Citizen TV Kenya
Wakfu wa Safaricom wajenga madarasa Katheru Mbeere Kaskazini
- Title
- Wakfu wa Safaricom wajenga madarasa Katheru Mbeere Kaskazini
- Runtime
- 1:57
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- Kwa miaka mingi, wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Katheru katika eneo la Mbeere Kaskazini walazimika kusomea katika madarasa yaliyochakaa.
- Title
- Serikali yaanza mchakato wa kulipa wakazi wanaoishi karibu na chemchemi za maji King'wal Nandi
- Runtime
- 2:16
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- Serikali kupitia wizara ya ardhi ikishirikiana idara mbalimbali yaanza mchakato wa kuwafidia mamia ya wakazi wanaoishi Karibu na chemichemi ya Kingwal kaunti ya Nandi ambao wakumbwa na chamgamoto za wanyama pori pamoja na mafuriko.
- Title
- Shirika la msalaba mwekundu lajenga kisima Samburu
- Runtime
- 3:20
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Wakazi wa mji mdogo wa Kisima Samburu Magharibi,wapata afueni kufuatia uzinduzi wa mradi wa maji eneo hilo kupitia ushirikiano wa mwakilishi wa kike wa kaunti ya Samburu na shirika la msalaba mwekundu
- Title
- Mwili wa binti Ruth Moraa wazuiliwa hospitalini baada familia kukosa pesa za kulipa bili ya hospital
- Runtime
- 3:10
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Mwilli wa mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu kutoka Kisii kwa jina Ruth Moraa wazuiliwa ndani ya makafani ya hospitali ya Kisii kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na madeni. Familia ya marehemu yasema kati ya shilingi laki tisa zihitajikazo, wafanikiwa kupata tu shilingi 23, 000.
- Title
- Wasichana 8 wa shule ya utumishi ya Gilgil wanafikishwa mahakamani kibra
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- kesi ya wasichna wanane wa shule ya utumishi ya Gilgil yaendelea katika mahakama ya Kibra jijini Nairobi.
- Title
- Waandamanaji zaiid ya 100 wafikishwa kortini Kajiado
- Runtime
- 1:13
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Washukiwa zaidi ya 100 ambao watiwa mbaroni mjini Kitengela kwa tuhuma za kushiriki maandamano, wafikishwa katika mahakama ya Kajiado.
Wasichana 8 wa shule ya utumishi ya Gilgil
- Title
- Watu wawili wafariki baada ya jengo kuporomoka katika soko la Gikomba jijini Nairobi
- Runtime
- 2:43
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Watu wawili wafariki baada ya jengo kuporomoka katika soko la Gikomba jijini Nairobi. Wawili hao wasemekana kuwa walikuwa wakitafuta vyuma vikuukuu wakati jengo lililoathiriwa na janga la moto. Juhudi za kuokoa bado zaendelea kwenye soko hilo.
- Title
- Washukiwa zaidi ya 200 waliokamatwa washtakiwa Milimani jijini Nairobi
- Runtime
- 1:48
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Baadhi ya waandamanaji waliokamatwa wafikishwa katika mahakama ya Milimani jijini Nairobi.
- Title
- | SHAJARA | Sanaa na Miondoko
- Runtime
- 5:25
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Waandamanaji 355 wakamatwa kwenye maandamano ya amani ya kumbukumbu ya Juni 25
- Runtime
- 6:43
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Waandamanaji 355 wakamatwa kwenye maandamano ya amani yaliyofanywa kuadhimisha kumbukumbu ya juni 25 kuwakumbuka vijana waliouawa miaka miwili iliyopita. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akisema serikali yaridhishwa na namna maandamano ya leo yalivyoendeshwa. Hata hivyo, mvutano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji ulishuhudiwa katikati ya jiji la Nairobi.
- Title
- Viongozi wa serikali ukanda wa Pwani wahimiza wakazi kumuunga mkono rais
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Baadhi ya viongozi wa kisiasa ukanda wa Pwani wasema wataunga mkono azma ya rais William Ruto ya kuchaguliwa kwa awamu ya pili wakisema kuwa atekeleza miradi mingi ya maendeleo katika
- Title
- Wataalamu wa masuala ya uwekezaji wa fedha wawashauri wafanyabiashara wadogo kuwekeza
- Runtime
- 2:01
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- wataalamu wa masuala ya uwekezaji wa fedha wawataka wafanyakazi wa kipato cha chini na wale wa sekta ya biashara ndogo kujiunga na hazina za pensheni na kuwekeza kwenye masoko ya fedha.
- Title
- Wafugaji wapigwa jeki huko Birbiriet, kaunti ya Trans Nzoia
- Runtime
- 2:08
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Kenya yaendelea kuimarisha nafasi yake kama kinara wa uzalishaji wa maziwa barani Afrika, hatua itajwayo kuwa matokeo ya juhudi za wafugaji na uwekezaji uendeleao katika sekta ya mifugo.
- Title
- Wakulima wa miwa katika kaunti ya Bungoma wapokea vyema uamuzi wa mahakama ya Vihiga
- Runtime
- 2:04
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Baadhi ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Bungoma waupokea vyema uamuzi wa mahakama ya Vihiga wa kusitisha uchaguzi wa mkurugenzi wa masuala ya miwa kwenye bodi ya sukari nchini ulioratibiwa kufanyika.
- Title
- Watu wenye ulemavu watetea nafasi yao katika sekta ya utalii katika kaunti ya Kajiado
- Runtime
- 2:00
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Watu wenye ulemavu kutoka maeneo mbali mbali ya kaunti ya Kajiado wasisitiza haja ya wadau katika sekta ya utalii kuheshimu na nafasi na fursa zao katika sekta ya utalii, pamoja na kuhakikisha sheria ya mwaka 2025 ilindayo haki zao kutambuliwa,
- Title
- Mradi wa maji eneo la Chasimba kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Uhaba Wa maji eneo la Chasimba kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi, lapata suluhu baada ya uzinduzi wa mradi wa maji yatakayosambazwa katika vijiji vitano.
- Title
- Shirika la Aquaclara lashirikiana na kaunti ya Bomet lazindua mradi wa kusafisha maji
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Shirika la Aquaclara kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Bomet lazindua mradi wa kusafisha maji katika Shule ya msingi ya Kaptebeng’wet iliyoko eneo bunge la Konoin.
- Title
- Waziri wa maji Eric Mugaa azindua mradi wa maji Yatta kaunti ya Machakos
- Runtime
- 1:44
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Uhaba wa maji katika eneo la Ukambani utazikwa kwenye kaburi la sahau hivi karibuni.Kauli ya waziri wa maji mhandisi Eric Murithi Mugaa wakati wa kuzindua mradi mkubwa wa usambazaji wa maji kwa wakazi wa Yatta kaunti ya Machakos. Mradi huo watarajiwa kutoa maji lita milioni nne kwa siku.
- Title
- Gavana wa Kwale Fatuma Achani azindua ujenzi wa bwawa la maji Bang'a
- Runtime
- 2:03
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Katika kaunti ya Kwale , gavana Fatuma Achani azindua ujenzi wa bwawa la Bang'a katika Kijiji cha Mbuguni litarajiwalo kunufaisha familia zaidi ya 200 katika vijiji vya Mbuguni na Bang'a .
- Title
- Ujenzi wa barabara Mwingi West kaunti ya Kitui
- Runtime
- 1:40
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Wakazi wa Migwani eneo mbunge la Mwingi West kaunti ya Kitui wapata matumaini ya kurahisishiwa usafri baada ya ujenzi wa barabara ya migwani kuelekea mbondoni kukamilika.
- Title
- Shirika la leba duniani lazindua chama cha ushirika kwa wakenya waofanyao kazi ughaibuni
- Runtime
- 3:46
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Shirika la leba duniani ilo pamoja na mashirika ya kutetea haki yazindua chama cha ushirika kwa wakenya waofanyao kazi ughaibuni hasa milki ya kiarabu wakisema hatua hii yachochewa na ukosefu wa akiba kwa wakenya. Wakizungumza katika hafla ya uzinduzi huko Mombasa wadau katika sekta hii wadai kuwa wakenya wengi wajipata kurudi nyumbani na kubaki maskini pamoja na familia kukosa kuchunga fedha zao.
- Title
- Wajawazito na walio na watoto wachanga kutoka eneo la Hamisi kaunti ya vihiga watibiwa bure
- Runtime
- 2:08
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Mamia ya kina mama wajawazito na walio na watoto wachanga kutoka eneo la Hamisi kaunti ya vihiga wanufaika na matibabu ya bure ya kliniki yaliyoandaliwa na shirika la Musimbi Global likishirikiana na chuo kikuu cha Kaimosi.
- Title
- Kenya yalenga kufikia viwango vya kimataifa vya WHO
- Runtime
- 2:05
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Waziri wa afya Aden Duale adokeza kuwa Kenya yalenga kufikia kiwango cha tatu cha ubora wa afya katika sekta ya udhibiti wa matumizi ya dawa , hatua ambayo itasaidia taifa kuwekeza zaidi katika viwanda zaidi nchini.
- Title
- Mahakama yakamilisha vikao msituni kwa Binzaro, Kilifi
- Runtime
- 1:36
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Mahakama yakamilisha vikao vyake msituni Kwa Binzaro alhamisi huku mashahidi zaidi wakijitokeza kueleza kilichotokea msituni humo kwenye kesi ya mauaji ya halaiki ya waumini wa dhehebu lililoongozwa na mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie.
- Title
- Wezi waiba mbuzi na kondoo 288 kijijini Lomunyenekiron huko Kaakong Turkana kusini
- Runtime
- 3:17
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Hali ya taharuki yatanda katika kijiji cha Lomunyenekiron huko Kaakong Turkana kusini, baada ya wezi wa mifugo kuvamia maboma ya wakazi na kuiba mbuzi na kondoo zaidi ya mia mbili. Wizi huu watokea wakati ambapo serikali yaendeleza operesheni ya kiusalama iongozwayo na kikosi maalum cha polisi SOG ilengayo kutwaa silaha zote haramu katika bonde la Kerio.
- Title
- Baraza la makanisa NCCK lakosoa mpango wa fidia kwa waathiriwa wa maandamano
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 4 hours ago
- Description
- Baraza la Kitaifa la Makanisa nchini NCCK lakosoa mpango wa kuwafidia waathiriwa wa maandamano, likisema ni njia ya serikali kukwepa uwajibikaji. NCCK yawataka maafisa wa usalama waliohusika katika utekaji nyara, mateso na mauaji ya waandamanaji watambuliwe na kushtakiwa kabla ya fidia kutolewa.
- Title
- 2 women arrested last night in Mwea during a candlelight vigil for Gen Z victims killed in protests
- Runtime
- 2:12
- Date posted
- 4 hours ago
- Description
- Title
- | DAY BREAK | Gen Z Protest Anniversary [Part 2]
- Runtime
- 1:00:37
- Date posted
- 7 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Gen Z Protest Anniversary [Part 1]
- Runtime
- 19:39
- Date posted
- 8 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | YVONNE'S TAKE |JUNE 25: DON'T DARE FORGET...
- Runtime
- 5:06
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | KAIKAI'S KICKER | KARUA BAN: LESSONS FROM CHINEDU
- Runtime
- 5:57
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- JAMILA'S MEMO | WANTAM-TUTAM: LONDON LESSONS
- Runtime
- 4:21
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- BONYO'S BONE | JKIA: WHY THE MYSTERY?
- Runtime
- 5:24
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | SAM'S SENSE | PUBLIC PROJECTS, PRIVATE PRAISE
- Runtime
- 5:45
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWS GANG | JUNE 25: ANNIVERSARY EDITION | PART 2
- Runtime
- 36:09
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWS GANG | JUNE 25: ANNIVERSARY EDITION | PART 1
- Runtime
- 40:07
- Date posted
- 16 hours ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- MP Caroli Omondi suspended after “stop being stupid” remark directed at Temporary Speaker Kaluma
- Runtime
- 15:49
- Date posted
- 16 hours ago
- Description
- Title
- Kenya juniors begin quest for Africa Super 8 qualification
- Runtime
- 1:15
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- The Kenya Junior Baseball 5 team is in Uganda for the East Africa Regional Baseball 5 Tournament that is set to begin on Friday in Kampala.
The Kenyan juniors arrived in Uganda on Wednesday and began their training on Thursday in readiness for the opening match.
Kenya joins hosts Uganda, Tanzania, and South Sudan in a battle for the ticket to the Africa Super 8 Championships. The top two teams at the end of the competition will secure qualification slots.
Kenya play the opening match on Friday afternoon against Tanzania.
The Kenyan side of ten players, five men and five women lost the regional title to hosts Uganda last year.
- Title
- President Ruto reaffirms commitment to key infrastructure projects
- Runtime
- 2:56
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- President William Ruto has reaffirmed his administration's commitment to completing key infrastructure projects.
The Head of State, who was touring the ongoing construction of the multi-billion-shilling Bomas International Convention Complex, said every Kenyan must be part and parcel of the Kenya Kwanza government's inclusive development agenda.
And as Emily Chebet reports, President Ruto said the project is among several strategic investments expected to position Kenya as a regional hub for conferences, tourism and investment.
- Title
- Tala restructuring to affect a small number of employees in Kenya
- Runtime
- 1:41
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- A restructuring at digital lender Tala is set to affect a small number of employees in Kenya as the company moves to centralize some of its global operations.
The firm says the move is aimed at streamlining management roles, even as it reassures customers and staff of its continued commitment to the Kenyan market.
Denis Otieno reports.
- Title
- Equity shareholders approve record KSh 21.7 billion dividend
- Runtime
- 2:06
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- quity Group shareholders are set to receive a record 21.7 billion shilling dividend after approving a 35.5 percent increase in the lender's annual payout.
Investors also backed plans to establish new insurance businesses in Kenya and the Democratic Republic of Congo, subject to regulatory approval.
Jasmine Wambui reports.
- Title
- Kisumu residents turn to voter registration during Gen Z memorial
- Runtime
- 2:35
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- As Kenyans took to the streets to mark the memorial for victims of human rights violations, residents of Kisumu turned up for a mass voter registration drive, terming it an alternative form of expression.
Close to 8,000 identification cards were availed for collection at the Kondele roundabout, with residents calling it a turning point in their engagement with the government.
This is even as business activities continued as usual across Nyanza where residents marked the memorial.
Laura Otieno reports.
- Title
- Counties remain largely peaceful during Gen Z protest anniversary
- Runtime
- 3:02
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- As Kenyans marked the second anniversary of the Gen Z protests, a majority of counties remained largely peaceful despite heightened security deployment.
Many towns across the country witnessed normal business activities, with residents opting to stay away from the streets.
Citizen TV's Chrispine Otieno with the report.
- Title
- Church calls for accountability as country marks Gen Z protest anniversary
- Runtime
- 2:49
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- As the country marked the second anniversary of the Gen Z protests, the National Council of Churches of Kenya criticized the government's ongoing compensation of victims of police brutality, arguing that financial payouts should not replace accountability.
The council called for the identification, arrest and prosecution of officers implicated in the abduction, torture and killing of protesters, saying justice must precede compensation.
As Mary Muoki reports, the church also voiced its support for the youth, encouraging them to take an active role in shaping the country's future.
- Title
- Activist arrested as Kitengela marks June 25 in calm
- Runtime
- 2:32
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- Activist Aslam Longton was arrested minutes after waving a flag in Kitengela town, becoming the second activist to be detained after activist Bob Njagi was arrested on Wednesday together with 63 other youth.
And as Willy Lusige reports, Kitengela town marked June 25th in remarkable calm after no demonstrations were witnessed as compared to last year.
- Title
- Peaceful demonstrations mark Gen Z protest anniversary in Mombasa
- Runtime
- 3:15
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- There were peaceful demonstrations in Mombasa County to mark the Gen-Z protests second anniversary.
Protesters gathered at the ACK Mombasa Memorial Cathedral for a service honouring those who lost their lives on June 25, 2024, before taking to the streets.
Police escorted them throughout the procession as businesses and transport operations continued normally.
And as Francis Mtalaki reports, human rights defenders in Mombasa are demanding that their concerns as captured in a petition received by the County Commissioner Mohammed Noor, be addressed.
- Title
- Police disperse Karatina protesters as Nyeri remains calm
- Runtime
- 2:51
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- For the third year running, police in Karatina were forced to lob teargas to disperse protestors in the town, after the largely peaceful protests turned chaotic.
Police disrupted the procession after the protestors allegedly breached the permit conditions in the protest permit.
The subsequent chaos resulted in three people arrested.
As Kamau Mwangi now reports, Nyeri town did not witness any protests with businesses operating normally.
- Title
- Thousands stranded as police block major roads into Nairobi CBD
- Runtime
- 3:43
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- Thousands of travellers were left stranded on Thursday after police blocked all major roads leading to the city centre.
Waiyaki Way, Thika Road, Mombasa Road, Kangundo Road and Magadi Road were turned into active security zones, with police using spikes, stones and their own vehicles to block access routes.
Police defended the move, saying it was meant to prevent goons from accessing the CBD.
However, travellers and business people described the disruption as an inconvenience that could have been avoided, warning of its impact on the economy.
Gatete Njoroge reports.
- Title
- Businesses remain closed as Kenyans stay home during protest anniversary
- Runtime
- 3:55
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- A majority of Kenyans opted to stay at home with businesses remaining closed on Thursday, despite the government’s assurance that it was going to be a normal working day.
The streets remained empty with public service vehicles which ferry many Kenyans to and from work also keeping off the streets due to the uncertainties that characterised the commemoration of the 2nd anniversary of the Gen Z protest.
Serfine Achieng’ Ouma with details of this forced holiday.
- Title
- Opposition leaders join families of protest victims in Parliament tribute
- Runtime
- 3:58
- Date posted
- 17 hours ago
- Description
- Opposition leaders led by Wiper Party leader Kalonzo Musyoka joined families of protest victims in laying wreaths outside Parliament despite attempts by police to block their march.
The leaders accused police of barricading parts of the city, saying the restrictions disrupted movement and made it difficult for Kenyans to access their workplaces.
They maintained that the commemorative event was aimed at honouring victims and renewing calls for accountability.

