Azam TV
NBCPL: Mwamba wa Umalila alivyoanza na simulizi bomba; Simba vs Coastal Union Meja Jenerali Isamuhyo
- Title
- NBCPL: Mwamba wa Umalila alivyoanza na simulizi bomba; Simba vs Coastal Union Meja Jenerali Isamuhyo
- Runtime
- 3:00
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba SC 1-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 27/08/2026
- Runtime
- 9:35
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Beki Ismail Toure amefunga goli pekee lililoipa Simba alama tatu muhimu dhidi ya Coastal Union, mchezo wa ligi kuu ya NBC, uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
- Title
- Goli pekee la Simba SC dhidi ya Coastal Union (1-0) | NBC Premier League 27/08/2026
- Runtime
- 1:49
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Beki Ismail Toure amefunga goli pekee lililoipa Simba alama tatu muhimu dhidi ya Coastal Union, mchezo wa ligi kuu ya NBC, uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Tazama goli...
- Title
- Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 27/08/2026
- Runtime
- 4:06
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mashujaa FC wamefanya 'come-back' na kushinda 2-1 dhidi ya Kagera Sugar waliokuwa wametangulia kwa goli la Mudathir Abdulla Said.
Magoli ya Mashujaa yamefungwa ndani ya dakika ya saba, wafungaji wakiwa ni Mishamo Daud na Haroun Lyawatwa ..
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
- Title
- Magoli | Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar | NBC Premier League 27/08/2026
- Runtime
- 4:26
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mashujaa FC wamefanya 'come-back' na kushinda 2-1 dhidi ya Kagera Sugar waliokuwa wametangulia kwa goli la Mudathir Abdulla Said.
Magoli ya Mashujaa yamefungwa ndani ya dakika ya saba, wafungaji wakiwa ni Mishamo Daud na Haroun Lyawatwa ..
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma.
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Doumbia kuanza kufunga dhidi ya Coastal...????
- Runtime
- 10:51
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- VIWANJANI: Simba SC yapewa nafasi kubwa dhidi ya Coastal Union.
- Runtime
- 22:54
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka, Khalid Chukuchuku anaamini Simba SC ina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa leo, akitaja faida ya kucheza nyumbani na uimara wa kikosi cha Simba kwa sasa.
Mtazamo huo umeungwa mkono na wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke na Frank Domayo ambao wanaona mazingira ya mchezo yanaipa Simba SC nafasi ya kupata alama tatu.
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE | 26/08/2026.
- Runtime
- 35:17
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Je, unapajua 'Mwisho wa Reli'? Ni hapa....
- Runtime
- 3:19
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- KUTOKA KIGOMA | “..Mambo kwa ushahidi”
Kuna ule msemo wa ‘Mwisho wa Reli Kigoma’; Je umeshawahi kuwaza hapo mwisho wa reli penyewe panafananaje?
Timu yetu ya Azam Sports ambayo ipo Kigoma kwaajili ya mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya Mashujaa FC dhidi ya Kagera Sugar inakuletea simulizi fupi ya mwisho wa reli kwa ushahidi….
Huyu hapa @wastara24 akituoneshe ‘Mwisho wa Reli’.
Mechi inapigwa kesho Agosti 27 saa 10:00 jioni LIVE #azamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MashujaaFC #KageraSugar
- Title
- Coastal Union yajipanga kuitibua Simba SC.
- Runtime
- 1:37
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- SIMBA SC vs COASTAL UNION: Kocha wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema benchi lake la ufundi limefanya kazi ya kutosha kuzisoma mbinu za Kocha wa Simba SC, Steve Barker kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC.
Fikiri amesema wamejiandaa vyema kukabiliana na mipango ya Simba SC na wanaingia uwanjani wakiwa na lengo la kuondoka na alama zote tatu.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI: Mjadala timu sita ambazo hazijapata ushindi mpaka sasa NBC Premier League.
- Runtime
- 38:24
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Wachambuzi wa soka wamezungumzia mwenendo wa timu sita ambazo hadi sasa hazijapata ushindi wa alama tatu katika Ligi Kuu ya NBC.
Miongoni mwa timu hizo ni Kagera Sugar, ambayo imekuwa ikipambana kusaka ushindi katika mwendelezo wa ligi chini ya Kocha Juma Kaseja.
Mchambuzi wa soka, Amri Kiemba amesema sasa ni wakati kwa kocha Kaseja kuangalia namna bora ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji na kuongeza kasi pamoja na ufanisi wa kupata mabao, ili Kagera Sugar iweze kuanza kuvuna alama tatu dhidi ya wapinzani wake.
Azam TV
- Title
- Simba vs Coastal Union: Matola aweka wazi maandalizi ya kikosi kuelekea mchezo wao na Coastal Union.
- Runtime
- 1:47
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Kocha Msaidizi wa Simba SC, Seleman Matola akizungumzia maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union.
Matola amesema mpinzani wao amekuwa hana matokeo mazuri lakini anaonesha mchezo mzuri jambo ambalo linaonesha mechi itakuwa ngumu.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI: Namungo haijawa imara.
- Runtime
- 28:05
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka, George Job amesema Namungo ya sasa imepoteza baadhi ya misingi iliyoiwezesha kufika Ligi Kuu, akitaja mabadiliko ya bajeti, falsafa ya usajili na mambo mengine ya msingi kuwa miongoni mwa sababu zinazofanya timu hiyo ionekane tofauti na ile iliyopanda daraja.
Azam TV
- Title
- Dodoma Jiji 0-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/08/2026
- Runtime
- 6:41
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Tazama highlights, Anuary Jabir akiifunga timu yake ya zamani na kushangilia hadi ‘kuweka kando’ jezi yake: Je, ina maana gani?
FT: Dodoma Jiji 0-1 Polisi Tanzania.
Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ikipigwa Jamhuri Stadium, Dodoma.
- Title
- Goli la Anuary Jabir | Dodoma Jiji 0-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 25/08/2026
- Runtime
- 1:25
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Tazama goli la Anuary Jabir akiifunga timu yake ya zamani na kushangilia hadi ‘kuweka kando’ jezi yake: Je, ina maana gani?
FT: Dodoma Jiji 0-1 Polisi Tanzania.
Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ikipigwa Jamhuri Stadium, Dodoma.
- Title
- Namungo FC 1-0 Fountain Gate FC | Highlights | NBC Premier League 25/08/2026
- Runtime
- 4:07
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Goli pekee kutoka kwa Herbert Lukindo limeipa alama tatu muhimu Namungo FC, kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Fountain Gate FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi.
- Title
- Goli pekee | Namungo FC 1-0 Fountain Gate FC | NBC Premier League 25/08/2026
- Runtime
- 1:16
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Goli pekee kutoka kwa Herbert Lukindo limeipa alama tatu muhimu Namungo FC, kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Fountain Gate FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi.
Hili hapa goli
- Title
- VIWANJANI : Coastal Union wagawana alama na TRA United.
- Runtime
- 33:37
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Wachambuzi wafunguka mitazamo yao baada ya Coastal Union kushindwa kubakisha alama zote tatu mbele ya TRA United.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI : Yanga yaendeleza mwendo kuzinyakua alama tatu! kipigo cha magoli 4-0 kwa JKT Tanzania.
- Runtime
- 38:22
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka Lilian Mukulu amesema mchakato wa Shalulile kulitafuta na kulifunga goli katika mchezo wao wa NBC Premier League ulikuwa bora, akisisitiza namna Yanga wanavyotumia kasi na nguvu ya mashambulizi yao.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | JKT Tanzania yasema kila timu itakutana na Yanga
- Runtime
- 15:07
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: “Uzuri kila mtu atacheza nao hawa jamaa” JKT Tanzania wanasema kila timu itakutana na Yanga.
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha viwanjani.
#Zilizobamba #Viwanjani
- Title
- Coastal Union 1-1 TRA United | Highlights | NBC Premier League 24/08/2026
- Runtime
- 7:09
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Ni sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.. mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliowakutanisha wenyeji Coastal Union dhidi ya TRA United.
Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Ani Elijah kabla ya Shiza Kichuya kuchomoa kwa tikitaka fulani hivi.
- Title
- Magoli | Coastal Union 1-1 TRA United | NBC Premier League 24/08/2026
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Ni sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.. mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliowakutanisha wenyeji Coastal Union dhidi ya TRA United.
Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Ani Elijah kabla ya Shiza Kichuya kuchomoa kwa tikitaka fulani hivi.
Haya hapa magoli yote...
- Title
- Kocha Yanga hajaridhika na ushindi wa 4-0 dhidi ya JKT Tanzania (neno la makocha baada ya mechi)
- Runtime
- 4:31
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Kocha wa Yanga Manqoba Mngqithi ameeleza kutoridhishwa na ushindi wa 4-0 alioupata leo dhidi JKT Tanzania, akisema walistahili kupata mabao mengi zaidi.
Kocha Manqoba amesema bado wana kazi ya kufanya na kwamba anashukuru kuona kikosi chake kinaimarika siku hadi siku...
Kwa upande wake Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally anaeleza kilichomfelisha kwenye mchezo wa leo, kubwa ikiwa ni wachezaji wake kupoteza umakini…
Kocha Ahmad pia anaeleza jinsi atakavyoirekebisha timu yake kiufundi, akisema “bado tuna kazi ya kufanya”.
- Title
- Yanga SC 4-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 24/08/2026
- Runtime
- 12:42
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Yanga SC imeishusia kichapo kizito JKT Tanzania cha mabao 4-0 katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC, mechi ikipigwa KMC Complex, Dar es Salaam.
Waliotikisa nyavu ni Albert Kangwanda, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka na Peter Shalulile.
- Title
- Magoli yote | Yanga SC 4-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 24/08/2026
- Runtime
- 6:23
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Yanga SC imeishusia kichapo kizito JKT Tanzania cha mabao 4-0 katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC, mechi ikipigwa KMC Complex, Dar es Salaam.
Waliotikisa nyavu ni Albert Kangwanda, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka na Peter Shalulile.
- Title
- PRESS SIMBA | Simba SC yathibitisha mechi za nyumbani kuhamia Meja Jenerali Isamuhyo.
- Runtime
- 37:34
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza na waandishi wa habari.
Amesema kuanzia sasa mechi zao za nyumbani za Ligi Kuu ya NBC, zitachezwa katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya wapinzani wao Coastal Union utakaopigwa Agosti 27, 2026.
Aidha, Ahmed amesema kikosi cha Simba SC, kitaondoka nchini Septemba 4, 2026 kuelekea Malawi ili kuwakabili wapinzani wao ambapo mchezo wao dhidi ya Might Wonderers utakuwa ni Septemba 5, 2026.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI: Ushindi mwingine kwa Mnyama ugenini! wachambuzi watia neno baada ya matukio ya uwanjani.
- Runtime
- 20:06
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Michael Hyera na Khalid Chukuchuku wameeleza kwa undani matukio mawili yaliyoibua mjadala katika mchezo wa NBC Premier League kati ya Singida BS dhidi ya Simba SC.
Tukio la penati na kadi nyekundu aliyooneshwa mchezaji wa Simba SC, Antony Mligo.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | JKT Tanzania yajibu mapigo kwa kocha wa Yanga
- Runtime
- 18:54
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: JKT Tanzania wajibu mapigo kwa kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi ambaye jana Agosti 23, 2026 alionesha ufundi wa kutaja majina ya kila mchezaji kwenye kikosi cha wapinzani wake na kuwachambua pia.
Timu hizo zinakutana leo Agosti 24, 2026 katika dimba la KMC Complex, saa 12:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
Ni #Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha viwanjani.
#Viwanjani #Zilizobamba
- Title
- Alama tatu Chamazi! Wachambuzi watoa tathmini za kiufundi ushindi wa Azam FC dhidi ya Pamba Jiji.
- Runtime
- 20:24
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Michael Hyera amesema licha ya Pamba Jiji kupoteza mchezo huo, Kocha Francis Baraza alionekana kuridhishwa na kiwango cha kikosi chake, hasa kutokana na namna wachezaji walivyotekeleza majukumu yao uwanjani.
Azam TV
- Title
- Ngao ya jamii Zanzibar ilivyokabidhiwa kwa KVZ FC - 23/08/2026
- Runtime
- 5:04
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NgaoYaJamiiZanzibar Washndi KVZ walivyokabidhiwa medali na ngao yao…
FT: KVZ FC 2-2 KMKM SC (Pen: 8-7).
Mechi ilipigwa kwenye Dimba la Mao Zedong.
- Title
- Azam FC 2-1 Pamba Jiji | Highlights | NBC Premier League 23/08/2026
- Runtime
- 8:42
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi,.
Wafungaji upande wa Azam FC ni Enock Molia na Abdul Suleiman Sopu kwa penati huku la Pamba likifungwa na Nanyem Okorocha.
Tazama highlights...
- Title
- Magoli | Azam FC 2-1 Pamba Jiji FC | NBC Premier League 23/08/2026
- Runtime
- 4:17
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi,.
Wafungaji upande wa Azam FC ni Enock Molia na Abdul Suleiman Sopu kwa penati huku la Pamba likifungwa na Nanyem Okorocha.
Tazama magoli...
- Title
- Magoli na mikwaju ya penati | KVZ FC 2-2 KMKM SC (Pen: 8-7) | Ngao ya Jamii Zanzibar 23/08/2026
- Runtime
- 10:47
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Timu ya KVZ FC imefanikiwa kutwaa taji la Ngao ya jamii Zanzibar kwa ushindi wa penati 8-7 dhidi ya KMKM SC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mao Zedong.
KMKM ndiyo waliotangulia kupata magoli kupitia kwa Mateo Antony na Jasper Babalika, lakini KVZ wakachomoa yote mawili kupitia kwa Mudrick Gonda na Akram Muhina 'Haaland aliyefunga bonge la bao..
Kwa mechi hii sasa ni rasmi pazia la ligi kuu ya Zanzibar limefunguliwa..
- Title
- Mbeya City 2-1 Mashujaa FC | Highlights | NBC Premier League 23/08/2026
- Runtime
- 5:49
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Magoli yote matatu….Mbeya City wakifanya ‘come-back’ ya kibabe baada ya kutanguliwa kwa kombora la Hijja Shamte aliyefanya 'uchokozi'.
Wauaji kutoka Mbeya City ni Adily Buha kwa penati na Oscar Mwajanga.
FT: Mbeya City 2-1 Mashujaa FC
Hii ni Ligi Kuu ya NBC, mchezo ukipigwa Sokoine Stadium, Mbeya.
- Title
- Magoli | Mbeya City 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 23/08/2026
- Runtime
- 3:12
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Magoli yote matatu….Mbeya City wakifanya ‘come-back’ ya kibabe baada ya kutanguliwa kwa kombora la Hijja Shamte aliyefanya 'uchokozi'.
Wauaji kutoka Mbeya City ni Adily Buha kwa penati na Oscar Mwajanga.
FT: Mbeya City 2-1 Mashujaa FC
Hii ni Ligi Kuu ya NBC, mchezo ukipigwa Sokoine Stadium, Mbeya.
- Title
- Kocha JKT Tanzania akoshwa na ujio wa wachezaji kutoka ligi kubwa Afrika
- Runtime
- 4:23
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- YANGA vs JKT TANZANIA: Kocha Ahmad Ally wa JKT Tanzania, anasema ligi ya Tanzania imeongezeka ubora kutokana na ongezeko la wachezaji ambao awali walikuwa wanaonekana kwenye ligi za nchi nyingine.
Kocha huyo amemsifu Kocha wa Yanga, Manqoba Mngqithi akimtaja kuwa ni mtu aliyepita kwenye mikono ya makocha wakubwa akiwemo Pitso Mosimane.
Ni kuelekea mchezo wa NBC Premier League kesho Agosti 24, 2026 katika dimba la KMC Complex.
Nahodha Edward Songo anasema kesho haiwezi kuwa mechi rahisi na mara zote wanapokutana na Yanga, shughuli huwa sio nyepesi.
Mechi ni saa 12:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- Kocha wa Yanga aamua kuwachambua wachezaji wa JKT Tanzania kwa kuwataja majina
- Runtime
- 4:49
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- YANGA vs JKT TANZANIA: Msikie Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi akimtaja mchezaji mmoja baada ya mwingine wa JKT Tanzania kuelekea mchezo wa NBC Premier League kesho Agosti 24, 2026 katika dimba la KMC Complex.
Kocha huyo ameanza na golikipa Ramadhan Chalamanda na kuchambua uwezo wake kisha kwenda kwa mabeki, viungo na washambualiaji huku akiwataja kwa majina yao.
Kwa upande wake golilikipa Abuutwalib Mshery anasema JKT Tanzania watakuja kwa tahadhari kwasababu wanahitaji kushinda.
Mechi ni saa 12:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi
- Title
- Geita Gold 6-2 Kagera Sugar | Magoli | NBC Premier League - 22/08/2026
- Runtime
- 7:27
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL Magoli yote nane yaliyofungwa katika dimba la Bukombe, Geita. Chuma sita zikitoka kwa wenyeji na magoli mawili ni ya wageni.
Wafungaji upande wa Geita Gold ni Richardson Ng'ondya (11’, 63’), Obrey Chirwa 24’ (p), 70’) na Yussuf Mhilu ( 38’ 46’)
Wafungaji upande wa Kagera Sugar ni Hassan Omary 40’ na Robert Mkandya 90’+1
FT: Geita Gold 6-2 Kagera Sugar
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #GeitaGold #KageraSugar #GeitaKagera
- Title
- Geita Gold 6-2 Kagera Sugar | Uzuri wa dimba la Bukombe Geita linalotumiwa na Geita Gold
- Runtime
- 2:04
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- #NBCPL: Tazama namna ulivyo mji wa Ushorombo mkoani Geita pamoja na uzuri wa dimba la Bukombe ambalo jana Agosti 22, 2026 ilipigwa kwa mara ya kwanza mechi ya NBC Premier League kati ya wenyeji Geita Gold dhidi ya Kagera Sugar.
Mwakalobo ndiye msimuliaji wa kila kitu utakachokiona hapa.
FT: Geita Gold 6-2 Kagera Sugar
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #GeitaGold #KageraSugar #GeitaKagera
- Title
- Highlights | Singida BS 1-2 Simba SC | NBC Premier League 22/08/2026
- Runtime
- 11:13
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli na kadi nyekundu | Singida BS 1-2 Simba SC | NBC PL 22/08/2026
- Runtime
- 4:57
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Simba SC imebeba alama tatu kwa kuichapa Singida BS mabao 2-1, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida.
Magoli ya Simba SC yamefungwa na Clatous Chama na Rushine De Reuck huku Singida BS wakipata bao lao kupitia kwa Sheikhan Ibrahim
Katika mchezo huu, Mchezaji wa Simba SC, Anthony Mligo amepewa kadi nyekundu.
- Title
- Vita ya maneno ya mashabiki Simba, Yanga, Azam FC kuhusu mwenendo wa ligi
- Runtime
- 9:53
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mashabiki wa Simba na Yanga watunishiana misuli kuhusu ubora wa timu zao.
Shabiki wa Azam FC alalamikia timu yake kutopewa nafasi kwenye vyombo vya habari.
- Title
- MSHIKEMSHIKE | 21/08/2026.
- Runtime
- 44:11
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- SIMBA TV: Maandalizi ya NBCPL, Matukio mechi ya Kagera Sugar na timu ya Wanawake Kuelekea CECAFA.
- Runtime
- 25:34
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Okello awaaga rasmi Yanga, Ahmed Ally, Kamwe wafunguka
- Runtime
- 19:34
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Allan Okello ameaga rasmi mitaa ya Jangwani akiwashukuru kwa upendo wao na kuita Yanga ni nyumbani.
Ally Kamwe, Ahmed Ally na Massanza wafunguka kuhusu mechi za NBC Premier League.
- Title
- VIWANJANI: Azam FC wapewe muda, George Job atoa sababu.
- Runtime
- 38:22
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka George Job anasema watu wasijisahaulishe kwamba Azam FC ina wachezaji wengi wapya ambao wanahitaji muda kiasi kujijenga.
Job anasema ilikuwa muhimu kwa Azam FC kupata alama tatu jana Agosti 20, 2026, dhidi ya TRA United kwasababu kama isingefanya hivyo basi leo ingekuwa gumzo kuhusu kiwango chao.
Mchezo huo wa NBC Premier League ulimalizika kwa Azam FC kushinda magoli 2-1.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI | “Yanga wameua mende kwa nyundo!” Wachambuzi watia neno kipigo cha Coastal Union.
- Runtime
- 46:23
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Mchambuzi wa soka Abissay Stephen akitathmini ushindi wa Yanga SC wa mabao 4-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa NBC Premier League uliochezwa jana Agosti 20, 2026.
Abissay anaeleza kuwa tofauti ya ubora kati ya timu hizo ilikuwa kubwa, huku Yanga wakitawala mchezo na kuonesha ubora wao mbele ya mpinzani wake.
Kwa upande wake George Job amesema Coastal Union wana changamoto katika eneo la usajili.
Azam TV
- Title
- VIWANJANI | Wachambuzi Abissay, George Job wabishana kadi nyekundu ya Manyasi dhidi ya Yanga
- Runtime
- 5:35
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- VIWANJANI: “Kwangu sio kadi nyekundu”
‘Vitaa ikaanza kati ya wachambuzi @abissay_stephen na @georgejob_gj na mtangazaji @ibrakasuga kuhusu tukio la kadi nyekundu la Geofrey Manyasi wa Coastal Union kwenye mchezo wa jana Agosti 20, 2026 dhidi ya Yanga SC.
Job anasema kosa la Manyasi ni kwamba alisimama juu ya mguu wa Duke Abuya, lakini Abissay anasema hapana.
#Viwanjani
- Title
- Azam FC 2-1 TRA United | Highlights | NBC Premier League 20/08/2026
- Runtime
- 8:26
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu 2026/27 kwa kuichapa TRA United mabao 2-1, mchezo ukipigwa Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Azam yamefungwa na Idd Seleman 'Nado', na Abdul Suleiman Sopu huku TRA United wakipata bao lao kupitia kwa Ousmane Kamisoko.
Katika mchezo huu, golikipa wa Azam FC, Aishi Manula alipata pigo kwa kulimwa kadi nyekundu dakika ya 76.
- Title
- Magoli na kadi nyekundu | Azam FC 2-1 TRA United | NBC PL 20/08/2026
- Runtime
- 4:45
- Date posted
- 2 months ago
- Description
- Azam FC imepata ushindi wake wa kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu 2026/27 kwa kuichapa TRA United mabao 2-1, mchezo ukipigwa Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Azam yamefungwa na Idd Seleman 'Nado', na Abdul Suleiman Sopu huku TRA United wakipata bao lao kupitia kwa Ousmane Kamisoko.
Katika mchezo huu, golikipa wa Azam FC, Aishi Manula alipata pigo kwa kulimwa kadi nyekundu dakika ya 76.

