Azam TV
KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi wafunguka kuhusu kanuni.
- Title
- KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi wafunguka kuhusu kanuni.
- Runtime
- 52:34
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Charles Abel, Khatimu Naheka na Jabir wachambua jinsi utekelezaji wa kanuni mpya za Ligi Kuu ya NBC utakavyoboresha uendeshaji wa ligi.
Azam TV
- Title
- Singida BS 1-2 Simba SC | Highlights | Kagame Cup 31/07/2026
- Runtime
- 7:59
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli | Singida BS 1-2 Simba SC | Kagame Cup 31/07/2026
- Runtime
- 2:54
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli | Jamus FC 2-1 Mogadishu SC CC | Kagame Cup 31/07/2026
- Runtime
- 3:02
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba Day yaibua taswira mpya ya klabu.
- Runtime
- 48:19
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Mchambuzi wa soka,Ramadhan Mbwaduke ameipongeza Simba SC kwa ubunifu kuelekea uzinduzi wa wiki ya Simba akisema hatua hiyo inaonesha klabu imevuka mipaka ya ushindani wa uwanjani na kuendelea kujenga uhusiano wa karibu na jamii.
Kwa upande wake mchambuzi wa soka Godlisten Muro aneleza kuwa msingi wa kikosi cha Yanga bado upo jambo linaloifanya timu hiyo kuwa na nafasi ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao.
Uzinduzi wa Wiki ya Simba Day ni kesho Agosti 1, 2026.Azam TV
- Title
- Matajiri wa Jiji waanza moto, Ibenge aongeza dozi.
- Runtime
- 42:23
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Mchambuzi Ramadhan Mbwaduke amesema kinachoendelea Azam FC ni ujumbe unaowasilishwa kwa wapinzani ukionesha wazi malengo ya klabu hiyo msimu huu wa 2026/2027.
Azam TV
- Title
- VITASA | Said Bwanga VS Musuuza Hassan | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 4:38
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VITA YA MAFUNDI: Mapemaaa… Said Bwanga amemkalisha kwa KO mpinzani wake Musuuza Hassan kutoka Uganda.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Ibrahim Mafia VS Smuel Martey | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 38:03
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VITA YA MAFUNDI: Bondia Mtanzania, Ibrahim Mafia baada ya atangazwa mshindi kwa pointi dhidi ya Samuel Martey kutoka Ghana.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Salim Mtango VS Husin Makumbi | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 8:11
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VITA YA MAFUNDI: Mapema tu maji yakajitenga na mafuta.
Raundi ya pili tu tukaipata TKO ikiletwa na Salim Mtango dhidi ya Husin Makumbi
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Anuary Mlawa VS Stephen Olang | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 30:09
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Tanzania inaendelea kung'ara kwenye usiku wa #KnockoutYamama ambapo Mtanzania Anuary Mlawa ameshinda kwa pointi dhidi ya Stephen Olang kutokea Kenya.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Richard Mtangi VS Shakur Samed | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 38:03
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Richard Mtangi amebaki na mkanda wake wa WBO Afrika kwa kumchapa kwa pointi Shakur Samed kutoka Ghana.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
Tulikua LIVE #AzamSports3HD
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Salim Hussein VS Sem Matheus | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 5:25
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- TKO ya mapema zaidi imeletwa na kijana Mtanzania, Salim Hussein akimchapa Sem Matheus kutoka Namibia katika raundi ya kwanza tu.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- Gormahia FC 1-0 FC Garde Republicane | Highlights | Kagame Cup 30/07/2026
- Runtime
- 6:20
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- VITASA | Kalolo Amir VS Bongani Makovora | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 11:53
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Mtanzania, Kalolo Amir ameunyakua mkanda wa PST kwa TKO dhidi ya Bongani Makovora, kwenye pambano la nane usiku huu.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Abdulrahman Magoma VS Otieno Owino | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 31:46
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Mtanzania, Abdulrahman Magoma ameshinda kwa pointi dhidi ya Otieno Owino kutoka Kenya.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- APR FC 2-1 VIPERS SC | Highlights | Kagame Cup 30/07/2026
- Runtime
- 9:18
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- VITASA | Johnson Kiwia VS Simon Dladla | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 16:19
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- BQ ya kwanza katika pambano la sita kati ya Mtanzania, Johnson Kiwia dhidi ya Simon Dladla kutoka Afrika Kusini, baada ya mwamuzi kumaliza pambano baada ya Dladla kucheza faulo nyingi.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Said Hakim VS Asiphe Ntishil | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 32:10
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Mtanzania, Said Hakimu ameipeperusha vema bendera ya nchi kwa kushinda kwa pointi dhidi ya Asiphe Ntishil kutoka Afrika Kusini.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
#VitasaNight #Vitasa #HaijawahiKutokea #VitaYaMafundi #KnockoutYamama #SeasonIX
- Title
- VITASA | Muhidin Ndolanga VS Mustapha Mchina | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 10:34
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Shughuli imemshinda Muhidin Ndolanga na kurusha taulo.
Mshindi wa pambano ni Mustapha Mchina na ameshinda kwa KO
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#VItasa #KnockoutyaMama #AzamTv
- Title
- VITASA | Kato Machemba VS Keisham Singh | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 29:34
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Kato Machemba ameshinda kwa pointi dhidi ya Keisham Singh, kutoka India katika pambano la tatu
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#Vitasa #knockoutyaMama
- Title
- VITASA | Manga Divila VS Hamza Mchanjo | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 5:35
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Raundi ya pili tu imetosha kwa Manga Divila kutoka DR Congo kumkong’ota Hamza Mchanjo kwa KO.
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
#vitasa #knockoutyamama #AzamTV
- Title
- VITASA | Yusco Bedu VS Yamikani Mtambo | Knockout ya Mama 2026 Season 9
- Runtime
- 19:57
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Maji yalizidi unga kwa Mmalawi, Yamikani Mtambo baada ya kushusha mikono akiashiria kushindwa baada ya kichapo cha Mtanzania, Yusco Bedu.
Tumeipata KO ya kwanza
Ni kutokea hapa viunga vya The Super Dome, Masaki Dar Dar es Salaam.
- Title
- Fountain Gate yaendelea na mazoezi ya msimu mpya licha ya marufuku ya usajili.
- Runtime
- 50:42
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Wachambuzi George Job na Ayub Hinjo wanachambua kwa undan maandalizi ya timu na matarajio ya msimu mpya wa soka 2026.
Azam TV
- Title
- Feisal gumzo! Simba SC bado mapema, Yanga SC kazini.
- Runtime
- 51:24
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Wachambuzi George Job na Ayub Hinjo wanachambua kwa kina tetesi za usajili, maandalizi ya timu na matarajio ya msimu mpya wa soka 2026.
Azam TV
- Title
- Alama 5 zitaondolewa Kanuni mpya za TFF zafichuliwa.
- Runtime
- 1:31:34
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- MABADILIKO YA KANUNI: Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema Kamati ya Utendaji ya TFF imepitisha kanuni mpya zinazozipa mamlaka husika jukumu la kushughulikia masuala yanayoangukia ndani ya wajibu wao wa kisheria.
Karia amefafanua kuwa masuala yanayowahusu waandishi wa habari yatasimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA); huku masuala ya rushwa yakishughulikiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) badala ya kushughulikiwa na TFF.
Aidha, akizungumzia usajili wa wachezaji wa kigeni amesema kwa mujibu wa kanuni mpya; mchezaji wa kigeni anayesajiliwa anatakiwa awe ametoka katika ligi kuu ya nchi yake.
#TFF #NBCPL #LigiKuuYaNBC #WallaceKaria #MpiraWaMiguu #Tanzania
- Title
- TFF yaja na Kanuni mpya pamoja na adhabu kwa timu zitazokiuka.
- Runtime
- 3:57
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- MABADILIKO YA KANUNI: “Kanuni nyingine ni hii ya jumba la dhahabu...”
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kanuni mpya za uendeshaji wa ligi zimeweka adhabu kwa timu zitakazokataa kutumia vyumba vya kubadilishia nguo kwa wachezaji, ikiwemo hadi kupokonywa alama tano.
Karia amesema TFF itanunua vifaa maalumu vya kubaini uwepo wa gesi hatarishi kwenye vyumba hivyo; na endapo itabainika kuwa chumba kilichokataliwa hakina tatizo hilo, hatua za kinidhamu zitachukuliwa.
#Kanuni #NBCPL #LigiKuuYaNBC #NBCPremierLeagueAzam TV
- Title
- Magoli | Gor mahia 0-1 Vipers | Kagame Cup 29/07/2026
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Uchambuzi | CECAFA ikiendelea kupamba moto, Simba SC bado hawajaonesha makali yake.
- Runtime
- 2:30:27
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- TUSKER FC 0-1 RAYON SPORTS | Highlights | Kagame Cup 29/07/2026
- Runtime
- 7:43
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- KVZ 0-4 AL HILAL SC | Highlights | Kagame Cup 29/07/2026
- Runtime
- 9:36
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE - Azam TV 28/07/2026
- Runtime
- 44:28
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Jamus 0-0 Simba SC | Highlights | Kagame Cup 28/07/2026
- Runtime
- 6:18
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- WIKI YA MWANANCHI | Ally Kamwe aunguruma kuelekea Yanga Day
- Runtime
- 56:10
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- PRESS YANGA: “Tutakuwa na msafara wa magari 200”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema Agosti 4, 2026 wataanza msafara wa kuelekea Katoro mkoani Geita kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa #WikiYaMwananchi ambapo kilele chake ni Agosti 9, 2026.
Kamwe anasema baada ya uzinduzi pale Katoro, kisha wataanza safari ya kwenda Ushirombo ambako kikosi cha timu yao kitafanya mazoezi katika dimba la Beteko.
- Title
- Mogadishu City 1-4 Singida BS | Highlights | CECAFA Kagame Cup 2026 - 28/07/2026
- Runtime
- 11:49
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: Tazama chuma azote tano zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Mogadishu City dhidi ya Singida BS.
Magoli ya Singida BS, yamefungwa na Methew Tegisi Momanyi na Henry David ambao wote wamefunga magoli mawili kila mmoja.
Goli la Mogadishu limefungwa na Kaby Bangoura
FT: Mogadishu City 1-4 Singida BS
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #MogadishuCity #SingidaBS #MogadishuCitySingidaBS
- Title
- Mogadishu City 1-4 Singida BS | Magoli | CECAFA Kagame Cup 2026 - 28/07/2026
- Runtime
- 5:55
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: Tazama chum azote tano zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Mogadishu City dhidi ya Singida BS.
Magoli ya Singida BS, yamefungwa na Methew Tegisi Momanyi na Henry David ambao wote wamefunga magoli mawili kila mmoja.
Goli la Mogadishu limefungwa na Kaby Bangoura
FT: Mogadishu City 1-4 Singida BS
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #MogadishuCity #SingidaBS #MogadishuCitySingidaBS
- Title
- Peter Shalulile Yanga, Iddy Nonga aeleza kilichomvutia kwenye mchakato wa usajili wake.
- Runtime
- 32:18
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VIWANJANI: Mchambuzi wa soka Iddy Nonga amesema amevutiwa na namna ambavyo Yanga SC walivyofanikiwa kuendesha kwa siri mchakato wa usajili wa mshambuliaji Peter Shalulile.
Azam TV
- Title
- WIKI YA MWANANCHI | Magari 200 kusindikiza Yanga kwenda Katoro
- Runtime
- 3:51
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- PRESS YANGA: “Tutakuwa na msafara wa magari 200”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema Agosti 4, 2026 wataanza msafara wa kuelekea Katoro mkoani Geita kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa #WikiYaMwananchi ambapo kilele chake ni Agosti 9, 2026.
Kamwe anasema baada ya uzinduzi pale Katoro, kisha wataanza safari ya kwenda Ushirombo ambako kikosi cha timu yao kitafanya mazoezi katika dimba la Beteko.
#YangaDay itafanyika Agosti 9, 2026
#YangaSC #YangaDay
- Title
- WIKI YA MWANANCHI | Kiingilio tamasha la Yanga ni 20,000
- Runtime
- 10:38
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- PRESS YANGA: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema baada ya kumtangaza nyota wao mpya Peter Shalulile, moja ya timu walizokuwa wanawasiliana nazo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi, ‘imeingia mitini’
Kamwe pia ametaja viingilio kwenye tamasha hilo akisema kuwa mzunguko thamani yake ni shilingi 20,000/-
#YangaDay itafanyika Agosti 9, 2026
#YangaSC #YangaDay
- Title
- Goli la 'usiku', Gor Mahia wakipigwa 1-0 na Vipers, CECAFA Kagame Cup 27/07/2026
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Magoli | Garde Republicaine 1-3 APR FC | Kagame Cup 27/07/2026
- Runtime
- 5:38
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Garde Republicaine 1-3 APR FC | All Goals (English) | CECAFA Kagame Cup 27/07/2026
- Runtime
- 5:38
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Gor Mahia 0-1 Vipers | Highlights | Kagame Cup 27/07/2026
- Runtime
- 4:37
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Mtasingwa awaacha wengi midomo wazi, George Job na Frank Domayo wachambua kiwango chake.
- Runtime
- 1:02:39
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VIWANJANI: Mchambuzi wa soka George Job amesema mashabiki na wadau wengi wamevutiwa na kiwango alichoonyesha Mtasigwa katika mchezo wa jana.
Kwa upande wake, mchambuzi wa soka Frank Domayo amesema Mtasigwa ni mchezaji mwenye nidhamu kubwa ya kucheza, anayezingatia majukumu yake uwanjani na mwenye uwezo wa kuisaidia timu katika maeneo mbalimbali.
#Viwanjani #Azam TV
- Title
- Dira ya msimu mpya, Uchambuzi wa sajili za Yanga SC na Simba SC.
- Runtime
- 50:18
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- VIWANJANI: Mchambuzi wa soka George Job akizungumzia maboresho ya kikosi cha Yanga SC kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC, amesema usajili wa wachezaji wapya ulikuwa muhimu ili kuongeza ushindani na kuimarisha timu.
Kwa upande wake mchambuzi Frank Domayo amesema usajili wa Wekundu wa Msimbazi umeleta watu sahihi kulingana na mahitaji ya klabu hiyo kwa sasa, akitolea mfano wachezaji wawili Kaletso na Jabaar.
Azam TV
- Title
- Rayon Sports 2-0 KVZ | Highlights | CECAFA Kagame Cup 2026 - 26/07/2026
- Runtime
- 9:45
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: Tazama chum azote mbili za Rayon Sports ikiikalisha KVZ kutoka Tanzania.
FT: Rayon Sports 2-0 KVZ SC (Kamen Herman 68’P, Muhoza Daniel 79’
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #RayonSports #KVZ
- Title
- CECAFA 2026 | Kocha KVZ alalamikia utelezi baada ya kufungwa na Rayon Sports
- Runtime
- 1:34
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: “Utelezi ulikuwa mwingi”
Kocha wa KVZ, Ali Omar akitaja moja ya sababu zilizofanya timu yako kupoteza dhidi ya Rayon Sports leo.
Kwa upande wa Kocha Francis Christian wa Rayon Sports, anasema wachezaji wake walikosa utulivu hasa kipindi cha kwanza.
FT: Rayon Sports 2-0 KVZ SC (Kamen Herman 68’P, Muhoza Daniel 79’
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #RayonSports #KVZ
- Title
- Rayon Sports 2-0 KVZ | Magoli | CECAFA Kagame Cup 2026 - 26/07/2026
- Runtime
- 2:26
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: Tazama chum azote mbili za Rayon Sports ikiikalisha KVZ kutoka Tanzania.
FT: Rayon Sports 2-0 KVZ SC (Kamen Herman 68’P, Muhoza Daniel 79’
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #RayonSports #KVZ
- Title
- WAFCON 2026 | Wastara Msese akiwa na makocha Mkwasa, Mgosi kwenye uchambuzi
- Runtime
- 7:00
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #WAFCON2026: Mtangazaji @wastara24 ndiye mwenyeji wako kwenye uchambuzi kuelekea ufunguzi wa fainali za WAFCON 2026.
Pamoja naye ni wachambuzi Salama Ngale makocha Boniface Mkwasa na Mussa Hassan Mgosi.
Kiswahili AzamSports2HD na Kiingereza AzamSports4HD.
#WAFCON2026 #AzamSports2HD #AzamSports4HD
- Title
- WAFCON 2026 | Gistin Angarukiremu anakukaribisha kwenye uchambuzi
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #WAFCON2026: Baada ya kushuhudia uchambuzi wa kina kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza wakati wa fainali za Kombe la Dunia 2026, sasa wembe uleule unajirudia kwenye WAFCON 2026.
Gistin Angarukiremu anakukaribisha kwenye uchambuzi wa lugha ya Kiingereza kupitia #AzamSports4HD
Kiswahili AzamSports2HD na Kiingereza AzamSports4HD.
#WAFCON2026 #AzamSports2HD #AzamSports4HD
- Title
- Al Hilal 2-0 Tusker | Magoli | CECAFA Kagame Cup 2026 - 26/07/2026
- Runtime
- 2:55
- Date posted
- 1 month ago
- Description
- #KagameCup2026: Tazama magoli yote mawili ya Al Hilal dhidi ya Tusker ya Kenya.
Wafungaji ni Kamaradini Mamudu na Salim Adams
FT: Al Hilal SC 2-0 Tusker FC
Saa 1:00 usiku ni Rayon Sports dhidi ya KVZ SC, LIVE #AzamSports1HD
#CECAFAKagameCup #CECAFAKagameCup2026 #KombeLakagame #AlHilal #Tusker