Azam TV
Simba SC 2-1 Yanga SC | Neno la makocha baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Neno la makocha baada ya mechi | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 5:47
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby Kocha wa Simba, Steve Barker anaeleza furaha yake baada ya ushindi akisema wachezaji wake walishajipanga kushinda game ya leo, na ndiyo maana hawakuvunjika moyo baada ya kutanguliwa..
Anasema walipopata goli la kwanza, alijua watapata na la pili na ndiyo sababu ya kuongeza nguvu…..
Kocha wa Yanga, Manqoba Mngqthi amesema kilichovuruga mpango wake ni kuumia kwa Duke Abuya, jambo lililoifanya timu yake ishindwe kudhibiti eneo la kati……!!!
“…Duke has got X-Factor…, Duke is a diferent specimen”.
Kocha Manqoba pia amechambua kwa mbali jinsi Simba ilivyotawala mchezo akieleza jinsi uchezaji wa Nathaniel Chilambo ulivyokuwa unawavuruga
Kuhusu mabadiliko kwa Mudathir, Kocha Manqoba amesema kiungo huyo alikuwa amechoka, hivyo palikuwa na sababu ya kuingiza nguvu mpya…
FT: Simba SC 2-1 Yanga SC
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #WataniWaJadi #...
- Title
- Simba SC 2-1 Yanga SC | Highlights | Kariakoo Derby | NBC Premier League 10/10/2026
- Runtime
- 14:08
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- SIMBA VS YANGA | Simba SC imepindua meza na kuichapa Yanga SC kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu…!!!.
Hii ilikuwa ni Kariakoo Derby iliyopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, Yanga wakitangulia kwa goli la Peter Shalulile dakika ya tano, lakini Simba wakacharuka na kusawazisha kwa goli la Neo Maema na kupata la ushindi dakika tatu baadaye kupitia kwa Elie Mpanzu.
- Title
- Magoli | Simba SC 2-1 Yanga SC | Kariakoo Derby | NBC PL 10/10/2026
- Runtime
- 5:05
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- SIMBA VS YANGA | Simba SC imepindua meza na kuichapa Yanga SC kwenye ligi kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu…!!!.
Hii ilikuwa ni Kariakoo Derby iliyopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam, Yanga wakitangulia kwa goli la Peter Shalulile dakika ya tano, lakini Simba wakacharuka na kusawazisha kwa goli la Neo Maema na kupata la ushindi dakika tatu baadaye kupitia kwa Elie Mpanzu.
- Title
- Goli la Peter Shululile akiitanguliza Yanga dhid ya Simba; Kariakoo Derby 10/10/2026
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- SIMBA SC vs YANGA SC: Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC ikipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Hivi ndivyo Yanga ilIvyotangulia kwa goli la Peter Shalulile...
- Title
- Kariakoo Derby | Vita ya maneno kati ya mashabiki wa Simba, Yanga kutoka Temeke Dar es Salaam
- Runtime
- 16:37
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- Kila shabiki anatamba kwa namna yake kuelekea dabi ya Kariakoo itakayopigwa katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
- Title
- Kariakoo Derby | Shabiki Simba ataka damu yake awekewe Chama
- Runtime
- 1:08
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby: Shabiki wa Simba asema damu yake akawekewe Clatous Chama.
Shabiki huyo amesema hayo nje ya dimba la Uhuru ambako kuna zoezi la uchangiaji damu ambalo pia linafanyika mikoa mingine kama vile Mwanza, Mtwara, Arusha, Tabora na Dodoma.
Ni kuelekea #KariakooDerby leo Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru.
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa.
#Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi
- Title
- Kariakoo Derby | Shabiki achangia damu ili akawekewe Ally Kamwe
- Runtime
- 2:37
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby: “Hii damu yangu wataongezewa wanayanga”
Sogo ambaye ni shabiki wa Simba, anasema ametokea Rorya Shirati mkoani Mara kuja kuitazama #KariakooDerby lakini pia ameamua kushiriki zoezi la uchangiaji damu linalofanyika nje ya dimba la Uhuru, Dar es Salaam.
Shabiki huyo amtaja Ally Kamwe.
Zoezi hilo linafanyika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Mtwara, Arusha, Tabora na Dodoma.
Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru.
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa.
#Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi
- Title
- Kariakoo Derby | Simba yaimarisha maandalizi kuelekea mechi dhidi ya Yanga.
- Runtime
- 3:27
- Date posted
- 7 days ago
- Description
- #KariakooDerby | ''Maandalizi yako vizuri''
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker anasema maandalizi ya kikosi chake yako vizuri kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC akieleza kuwa wamefanyia kazi maeneo ya ushambuliaji na ulinzi kwa lengo la kupata ushindi.
Kwa upande wake, mchezaji wa Simba SC, Neo Maema amesema timu imejiwekea malengo ya kufanya vizuri katika mchezo huo, huku akisisitiza kuwa wachezaji wako imara na tayari kwa pambano hilo la watani wa jadi.
Mechi ni leo Oktoba 10, 2026 saa 1: 00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports1HDAzam TV
- Title
- Vipaji vipya vya kutangaza kabumbu 'vyapita' na Kariakoo Derby ya tar 10/10/2026
- Runtime
- 2:23
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- VIPAJI: Kuelekea mechi ya Kariakoo Derby, Simba vs Yanga Oktoba 10..,
Sakina Jum amekutana na vijana wenye kipaji na ndoto za utangazaji wa kabumbu, ambao wamempa ‘trela’ jinsi ambavyo wangeitangaza dabi hii….
Kuna mmoja anatamani kuwa @baraka_mpenja na mwingine anatamani kuwa @james_samwel31
Mmoja kamtaja Doumbia, na mwingine kamtangaza Maxi Nzengeli… Je, wewe unakwenda na yupi?
Hebu wasikilize, uwape ‘maksi’.. achana na matokeo wanayoashiria…!!
#KariakooDerby #SimbaSC #YangaSC #Sabisa
- Title
- Goli la Gonda | KVZ FC 1-0 Zimamoto | PBZ Premier League 09/10/2026
- Runtime
- 1:01
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #PBZPL Goli la pointi tatu kwa KVZ… Muuaji ni Mudrick Abdi Sheikhe ‘Gonda’..
FT: KVZ FC 1-0 Zimamoto
#LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague #PBZPremierLeague #KVZFC #ZimamotoFC #KVZZimamoto
- Title
- Coastal Union 0-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 09/10/2026
- Runtime
- 9:11
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Magoli mawili kutoka kwa Enock Molia na Feisal Salum, yametosha kuwapa pointi tatu Azam FC, wakishinda 2-0 ugenini dhidi ya Coastal Union.
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga, na hii ni Ligi Kuu ya NBC.
- Title
- Magoli | Coastal Union 0-2 Azam FC | NBC Premier Lleague 09/10/2026
- Runtime
- 2:17
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Magoli mawili kutoka kwa Enock Molia na Feisal Salum, yametosha kuwapa pointi tatu Azam FC, wakishinda 2-0 ugenini dhidi ya Coastal Union.
Mechi imepigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga, na hii ni Ligi Kuu ya NBC.
- Title
- Dodoma Jiji 1-1 Singida BS | Highlights | NBC Premier League 09/10/2026
- Runtime
- 5:53
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Ni sare ya 1-1 Dodoma jiji FC wakitoshana nguvu na Singida BS, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma.
Magoli yenyewe ni ‘header’ yenye ladha kutoka kwa Andy Bikoko na finishing ya Benjamin Tanim.
Katika mchezo huu, nyota wa Singida BS, Jonathan Sowah, akitokea Benchi, hajamaliza mchezo baada ya kukutana na adhabu ya kadi nyekundu.
- Title
- Magoli na kadi nyekundu | Dodoma Jiji 1-1 Singida BS | NBC PL 09/10/2026
- Runtime
- 5:18
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Ni sare ya 1-1 Dodoma jiji FC wakitoshana nguvu na Singida BS, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma.
Magoli yenyewe ni ‘header’ yenye ladha kutoka kwa Andy Bikoko na finishing ya Benjamin Tanim.
Katika mchezo huu, nyota wa Singida BS, Jonathan Sowah, akitokea Benchi, hajamaliza mchezo baada ya kukutana na adhabu ya kadi nyekundu.
- Title
- Mbeya City 1-3 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 09/10/2026
- Runtime
- 8:02
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #NBCPL MAGOLI YOTE: Tazama Kagera Sugar walichowafanya Mbeya City wakianza kwa header ya Emmanuel Mvuyekure, kabla ya Mudathir Said Abdullah kupiga mawili makali…
La kufutia machozi nalo lilikuwa la moto kutoka kwenye guu la Hassan Ali Cheda.
FT: Mbeya City 1-3 Kagera Sugar
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaCity #KageraSugar #MbeyaCityKageraCity
- Title
- Magoli | Mbeya City 1-3 Kagera Sugar | NBC Premier League 09/10/2026
- Runtime
- 3:33
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #NBCPL MAGOLI YOTE: Tazama Kagera Sugar walichowafanya Mbeya City wakianza kwa header ya Emmanuel Mvuyekure, kabla ya Mudathir Said Abdullah kupiga mawili makali…
La kufutia machozi nalo lilikuwa la moto kutoka kwenye guu la Hassan Ali Cheda.
FT: Mbeya City 1-3 Kagera Sugar
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaCity #KageraSugar #MbeyaCityKageraCity
- Title
- Magoli | Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | NBC PL 09/10/2026
- Runtime
- 8:30
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #NBCPL Tazama magoli yote matatu, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+.
FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania
- Title
- Fountain Gate FC 1-2 JKT Tanzania | Highlights | NBC PL 09/10/2026
- Runtime
- 4:25
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #NBCPL Tazama highlights, ‘Wajeda’ wakifanya come-back’ ya kishindo kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha na kushinda 2-1 wakitokea nyuma.
Walitangulia wenyeji Fountain Gate kupitia kwa Sadick Ramadhan, lakini JKT wakatumia dakika tano za mwisho kupindua meza na kuchana nyavu kupitia kwa Karim Mfaume dakika ya 86 na Salum Khamis dakika ya 90+.
FT: Fountain Gate 1-2 JKT Tanzania
- Title
- SIMBA vs YANGA | Kocha wa Yanga aiinulia mikono Kariakoo Derby
- Runtime
- 2:55
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #KariakooDerby: “Nafikiri dabi hii imetangazwa vizuri”
Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, Kaizer anasema #KariakooDerby ni tofauti na Soweto Derby ambayo inahusisha Kazer Chiefs na Orlando Pirates.
Kocha huyo anasema nchini kwao Afrika Kusini hauwezi kuwaona waandishi wengi hata kama ni mechi ya fainali.
Manqoba anasema hata kwenye mitandao ya kijamii, dabi hii ina amshamsha kuliko Afrika Kusini.
Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru.
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa.
#Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi
- Title
- Kariakoo Derby | Kocha wa Yanga amtaja Doumbia wa Simba kuelekea mechi yao
- Runtime
- 1:38
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #KariakooDerby: “Doumbia kama atacheza ni mmoja wa wachezaji muhimu”
Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi anasema wanaiendea mechi dhidi ya Simba SC, wakiwa wamefanyia kazi maeneo ambayo wanajua wapinzani wao ni imara huku akiwataja baadhi ya wachezaji.
Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru.
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa.
#Kariakooderby #SimbaSC #YangaSC #SimbaYanga #WataniWaJadi
- Title
- Kariakoo Derby | Mechi ya mwisho kwa Simba, Yanga kucheza dimba la Uhuru
- Runtime
- 1:19
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #KariakooDerby: Unafahamu kwamba imepita miaka mingapi tangu mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa katika dimba la Uhuru…??
Unafahamu matokeo yalikuwaje na magoli yalifungwa na wachezaji gani….????
Mtangazaji @richardngailla ana majibu ya maswali hayo.
Ni kuelekea #KariakooDerby kesho Oktoba 10, 2026 katika dimba la Uhuru.
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, epuka usumbufu wa kimtandao lipia sasa.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 08/10/2026
- Runtime
- 49:32
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Namungo FC 1-0 TRA United | Highlights | NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 8:25
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Penati iliyoamuliwa kwa FVS (Football Video Support) na kupigwa na Herbert Lukindo dakika ya 12 imeipa Namungo FC pointi tatu muhimu, ikiitandika TRA United bao 1-0 kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC
Tazama ilivyokuwa...
- Title
- Goli la Namungo FC dhidi ya TRA United (1-0) - NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 2:21
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Penati iliyoamuliwa kwa FVS (Football Video Support) na kupigwa na Herbert Lukindo dakika ya 12 imeipa Namungo FC pointi tatu muhimu, ikiitandika TRA United bao 1-0 kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC
Tazama ilivyokuwa...
- Title
- Pamba Jiji FC 4-0 Geita Gold FC | NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 10:26
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #NBCPL Tazama highlights, Pamba Jiji ilivyoicharaza Geita Gold FC bakora nne kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza;
Wachapaji ni Henry Lutonja, Deogratius Mafie, Zabona Mayombya na Idriss Diomande kwa assist tamu ya Zabona.
Hii ni Ligi Kuu ya NBC ..
- Title
- Mashujaa FC 2-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 9:09
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mashujaa FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Lake Tanganyika Stadium, Kigoma.
Mashujaa wametangulia kwa goli la Mishamo Daud, kabla ya Anuary Jabir kuchomoa kwa penati lakini Mashujaa nao wakapiga la ushindi kwa penati kupitia kwa Michael Joseph.
- Title
- Magoli | Pamba Jiji 4-0 Geita Gold FC | NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 4:31
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #NBCPL Hizi hapa bakora zote walizocharazwa Geita Gold FC kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza; Wachapaji ni Henry Lutonja, Deogratius Mafie, Zabona Mayombya na Idriss Diomande kwa assist tamu ya Zabona.
FT: Pamba Jiji 4-0 Geita Gold
#NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiFC #GeitaGoldFC #PambaJijiGeitaGold
- Title
- Magoli | Mashujaa FC 2-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 08/10/2026
- Runtime
- 4:12
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mashujaa FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Lake Tanganyika Stadium, Kigoma.
Mashujaa wametangulia kwa goli la Mishamo Daud, kabla ya Anuary Jabir kuchomoa kwa penati lakini Mashujaa nao wakapiga la ushindi kwa penati kupitia kwa Michael Joseph.
- Title
- Kagera Sugar yalenga alama tatu dhidi ya Mbeya City.
- Runtime
- 1:58
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- MBEYA CITY vs KAGERA SUGAR: Kocha wa Kagera Sugar, Cedric Kaze amesema kikosi chake kipo katika ari ya juu ya kujikwamua kutoka kwenye nafasi kilipo kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City.
Kaze amesema mapumziko waliyopata yamewapa nafasi ya kufanya marekebisho muhimu katika kikosi na kujiandaa vyema kwa mchezo huo.
Kwa upande wake, mchezaji Dickson Mhilu amesema kikosi kina nguvu na ari hali inayowapa msukumo wa kupambana kutafuta alama tatu muhimu.
Amesema wachezaji wapo tayari kutekeleza mipango waliyojiwekea ili kupata matokeo wanayoyahitaji katika mchezo huo.
- Title
- JKT Tanzania yalenga matokeo ya alama tatu mbele ya Fountain Gate.
- Runtime
- 2:55
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- FOUNTAIN GATE vs JKT TANZANIA
Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate, huku akieleza kuwa anatambua uzoefu na ubora wa mbinu za kocha wa wapinzani Fred Felix.
Kwa upande wake mchezaji, Offen Chikola amesema wachezaji wamepokea maelekezo ya kutosha kutoka kwa kocha na jukumu lao sasa ni kwenda kuyatekeleza uwanjani.Azam TV
- Title
- Minziro atoa neno kuelekea mechi dhidi ya JKT Tanzania.
- Runtime
- 1:37
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- FOUNTAIN GATE vs JKT TANZANIA | Kocha wa Fountain Gate, Fred Felix ‘Minziro’ amesema mapumziko waliyopata yamewapa nafasi ya kufanya marekebisho ya kikosi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tanzania huku akitambua ubora wa wapinzani wao.
Kwa upande wake, mchezaji Derick Mukombozi amewatoa hofu mashabiki wa Fountain Gate, akisema maandalizi waliyofanya yamewaweka tayari kwa mchezo huo.
Mechi ni kesho Oktoba 9, 2026 saa 8:00 Mchana LIVE #AzamSports1HDAzam TV
- Title
- Kariakoo Derby na imani zake | AzamTV
- Runtime
- 2:26
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kuekelea #KariakooDerby ya Oktoba 10, 2026, Abuu Yusuf anatukumbusha baadhi ya imani zilizojengeka kwa miaka mingi juu ya mechi hiyo ya watani wa jadi #SimbaSC na #YangaSC
- Title
- MSHIKEMSHIKE 07/10/2026 | AzamTV
- Runtime
- 54:41
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- KARIAKOO DERBY | Bei ya kuiona Dabi Oktoba10, 2026 yaekwa wazi.
- Runtime
- 55:52
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- VIWANJANI | Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza rasmi viingilio vya Derby ya Kariakoo, huku Mzunguko ikiwa ni Sh. 20,000 na VIP Sh. 50,000.
Ahmed amesema maandalizi yote ya kiufundi na kiutawala yamekamilika kuelekea mchezo huo wa Kariakoo Derby utakaopigwa Oktoba 10, 2026.
Aidha, Ahmed amezungumzia hali ya kikosi cha msimbazi kwa kusema ujasiri wa timu hiyo kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby unatokana na ari ya wachezaji pamoja na matokeo mazuri waliyopata katika michezo ya hivi karibuni.
Ahmed amesema Derby hiyo itakuwa na nafasi ya kutoa majibu kuhusu uwezo na hali ya Simba SC kwa sasa.
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Dabi ya Kariakoo Mpenja atangaze na nani...? - 07/10/2026
- Runtime
- 9:59
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Tazama Zilzizobamba mitandaoni ikiwa na habari mbalimbali zilizotamba mitandaoni.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 06/10/2026
- Runtime
- 22:35
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Tanzania 3-1 Kenya | HIghlights | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026
- Runtime
- 10:23
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Selemani Mwalimu amefunga magoli mawili, kikosi cha Tanzania U23 kikishinda 3-1 dhidi ya Kenya U23, katika mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON-U23 mwaka 2027, ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.
Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Shekhan Ibrahim, kabla ya Selemani kufunga mawili, moja likiwa ni la penati.. na Kenya wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Andres Odhiambo.
Hata hivyo ushindi huo haukutosha kuivusha Tanzania, na ikatupwa nje kwa jumla ya mabao 5-4 kufuatia kichapo cha 4-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.
- Title
- Magoli | Tanzania 3-1 Kenya | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026
- Runtime
- 4:41
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Selemani Mwalimu amefunga magoli mawili, kikosi cha Tanzania U23 kikishinda 3-1 dhidi ya Kenya U23, katika mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON-U23 mwaka 2027, ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.
Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Shekhan Ibrahim, kabla ya Selemani kufunga mawili, moja likiwa ni la penati.. na Kenya wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Andres Odhiambo.
Hata hivyo ushindi huo haukutosha kuivusha Tanzania, na ikatupwa nje kwa jumla ya mabao 5-4 kufuatia kichapo cha 4-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.
Mechi
- Title
- TPLB Yaja na ‘Gas Detector’, Mashabiki wa Simba SC na Yanga SC watambiana kuelekea Kariakoo Derby.
- Runtime
- 38:04
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- VIWANJANI : Mashabiki wa Simba SC na Yanga SC watambiana kuelekea Dabi ya Kariakoo ya Ligi Kuu ya NBC itakayopigwa Oktoba 10, 2026, huku mmoja wa mashabiki akimtaja mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia kuwa ndiye mchezaji bora nchini kwa sasa.
Mjadala huo umeibua hoja mbalimbali kutoka kwa mashabiki wa timu hizo kuhusu timu itakayoondoka na alama tatu muhimu.
Azam TV
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Ukimya wa Yanga wamtisha Edo Kumwembe kuelekea Dabi ya Kariakoo
- Runtime
- 9:24
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Ukimya wa Yanga SC wamshtua mchambuzi wa soka Edo Kumwembe, auliza wamepanga nini..??
Farhan Kihamu naye atia neno.
Ni Zilizobamba mitandaoni kupitia kipindi cha #Viwanjani.
#Viwanjani #Zilizobamba
- Title
- Dabi ya Kariakoo; Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) Yaja na ‘Gas Detector’
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- VIWANJANI | “Tumenunua kifaa kinaitwa "Gas Detector".”
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas amesema kuanzia kwenye Dabi ya Kariakoo itakayochezwa Oktoba 10, 2026 wataanza kutumia kifaa hicho kukagua uwepo wa gesi katika vyumba vya kubadilishia nguo.
Barnabas amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha mazingira ya vyumba vya kubadilishia nguo yanakuwa salama na timu zote zinapata mazingira sawa ya kujiandaa na kushiriki mchezo bila changamoto zinazoweza kuathiri utendaji wa wachezaji.
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE 5/10/2026 - AZAMTV
- Runtime
- 54:05
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- FVS sasa ruksa kutumika kwenye NBC Premier League
- Runtime
- 4:27
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- FVS SASA ‘RUKSA’: “Tumekuwa ligi pekee ambayo inatumia mfumo huu hapa duniani”
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas amesema kuanzia kwenye #KariakooDerby Oktoba 10, 2026, wataanza kupeleka taarifa FIFA kuhusu matumizi ya teknolojia ya Football Video Supports (FVS) baada ya sasa kupata kibali cha matumizi ya kifaa hiko.
Barnabas anasema kila timu itakuwa inapewa kadi mbili ambazo atakuwa anakaa nazo kocha.
#FVS #FootballVideoSupport
- Title
- ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Ahmed Ally na Simba Marathon, Kamwe afurahia maendeleo ya Pacome
- Runtime
- 8:11
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- Tazama Zilizobamba mitandaoni ikiwa na stori kibao zilizotikisa mitandaoni.
Ni Ally Bakari 'Mufti' na timu ya Viwanjani
- Title
- Kutoka Afrika Kusini hadi Dabi ya Kariakoo, Timu zijitendee haki kumalizia nafasi.
- Runtime
- 45:01
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- VIWANJANI | Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Godlisten Muro na Jabir Aziz wamesema klabu zetu hazijitendei haki katika kutumia vyema nafasi wanazozitengeneza wakati wa michezo.
Mbwaduke amesema pamoja na kukosoa timu kushindwa kuzitumia nafasi inazotengeneza ni muhimu pia kuwatambua na kuwapongeza magolikipa wa timu pinzani kwa kufanya kazi yao kwa ufanisi.Azam TV
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Makonde ya Johnson Kiwia dhidi Kudratillo Abdukakhorov | Highlights - 04/10/2026.
- Runtime
- 32:26
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- VITASA | Raundi ya nane kati ya Johnson Kiwia kutoka Tanzania dhidi ya Kudratillo Abdukakhorov kutoka Uzbekistan ilikuwa ni ya piga nikupige.
Mtanzania Kiwia ameshinda kwa pointi.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
Tukio lilikuwa LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxingAzam TV
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Piga nikupige za Kalolo Amiri, Elmar Zamora | Highlights - 04/10/2026.
- Runtime
- 26:20
- Date posted
- 12 days ago
- Description
- VITASA |Tazama mambo yalivyokuwa kwenye raundi ya nane kati ya Mtanzania Kalolo Amiri na Elmar Zamora wa Philippines.
Kalolo ameibuka mshindi kwa pointi baada ya pambano la raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa – Expensive Fight, kutoka Golden Tulip, Dar es Salaam.
Burudani umeipata LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | KO ya bondia Salmin Kassim dhidi ya Jayr Raquinel | Highligts - 04/10/2026
- Runtime
- 23:05
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Huyu Salmin Kassim ni moto wa kuotea mbali…tazama alichomfanyia Jayr Raquinel kutoka Philippines.
Ni KO ya raundi ya saba
Ulikuwa ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
Burudani umeipata LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Salmini Kassim, mama yake walia ulingoni - 04/10/2026
- Runtime
- 5:39
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Bondia Salmin Kassim na mama yake wadondosha chozi baada ya kumkumbuka marehemu baba yake.
Ni baada ya kushinda kwa KO dhidi ya Jayr Raquinel kutoka Philippines.
Ni KO ya raundi ya saba
Ulikuwa ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
Burudani umeipata LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Nginjanginja za Anuary Malawa, Jose Rivas | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 27:03
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Mambo yalikuwa mazito kwa bondia Jose Rivas kwenye raundi ya tano.
Hii ni under card, Anuary Mlawa dhidi ya Jose Rivas kutoka Venezuela... Pambano la tisa usiku huu.. Raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing

