ajili ya kuanza rasmi uchambuzi kuelekea mchezo wa Simba vs Mashujaa FC.
Fatma anaanza kwa kueleza machache kuhusu ubora na upekee wa NBC Premier League kama moja ya simulizi kubwa kuhusu Tanzania.
Hii ni mara ya kwanza kurejea kwenye ‘screen’ baada ya kufunga ndoa mwezi Septemba mwaka huu. Wachambuzi wake wa leo ni Ramadhan Mbwaduke na Godlisten Muro.
Je, ni kipi uliki-miss kutoka kwake?
Mambo yako LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #SimbaSC #MashujaaFC #SimbaMashujaa
- Title
- Goli la Free-Kick | Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC | PBZ Premier League 10/10/2026
- Runtime
- 0:48
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #PBZPL What a free-kick….!!!
Ni goli la Salim Khamis Babu likiiipa pointi tatu muhimu KMKM SC..
FT: Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC
#LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague #PBZPremierLeague #MuembemakumbiCity #KMKMSC #MuembeMakumbiKMKM
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Utamu wa Kariakoo Derby kwa dakika 4 | NBC PL 10/10/2026 (Montage)
- Runtime
- 4:45
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY | Pata uhondo wa mechi ya Simba vs Yanga (2-1), iliyopigwa Oktoba 10/10/2026 kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC...
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Ahmed Ally atangaza paredi dogo katika dimba la Uhuru
- Runtime
- 15:18
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Baada ya kushinda kwa magoli 2-1 katika mechi ya dabi ya Kariakoo, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza uwepo wa paredi nje ya dimba la Uhuru kuelekea mechi yao dhidi ya Mashujaa FC.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 12/10/2026
- Runtime
- 29:51
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Coastal Union 1-0 Singida BS | Highlights | NBC Premier League 12/10/2026
- Runtime
- 7:59
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
- Title
- Goli la Coastal Union dhidi ya Singida BS (1-0) | NBC Premier League 12/10/2026
- Runtime
- 1:03
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
Hili ndilo goli...
- Title
- Aman Josiah, “Tunategemea changamoto kubwa kesho”
- Runtime
- 4:09
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- SIMBA SC vs MASHUJAA | “Tunategemea changamoto kubwa kesho”
Kocha wa Mashujaa FC, Aman Josiah amesema mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Simba SC utakuwa fursa kwa timu yake kupima mambo mbalimbali.
Kwa upande wake, mchezaji Jonas Mkude amesema wanautazama mchezo huo kama michezo mingine, huku wakimpa heshima mpinzani wao na kujiandaa kukabiliana na changamoto watakayokutana nayo uwanjani.
Mashujaa watashuka dimbani kesho Oktoba 13, 2026 kuikabili Simba SC kuanzia saa 1:00 usiku na utakuwa LIVE #AzamSports1HD.
- Title
- Steve Barker ajiamini kuibuka na ushindi dhidi ya Mashujaa.
- Runtime
- 3:28
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- SIMBA SC vs MASHUJAA |Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema maandalizi waliyofanya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa FC yanampa imani ya kupata ushindi, akieleza kuwa mchezo uliopita unaongeza nguvu na ujasiri kwa kikosi chake kuelekea mchezo huo.
Kwa upande wake, mchezaji Antony Mligo amesema maandalizi ya kikosi hicho yanaendelea vizuri huku wachezaji wakitambua umuhimu wa kupata alama tatu katika mchezo huo.
Simba SC itashuka dimbani kesho, Oktoba 13, 2026 kuikabili Mashujaa FC kuanzia saa 1:00 usiku na utakuwa LIVE #AzamSports1HD.
- Title
- Takwimu za mechi ya Kariakoo Derby; Simba SC yatawala maeneo mengi uwanjani.
- Runtime
- 52:18
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- VIWANJANI: Wachambuzi wa soka Jabir Aziz , Godlisten Muro na Evans Mallya wametoa tathmini yao kuhusu takwimu za mechi ya Kariakoo Derby ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa Oktoba 10, 2026 ambapo Simba SC iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mpinzani wake.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mangungu abebwa juu na mashabiki wa Simba SC
- Runtime
- 10:41
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mara ya mwisho lini kumuona Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu akinyanyuliwa juujuu kama hivi….???
Hii ni baada ya #DerbyYaKariakoo iliyopigwa Jumamsoi Okroba 10, 2026.
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya #Viwanjani
#Viwanjani
- Title
- Magoli | Ulinzi Stars 0-2 Tusker FC | SportPesa League Kenya 11/10/2026
- Runtime
- 2:48
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #SportPesaLeague Magoli mawili, Tusker FC wakianza kwa kicheko ugenini.. Wafungaji ni Alvin Mang’enyi na Victor Mbaoma….
Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mbungi ikipigwa Ulinzi Sports Complex,
FT: Ulinzi 0-2 Tusker FC
#LigiKuuKenya #SportPesaLeague #UlinziStars #TuskerFC #UlinziTusker
- Title
- Goli la kwanza la msimu | Posta Rangers 0-1 Shabana FC | SportPesa League Kenya 10/10/2026
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #SportPesaLeague Goli la kwanza kabisa la msimu limetoka Shabana FC, na muuaji alikuwa ni Abdul Hafiz Hassan, raia wa Ghana…
Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mechi ikipigwa Wang'uru Stadium.
FT: Posta Rangers 0-1 Shabana FC.
#LigiKuuKenya #SportPesaLeague #PostaRangers #ShabanaFC #PostaRangersShabana
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 5:25
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #KariakooDerby “Elie Mpanzu with a beauty…. The heavens have opened up here in Dar es Salaam”
Magoli yote matatu kwa lugha ya Kiingereza kama yalivyoungurumishwa na Peter Otai.
FT: Simba SC 2-1 Yanga SC
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Mashabiki wa Simba wauchambua ushindi wao ndani ya Sports AM
- Runtime
- 26:16
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY: Tazama raha na furaha ya mashabiki watatu wa Simba SC, Yassin Idd, Sera, William Johnson wakiuchambua ushindi wa timu yao dhidi ya Yanga, ukiwa ni wa kwanza baada ya miaka mitatu kwenye ligi kuu....
Mashabiki hawa wananogesha uchambuzi wao kwa kuimba nyimbo mbalimbali, huku wakitambia ubora wa kikosi chao...
Mashabiki hawa wanasema kwa ushindi huu, hakuna cha kuwazuia kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu...
- Title
- Coastal Union vs Singida BS | Makocha watambiana kuelekea mechi yao ya Oktoba 12
- Runtime
- 6:21
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- PRESS: “Hatutaingia kwa uoga… tutacheza kama wenyeji”
Kocha wa Coastal Union, Fikiri Elias, anaeleza alivyojiandaa kuikabili Singida BS kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa kesho Oktoba 12 kwenye Dimba la Mkwakwani Tanga.
Fikiri anasema malengo yao ni alama tatu, na kuonesha kiwango bora huku akiongeza kwamba wao hawataingia kuufukuza mchezo kama ilivyo kwa wapinzani wao, akisema “…hawana historia nzuri kila wanapokuja Mkwakwani”
Kwa upande wa Singida BS, kocha wake Papy Kimoto anasema wanaingia kupambana kusaka alama tatu licha ya kutambua ugumu wa mchezo…
“..tunajua haitakuwa rahisi lakini tutapambana na kujitoa kwa kila kitu”
Mechi ni saa 10:00 LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #CoastalUnion #SingidaBS #CoastalSingidaBS
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Uchambuzi wa takwimu baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 6:20
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY | Hii ni sehemu ya uchambuzi baada ya mechi, Abissay Stephen na Godlisten Muro chini ya usimamizi wa Pareick Nyembera, wanazipitia takwimu za mechi ya Karikaoo Derby iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-1 dhidi ya Yanga.
- Title
- "Simba ya sasa inaweza kucheza na Barcelona, Real Madrid"
- Runtime
- 5:21
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- SPORTS AM: “Kikosi cha Simba kina wachezaji ambao wanaweza kucheza Hispania, dhidi ya Barcelona na Real Madrid”.
Mashabiki wa Simba ndani ya Sports AM, wanaimwaga furaha yao wakitambia ubora wa kikosi chao kuwa ndiyo sababu ya kuichapa Yanga mabao 2-1 kwenye Kariakoo Derby ya jana Oktoba 10.
Yassin Idd anasema kwa sasa Tanzania hakuna timu yenye kikosi bora zaidi yao na endapo wangefungwa, angehamia Azam FC…..
Sera anasema Yanga wanatakiwa kuwashukuru wachezaji wa Simba kwa huruma waliyokuwanayo kwenye mchezo huo “ilipaswa iwe ni siku ya kuwadhalilisha”
William Johnson anasema hii ndiyo Simba ya asali na maziwa…
Je, na wewe unasemaje?
- Title
- Simba 2-1 Yanga | Ahmed Ally afunguka siri ya ushindi na mipango kuelekea mechi zijazo
- Runtime
- 5:10
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #KariakooDerby Baada ya kuichapa Yanga mabao 2-1, Simba SC kupitia kwa msemaji wake Ahmed Ally imeeleza siri ya ushindi huo, kubwa ikiwa ni maandalizi, lakini pia imeweka hadharani ratiba yake kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu ya NBC na Ligi ya Mabingwa Afrika.
Huyu hapa Ahmed Ally akizungumza LIVE kupitia kipindi cha #SportsAM cha leo Oktoba 11, 2026
- Title
- "Tumetangaza ubingwa leo" - Mashabiki wa Simba watamba baada uifunga Yanga 2-1 NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 2:59
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #KariakooDerby “…tumefuta uteja.... tumetangaza ubingwa leo…. Simba ni bingwa”
Furaha ya mashabiki wa Simba baada ya kumfunga mtani wao Yanga kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu baada ya miaka mitatu…
Yupo K-Mziwanda, yupo, Dkt. Mayala, yupo Dkt. Mohamed ambaye anasema “….ukimfunga Yanga maana yake wewe ni bingwa”
Hapa ni Uhuru Stadium baada ya mechi, Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1.
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaYanga #AhmedAlly #SportsAM
- Title
- Simba yafafanua kuhusu ukubwa wa 'bonasi' baada ya kuifunga Yanga 2-1 kwenye NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 5:10
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- AHMED ALLY: “Hiyo bilioni moja, hata mimi natoa”.
Kuhusu bonasi….. Je, waliahidiwa shilingi bilioni moja?
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anafafanua akisema shilingi bilioni moja ni ‘level’ yake yeye, akimaanisha kuwa bonasi itakayotolewa kwa kuifunga Yanga ni zaidi ya shilingi bilioni moja…
Kuhusu program ya timu…..
Ahmed Ally ameeleza kuhusu ratiba akisema baada ya ushindi wa jana, hakuna kupumzika, “ni kazi na dawa”, na leo kikosi kinaendelea na tizi kuelekea mchezo ujao..
Kuhusu goli la Mpanzu, Ahmed anasema “..siwezi kulizungumza kwa dakika moja”.
Huyu hapa kupitia kipindi cha Sports AM asubuhi ya leo (11/10/2026) akianza kwa kutoa ufafanuzi kuhusu utaratibu na muundo wa bonasi zao ambapo amesema zinatolewa endapo timu imeshinda tu…. Lakini utaratibu huo uko tofauti kidogo upande wa mechi za kimataifa…
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaYanga #Ahmed...
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Ahmed Ally aomba radhi kwa "ushindi kiduchu"
- Runtime
- 4:03
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #KariakooDerby Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally baada ya ushindi, anawaomba radhi mashabiki “kwa ushindi kiduchu”, lakini anasema malengo yao ni ubingwa, hivyo hawabweteki na ushindi huu kwakuwa bado wana mechi 23.
Huyu hapa akiwa bado wa motrooooooo!!!!
#NBCPL #NBCPremierLeague #SimbaYanga #AhmedAlly #SportsAM
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Uchambuzi magoli mawili ya Simba | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 15:21
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby Baada ya mechi, wachambuzi Godlisten Muro na Abissay Stephen, wanayachambua kiufundi magoli mawili ya Simba, yote yakifungwa kipindi cha pili, na kukamilisha come-back, kwa ushindi wa mabao 2-1.
FT: Simba SC 2-1 Yanga SC
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Cheki 'opening' yake ilivyokuwa balaa | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 7:46
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby Sikia Baraka Mpenja alivyolipamba jiji la Dar es Salaam, wakati akiifungua Kariakoo Derby ya leo tarehe 10/10/2026.
Tazama muonekano na mandhari ya jiji hasa maeneo ulipo Uwanja wa Uhuru, mahali ilipopigwa Kariakoo Derby ya leo tarehe 10/10/2026.
Tazama ilivyoanza Kariakoo Derby ya leo Tarehe 10/10/2026 kwa kipyenga cha mwamuzi Ahmed Arajiga….
FT: Simba SC 2-1 Yanga SC
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga

