Azam TV
EXPENSIVE FIGHT | Ndonga za mabondia Salimu Hussein dhidi ya Aziz Lateef | Highlights - 04/10/2026
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Ndonga za mabondia Salimu Hussein dhidi ya Aziz Lateef | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 30:02
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Tazama nginjanginja za kwenye pambano kati ya Mtanzania Salim Hussein au ni Azeez Lateef wa Nigeria.
Aliyeshinda ni Salim Aziz.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Vuta nikuvute za AbulRahman Magoma, Espinonza | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 32:28
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Kwenye raundi ya sita nginjanginja zikazidi mpaka bondia Jose Espinoza akatoka nje ya ulingo.
Mtanzania Abdulrahman Magoma ameshinda kwa pointi dhidi ya Jose Espinoza kutoka Venezuela
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Nginjanginja za Ibrahim Mafia, Jumanne Idd | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 22:45
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Ilipofika raundi ya sita, Jumanne Idd akaona yanini kuendelea kuumia... Akaamua kurusha taulo, na pambano likaishia hapo.
Ni ushindi wa TKO kwa Ibrahim Mafia..
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Mkong'oto mzito kati ya Said Hakimu, Amuchai Donsua | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 5:09
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Dakika za mapema zaidi zimemtosha Said Hakimu kutoka Tanzania kumchapa kwa TKO Anuchai Donsua wa Thailand.
Ni kwenye raundi ya kwanza tu ya mchezo kati ya raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Raundi nane kati ya James Ndam dhidi ya Yohan Morocaina | Highlights - 04/10/2026
- Runtime
- 31:16
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Ebana raundi ya nane ilikuwa ni hekaheka…!!!
Mtanzania, James Ndam ameshinda kwa pointi dhidi ya Yohan Morocoima wa Venezuela.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | TKO ya mapema sana kati ya Said Hakimu dhidi ya Donsua wa Thailand - 04/10/2026
- Runtime
- 2:35
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Dakika za mapema zaidi zimemtosha Said Hakimu kutoka Tanzania kumchapa kwa TKO Anuchai Donsua wa Thailand.
Ni kwenye raundi ya kwanza tu ya mchezo kati ya raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Ndonga za Salimu Hussein dhidi ya Aziz Lateef | raundi ya tano - 04/10/2026
- Runtime
- 4:12
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Tazama nginjanginja za raundi ya tano kwenye pambano kati ya Mtanzania Salim Hussein au ni Azeez Lateef wa Nigeria.
Aliyeshinda ni Salim Aziz.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Highlights pambano la Tano Juma dhidi ya Mganda Tusingwire - 04/10/2026
- Runtime
- 27:56
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Mtanzania Tano Juma ameshinda kwa pointi dhidi ya Mganda, Joshua Tusingwire.. Pambano la raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Tano Juma amchapa kwa pointi Mganda Tusingwire - 04/10/2026
- Runtime
- 3:40
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- VITASA | Mtanzania Tano Juma ameshinda kwa pointi dhidi ya Mganda, Joshua Tusingwire.. Pambano la raundi nane.
Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka Golden Tulip, Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight MafiaBoxing
- Title
- NGAO YA JAMII | Yanga Princess 1-1 (pen 5-4) Mashujaa Queens | Highlights - 03/10/2026
- Runtime
- 7:07
- Date posted
- 13 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa Queens.
Goli la Mashujaa Queens limefungwa na Maimuna Hamis huku goli la Yanga Princess likifungwa na Mesay Tanga.
FT: Yanga Princess 1-1 Mashujaa Queens (Penati: 5-4)
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #MshindiWaTatu #MashujaaQueens #YangaPrincess #YangaWanawake #MashujaaQueens
- Title
- NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens | Highlights - 03/10/2026
- Runtime
- 7:32
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama namna Aisha Mnunka wa Simba Queens alivyochomoka kama mshale na kwenda ‘kuwatungua’ JKT Queens.
Hili ndilo goli lililoipa ushindi wa Ngao ya Jamii Simba Queens.
FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens
- Title
- WEDNESDAY NIGHT LIVE | Swahili UK Football Bonanza inavyobamba Ulaya
- Runtime
- 53:00
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Bonanza la michezo linalowaunganisha watanzania na waafrika wanaoishi nchini England linazidi kushika kasi na kuwaunganisha watu wanaozungumza lugha ya Kiswahili nchini humo.
Kuhusu malengo, na mafanikio ya bonanza hili, studio tunao Amran Salim ambaye ni mwenyekiti wa Swahili UK Football Bonanza na Omar Salim Abdallah ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Swahili UK Football Bonanza.
- Title
- NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens | Washindi - 03/10/2026
- Runtime
- 2:33
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama waamuzi, washindi wa tatu na wa pili walivyopokea medali zao kwenye #NgaoYaJamii2026.
Washindi wa tatu ni Yanga Princess na washindi wa pili ni JKT Queens.
FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens
- Title
- NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens I Shangwe la ushindi - 03/10/2026
- Runtime
- 2:40
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama shangwe la Simba Queens baada kukabidhiwa taji la #NgaoYaJamii2026.
FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens
- Title
- NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens | Goli - 03/10/2026
- Runtime
- 1:18
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama namna Aisha Mnunka wa Simba Queens alivyochomoka kama mshale na kwenda ‘kuwatungua’ JKT Queens.
Hili ndilo goli lililoipa ushindi wa Ngao ya Jamii Simba Queens.
FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens
- Title
- EXPENSIVE FIGHT| Anwary Mlawa akutana ana kwa ana na Jose Rivas - 03/10/2026
- Runtime
- 1:36
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- VITASA FACE-OFF | Ukisikia kazikazi ni hii hapa kati ya bondia Mtanzania, Anuary Mlawa dhidi ya Jose Rivas wa Venezuela.
Ni kutokea Magomeni Sokoni Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Mafia Boxing...leo ilipofanyika Vitasa Face Off, kuelekea 'Expensive Fight'.
Pambano ni kesho Oktoba 4 LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #FaceOff #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Mtanzania Abdulrahman Magoma uso kwa uso Jose Aspinoza - 03/10/2026
- Runtime
- 2:50
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- VITASA FACE-OFF | Hii sura ya kazi ya Jose Espinoza kutoka Venezuela, inaweza kumsumbua Mtanzania Abdulrahman Magoma ulingoni….??
Ni hapa Magomeni Sokoni Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Mafia Boxing...leo ilipofanyika Vitasa Face Off, kuelekea 'Expensive Fight'.
Pambano ni kesho Oktoba 4 LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #FaceOff #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Kimbwanga cha bondia Jumanne Idd alipokutana na Ibrahim Mafia - 03/10/2026
- Runtime
- 3:47
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- VITASA FACE-OFF | Ibrahim Mafia ‘amekaza’… lakini mpinzani wake Jumanne Idd, ni mwendo wa kicheko tu.
Ni hkutokea Magomeni Sokoni Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Mafia Boxing...leo ilipofanyika Vitasa Face Off, kuelekea 'Expensive Fight'.
Pambano ni kesho Oktoba 4 LIVE #AzamSports3HD
#Vitasa #FaceOff #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- EXPENSIVE FIGHT | Bondia James Ndam amekutana na mpinzani wake Yohan Morocoima - 03/10/2026
- Runtime
- 4:45
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- VITASA FACE-OFF | Ni vita ya Venezuela dhidi ya Tanzania, ni pambano kati ya James Ndam dhidi ya Yohan Morocoima.
Ni hapa Magomeni Sokoni Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Mafia Boxing...leo inafanyika Vitasa Face Off, kuelekea 'Expensive Fight'.
#Vitasa #FaceOff #ExpensiveFight #MafiaBoxing
- Title
- NGAO YA JAMII 2026 | Yanga Princess 1-1 (Pen: 5-4) Mashujaa Queens | Penati - 03/10/202
- Runtime
- 3:10
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama mikwaju yote 12 ya penati iliyopigwa katika mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu kati ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa Queens.
FT: Yanga Princess 1-1 Mashujaa Queens (Penati: 5-4)
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #MshindiWaTatu #MashujaaQueens #YangaPrincess #YangaWanawake #MashujaaQueens
- Title
- NGAO YA JAMII | Yanga Princess 1-1 (pen 5-4) Mashujaa Queens | magoli - 03/10/2026
- Runtime
- 3:10
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #NgaoYaJamiiWanawake: Tazama magoli yote mawili yaliyofungwa kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati ya Yanga Princess dhidi ya Mashujaa Queens.
Goli la Mashujaa Queens limefungwa na Maimuna Hamis huku goli la Yanga Princess likifungwa na Mesay Tanga.
FT: Yanga Princess 1-1 Mashujaa Queens (Penati: 5-4)
#KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #MshindiWaTatu #MashujaaQueens #YangaPrincess #YangaWanawake #MashujaaQueens
- Title
- KURASA ZA MWISHO | Joto la Kariakoo Derby lazidi kupanda, Christiano Ronaldo ajiaharibia "Career".
- Runtime
- 42:08
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wahariri wa magazeti ya michezo ambao pia ni wachambuzi wa soka wajadili namna mshambuliaji wa Ureno, Christiano Ronaldo alivyojiharibia Timu ya Taifa.
Naheka amesema kuitwa kwa Ronaldo kwenye timu ya Taifa hakumaanishi kwamba ni lazima aanze au apewe muda wa kucheza, bali anaweza kuwa na nafasi ya kuhamasisha, kutoa uzoefu na kuwajenga vijana.
Ametolea mfano wa Peter Shalulile wa Yanga SC, akisema wachezaji wenye uzoefu wanaweza kuwa na mchango kwa timu hata bila kuwa chaguo la kwanza uwanjani.
Naheka pia amesema kwa mtazamo wake, Ronaldo anapaswa kutambua kuwa kuna wakati mchezaji anatakiwa kujua muda wa kutoka kwenye “stage”, akidai baadhi ya maamuzi yake ya sasa yameathiri taswira ya career yake.
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE 2/10/2026 - AZAMTV
- Runtime
- 50:39
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Azam TV
Tazama kipindi cha Mshikemshike
- Title
- Mnyama amaliza kambi Polokwane, sasa kuhamia Johannesburg
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- KUTOKA AFRIKA KUSINI: Mnyama amehitimisha kambi yake ya Polokwane na sasa anahamia katika jiji la Johannesburg kumalizia kambi yake ya siku 10.
Mwenzetu Mohamed Mohamed anasema njia inayotumika kufika mahali ilipoweka kambi Simba.
#SimbaSC #PolekwaneCity
- Title
- MAHOJIANO MAALUM | CSRG Yaeleza Nafasi ya Utafiti katika Maendeleo ya Michezo.
- Runtime
- 25:21
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Utafiti na Utawala wa Michezo (CSRG), Godfrey Ng'umbi akizungumzia namna Kituo chao kinavyopambana katika kufanya utafiti katika sekta ya michezo ikilenga sera na utawala bora katika nyanja ya michezo.
Azam TV
- Title
- Derby ya Kariakoo kila siku ni mpya, wachambuzi wafunguka.
- Runtime
- 38:19
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Godlisten Muro na Jabir Aziz 'Stima' kuwa hakuna Dabi inayofanana na nyingine, wakieleza kuwa presha, historia na matukio yanayoambatana na mchezo huo huifanya kila mechi kuwa na sura yake.
Kwa upande wake Jabir amesema mazingira ya kambi yenye utulivu kama Polokwane yanaweza kuwa rafiki kwa wachezaji kuelekea mechi hizo, kwa kuwa yanawapa nafasi ya kutulia kiakili na kujiepusha na presha inayozunguka Kariakoo Dabi.
Ameongeza kuwa kutokana na ushindani wa Simba na Yanga wakati mwingine hisia huenda mbali kiasi cha baadhi ya watu kufikia hatua ya kusahau utu na ubinadamu.
Azam TV
- Title
- Simba SC yaanza kibarua dhidi ya Polokwane City.
- Runtime
- 8:52
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- KUTOKA AFRIKA KUSINI: Mwandishi wa #AzamTV @5mohamedmohamed anaripoti moja kwa moja kutokea Polokwane Afrika Kusini, ambapo mechi ya kirafiki inaendelea kati ya Polokwane City dhidi ya Simba SC.
Mpaka dakika ya 20 kulikuwa bado hakuna goli kwa timu zote mbili.
Azam TV
- Title
- Idrissa Rajabu Abonga Kiarabu, Atangaza Vivutio vya Tangier, Morocco.
- Runtime
- 6:16
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- KUTOKA MOROCCO: Idrissa Rajabu anaendelea kubonga kwa lugha ya wenyeji (Kiarabu).
Hii ni kuhusu Jiji la Tangier na vivutio vyake…
Wawakilishi wa Azam TV Idrisa Rajabu na Xavier Ngaweje tayari wamefika katika jiji la Tangier nchini Morocco ambapo Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Morocco tarehe 5 Oktoba.
Hapa wanatupitisha katika baadhi ya vivutio ndani ya jiji hilo ikiwemo moja kati ya fukwe taaaaamu pembezoni mwa Bahari ya Mediranian.
Azam TV
- Title
- Kocha Steve Barker anataka ushindi wa 7 mfululizo, Doumbia hana tatizo.
- Runtime
- 4:44
- Date posted
- 15 days ago
- Description
- Kuelekea Dabi ya Kariakoo Oktoba 10, Kocha Barker anasema itakuwa mechi ngumu na nzuri lakini hamu yake ni kushinda mchezo wa saba mfululizo kwenye ligi…
Kuhusu kuwa na presha… Kocha Barker anasema hafanyi kazi kwa hofu, hakuna presha yoyote kutoka nje inayomsumbua bali ni presha anayojipa yeye binafsi katika kusaka mafanikio zaidi…
Kuhusu mshambuliaji wake Ibrahim Doumbia, Kocha Barker anasema hana mashaka naye kutokana na rekodi zake huko alikotoka, na kwamba kinachomsumbua ni presha ya kuhamia timu mpya…
Kuhusu kui-miss familia yake, Kocha Barker anasema si rahisi kuwa mbali na familia yake licha ya kuwasiliana mara kwa mara, aeleza mpango wa kuihamishia Tanzania siku zijazo…..
Azam TV
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 01/10/2026
- Runtime
- 45:31
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- SIMBA TV | Wiki hii imeangazia kambi ambayo ipo kule Bondeni kwa Madiba ikijiandaa kwa mechi zijazo.
- Runtime
- 25:43
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- KUTOKA AFRIKA KUSINI | Kikosi cha Simba SC kimeendelea na tizi kali kwenye kambi yake ya siku kumi nchini Afrika Kusini, kujiweka sawa na mashindano mbalimbali wakianza na Dabi ya Kariakoo Oktoba 10.
Mchezaji wa kikosi hicho Keletso Makgalwa amezungumzia kambi hiyo na kueleza uzuri na utofauti wa kambi hiyo ambayo ipo nchini mwake.
Pia Afisa Habari wa klabu hiyo, Ahmed Ally ameelezea kwa undani kambi hiyo.
Azam TV
- Title
- Sakata la Manchester City aibu kwa Klabu, kutozwa faini na hata kushushwa daraja.
- Runtime
- 5:27
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- Mtanzania anayeishi London, Ericsson Temu amesema sakata linaloikabili Manchester City limeleta mshangao mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini England, akieleza kuwa ni jambo la aibu kwa klabu kubwa kama hiyo.
Temu amesema Manchester City ina uwezo wa kifedha wa kuhakikisha mambo yanafanyika kwa usahihi, hivyo amedai kushtushwa na taarifa za makosa yanayoikabili klabu hiyo.
Ameongeza kuwa baadhi ya watu aliowazungumza nao wanataka timu hiyo ikumbwe na adhabu kali ikiwemo kukatwa pointi au kushushwa daraja.
Hata hivyo, Temu amesema hatma ya Manchester City itategemea uamuzi utakaotolewa na Premier League huku akisema mpaka sasa bado maamuzi hayajatolewa.
Azam TV
- Title
- Kipigo cha magoli 3-0 kutoka kwa Guinea-Bissau kinavyowavuruga Nigeria.
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- KUFUZU AFCON2027: Abdulquadir Adedapo, mchambuzi wa soka kutoka WE FM ya Abuja, Nigeria amesema kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Guinea-Bissau ni pigo kubwa kwa Super Eagles, akibainisha kuwa timu hiyo haijapoteza kwa tofauti ya mabao matatu tangu mwaka 1990.
Adedapo amesema licha ya Nigeria kuwa na nyota wengi, ikiwemo Victor Osimhen, Ademola Lookman na Alex Iwobi, timu imekuwa ikikosa muunganiko mzuri.
Amesema Guinea-Bissau ina pointi sita huku Nigeria ikiwa na point tatu hivyo Super Eagles italazimika kushinda michezo yake iliyosalia ikimuombea Guinea Bissau ipoteze ili kuendelea kuwa na nafasi ya kufuzu AFCON2027.
Azam TV
- Title
- Taifa Stars yaendelea na mazoezi Rabat, Kikosi kiko fiti kwa mechi za kirafiki za kalenda ya FIFA.
- Runtime
- 1:03
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- KUTOKA MOROCCO | “Kikosi baada ya kuwasili hapa Rabat kimefanya session ya mazoezi kwa ajili ya kurejesha miili ya wachezaji katika utimamu.”
Mkurugenzi mpya wa Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano, Cliford Ndimbo ameeleza ratiba ya Timu ya Taifa ya Tanzania, baada ya kuwasili katika Mji wa Rabat kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki ya kalenda ya FIFA itakayochezwa Oktoba 2 na Oktoba 5.
Ndimbo amesema wachezaji wote wanaendelea vizuri kiafya na hakuna changamoto kubwa iliyopo ndani ya kikosi, huku timu ikiendelea na ratiba yake ya maandalizi kuelekea michezo hiyo miwili.
Azam TV
- Title
- Usiyoyajua kuhusu mtunza vifaa wa Simba SC, Hamis Mtambo
- Runtime
- 3:40
- Date posted
- 16 days ago
- Description
- KUTOKA AFRIKA KUSINI | Je, unajua ‘Kit Manager’ (mtunza vifaa) wa Simba SC ni nani na anafanya kazi gani?
Je, unajua aliipataje kazi hiyo, aliipata lini, na kwanini bado yupo hadi leo?
Je, unajua anakutana na yapi nyakati za maandalizi ya mechi hasa mechi kubwa??
Ni huyu hapa, Hamisi Mtambo hapa akizungumza na mwenzetu @5mohamedmohamed ambaye ameambatana na kikosi cha Simba kwenye kambi yao ya Polokwane nchini Afrika Kusini.
Mtambo ameelezea umuhimu wa nafasi hiyo na mchango wake kwenye mafanikio ya timu lakini anasema changamoto kubwa ni kwamba hakuna kozi rasmi ya kusomea utaalamu huo.
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 30/09/2026
- Runtime
- 54:29
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- Simba Queens 3-0 Yanga Princess | Highlights | Nusu Fainali | Ngao ya Jamii 30/09/2026
- Runtime
- 12:24
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY WANAWAKE: Simba Queens imetinga fainali ya Ngao ya jamii 2026 kwa kuifunga Yanga Princess mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la KMC Complex.
Magoli yamefungwa na Viviane Corazone Odhiambo, Senaf Demise na Mary Siyame.
Yanga Princess pia walipata pigo kwa nyota wake Ritticia Nabossa kutolewa nje kwa kadi nekundu dakika ya 37.
- Title
- Magoli na kadi nyekundu | Simba Queens 3-0 Yanga Princess | Ngao ya Jamii 30/09/2026
- Runtime
- 5:33
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY WANAWAKE: Simba Queens imetinga fainali ya Ngao ya jamii 2026 kwa kuifunga Yanga Princess mabao 3-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa kwenye Dimba la KMC Complex.
Magoli yamefungwa na Viviane Corazone Odhiambo, Senaf Demise na Mary Siyame.
Yanga Princess pia walipata pigo kwa nyota wake Ritticia Nabossa kutolewa nje kwa kadi nekundu dakika ya 37.
Tazama magoli....
- Title
- JKT Queens 1-0 Mashujaa Queens | Highlights | Nusu Fainali | Ngao ya Jamii 30/09/2026
- Runtime
- 3:33
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Fatuma Said amefunga goli pekee na kuipa ushindi wa 1-0 JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens, mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2026.
Ushindi huo umeipeleka fainali JKT Queens.
Hapa KMC Complex, Dar es Salaam.
- Title
- Goli lililowapeleka fainali JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens (1-0) | Ngao ya Jamii 30/09/2026
- Runtime
- 1:25
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- Fatuma Said amefunga goli pekee na kuipa ushindi wa 1-0 JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens, mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2026.
Ushindi huo umeipeleka fainali JKT Queens.
Hapa KMC Complex, Dar es Salaam.
- Title
- WEDNESDAY NIGHT LIVE | Simba, Yanga washindana kwa hoja kuelekea Kariakoo Derby ya 10/10/2026
- Runtime
- 54:45
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- KARIAKOO DERBY: Kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba vs Yanga itakayopigwa Oktoba 10, 2026, Patrick Nyembera amekutana na mashabiki wawili wakubwa, mmoja Yanga, na mwingine Simba.
Mashabiki hawa wanaingia kwenye vita ya maneno, kila upande ukitoa hija nzito kuelezea ubabe na ubora wa timu yake....
Mashabiki hawa ni Mohamed Hamisi wa Simba na Mustapha Omary wa Yanga..
Kipindi hiki kimeruka Septemba 23 #AzamSport3HD , na muda wake kama kawaida ni saa 1:30 usiku.
- Title
- Simba yazidisha tizi Afrika Kusini kuelekea Kariakoo Derby; Daktari afunguka hali ya wachezaji
- Runtime
- 3:29
- Date posted
- 17 days ago
- Description
- KUTOKA AFRIKA KUSINI | Kikosi cha Simba SC kimeendelea na tizi kali kwenye kambi yake ya siku kumi nchini Afrika Kusini, kujiweka sawa na mashindano mbalimbali wakianza na Dabi ya Kariakoo Oktoba 10.
Wachezaji wa kikosi hicho Hussein Abel na David Kameta wanashukuru kwa kambi hiyo na kueleza uzuri na utofauti wake wakisema “hakuna mataminio yoyote”.
Naye daktari wa kikosi hicho naye anagusia kuhusu hali ya wachezaji na kugusia kuhusu majeruhi akiwemo Wilson Nangu.
- Title
- VITASA | Hamisi Magazeti vs Harry Mkacha | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 38:05
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Raundi 10 ambazo Hamis Magazeti kutoka Zanzibar alivyompiga Harry Mkacha kutoka Malawi kwa pointi na kushinda mkanda wa PST ambao ulikuwa wazi…
Hili ndilo lilikuwa pambano kuu usiku huu…
Mshindi ni Karim Mandonga kwa pointi
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
- Title
- MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 29/09/2026
- Runtime
- 32:13
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- Azam TV
- Title
- VITASA | Mandonga alivyompiga Michael Williem wa Canada | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 18:01
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Tazama ndonga za Mandonga kwa raundi nne dhidi ya Michael Williams kutoka Canada. Kuna wakati wamelamba sakafu wote wawili kwa wakati mmoja, sijui ni nani aliyemuangusha mwenzake…!!!
Mbwembwe na burudani baada ya kukamilika kwa raundi nne, siyo habari tena…!!!
Mshindi ni Karim Mandonga kwa pointi
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
- Title
- VITASA | Anit Singh apigwa TKO raundi ya pili na Frank Shagembe | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 9:04
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Raundi ya pili ilikuwa chungu kwa Anit Singh kutoka India, akaona ya nini kufia ulingoni…!!! Ikabidi arushe taulo na kushindwa kuendelea na pambano..
Mshindi ni Frank Shagembe kwa TKO. Cheki alivyokula ngumi.
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
- Title
- VITASA | Mnondwa akalishwa na Mtandika kwa TKO raundi ya kwanza | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 5:15
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Tazama hii TKO, yaani raundi ya kwanza tu mtu amekaa..… mshindi ni Justine Mtandika na aliyekalishwa ni Yahya Mnondwa.
Sikiliza pia uchambuzi kutoka kwa Aidan Mlimila na Gilbert Johaness wakati Mnondwa akikalishwa.
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
- Title
- VITASA | Mustafa Mchina vs Aime Mulungilua | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 31:05
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Raundi nane zilizompa ushindi wa pointi Mtanzania Mustafa Mchina dhidi ya Aime Mulungilua kutoka Congo DR.
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
- Title
- VITASA | Mustafa Mohamed vs Hamad Banza | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 23:12
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Cheki ujoto ujoto wa raundi sita, bondia Mustafa Mohamed akishinda kwa pointi dhidi ya Hamad Banza.
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
- Title
- VITASA | Masoud Shame vs Abdallah Azizi Aboubakar | Boxing In Paradise 29/09/2026
- Runtime
- 10:44
- Date posted
- 18 days ago
- Description
- VITASA NIGHT: Masoud Shame kutoka Zanzibar ameshinda kwa TKO ya raundi ya tatu dhidi ya Abdallah Azizi Aboubakar kutoka Dar es Salaam.
Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar
Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti