Citizen TV Kenya
Zaidi ya shule 10 ya msingi katika eneo la Nyatike zazindua progamu maalum ya kupanda miti
- Title
- Zaidi ya shule 10 ya msingi katika eneo la Nyatike zazindua progamu maalum ya kupanda miti
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Shule zaidi ya 10 za msingi katika Kaunti Ndogo ya Nyatike zimezindua programu ya kupanda miti inayolenga kukuza hulka ya uhifadhi wa mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi katika eneo hilo.
Mpango huo, unatekelezwa chini ya programu ya “Adopt a Tree” ambapo kila mwanafunzi anatarajiwa kupanda na kutunza mti hadi ukomae. Walimu waliohusika katika awamu ya majaribio wanasema programu hiyo itasaidia wanafunzi kuelewa umuhimu wa uhifadhi wa mazingira wakiwa wadogo..
- Title
- Wanahabari washirikishwa kuhifadhi mazingira pwani
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Wanahabari kutoka ukanda wa pwani wanashirikishwa kuhifadhi mazingira ya baharini kwenye hafla iliyoandaliwa katika eneo la kuruwitu Kaunti ya Kilifi.
Kulingana nao, warsha hiyo itawapa wanahabari ufahamu wa kuandaa taarifa kuhusu mazingira ya baharini kwa minajili ya kuyahifadhi na kutunza viumbe wa majini.
- Title
- Gavana Waiguru akosoa viongozi wa upinzani mlimani
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Gavana wa KAUNTI YA KIRINYAGA Anne Waiguru amewakosoa viongozi wa upinzani kutoka eneo la Mlima Kenya kwa madai ya kuibua masuala nyeti ya uongozi ili kujinufaisha kisiasa. Waiguru amesema kujiondoa kwa gavana wa Murang'a Irungu Kang'ata ndani ya chama cha UDA hakutayumbisha ushawishi wa chama hicho katika eneo la Mlima Kenya. Kulingana naye, ataendelea kuunga mkono serikali ya William Ruto ili kuhakikisha ajenda ya maendeleo katika Kaunti ya Kirinyaga na eneo lote la Mlima Kenya inatekelezwa.
- Title
- Vijana 900 wakamilisha masomo ya kiufundi huko Makueni
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- vijana 900 kutoka kaunti ya Makueni wamekamilisha masomo ya ufundi kupitia mpango wa tujiajiri uliofadhiliwa na serikali ya Makueni kwa ushirikiano na wakfu wa benki ya KCB.
- Title
- Matatu za chama cha Mamoa zaondoka kwenye maegesho
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Shughuli za Uchukuzi zilikatizwa kwa muda kwenye maegesho ya mabasi ya Machakos baada ya matatu za chama cha wamiliki wa matatu cha machakos MAMOA kuwashusha na kuwachukua abiria kutoka nje ya maegesho hayo.
Chama hicho kiliondoa magari zaidi ya 50 kutoka kwa sacco mbalimbali . Akizungumza na wanahabari, Mwenyekiti wa Chama hicho, Onesmus Kyalo Ndambuki amesema kwamba wamiliki wa Matatu wanapinga mgao wa nafasi za maegesho akidai baadhi zimetengwa kinyume cha sheria .
- Title
- Mamlaka ya NACADA yataka wadau kushirikiana zaidi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya na Pombe Haramu (NACADA) imetoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana katika vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarati nchini.
Akizungumza mjini Kapsabet, mkurugenzi wa NACADA Benjamin Kuto alielezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika kaunti ya Nandi.
- Title
- Uharibifu wa makazi ya wanyama pori ni chanzo kikuu cha mzozo na binadamu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Uharibifu wa makazi ya wanyama pori umetajwa kama chanzo kikubwa cha migogoro baina ya wanyama na binadamu nchini. Katibu wa uhifadhi katika idara ya wanyama pori Dkt. John Kipkorir Chumo amesema kuongezaka kwa idadi ya watu kumechangia uharibifu wa mazingira na kusababisha wanyama kuingia maeneo ya makazi ya binadamu hali inayohatarisha maisha yao.
- Title
- Juhudi za kutokomeza ukeketaji zapigwa jeki Embu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Juhudi za kutokomeza ukeketaji katika Kaunti ya Embu zimepata nguvu mpya baada ya kampeni ya kupinga ukeketaji inayowaweka vijana mstari wa mbele kuzinduliwa. Mpango huo wa Bodi ya Kupinga Ukeketaji, unajiri wakati hofu ikiongezeka kuwa wanaotekeleza ukeketaji wanazidi kufanya vitendo hivyo kwa siri.
- Title
- Gavana wa Makueni akosoa matamshi ya Waziri Duale
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo jr amemkosoa vikali waziri wa afya Aden Duale kuhusu matamshi yake ya hivi majuzi kuwa hawezi kufanyiwa lolote hata kama ngamia wanaotoka maeneo ya Garissa wataendelea kuharibu mimea ya wakaazi wa maeneo ya ukambani. Mutula ameyataja matamshi ya Duale kama yasiofaa na hususan wakati huu ambapo kuna msukosuko wa kiusalama katika eneo la Mwingi uliosababishwa na mzozo kati ya wafugaji wa ngamia na wakulima wa eneo la Mwingi.
- Title
- NTSA yaanzisha mpango wa kutoa logbook mtandaoni
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA imeanzisha program mpya ya kutoa vitabu vya usajili wa magari yaani logbook kupitia mtandao. Akiongea na wanahabari huko seku kaunti ya kitui, mukurugezi mkuu wa (NTSA) Nason Kondiwa alisema kwamba hii itamaliza wizi na wanainchi kutumika vibaya . logbook za kidijitali zitaanza kutolewa ndani ya mwezi mmoja ujao.
- Title
- Maafisa kliniki wapiga kambi nje ya ofisi ya gavana Meru
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Maafisa wa kliniki wa kaunti ya Meru walipiga kambi nje ya Ofisi ya Gavana wa Meru huku mgomo wao ukiingia katika wiki ya tatu.
maafisa hao wa huduma za matibabu wanataka kaunti itekeleze mkataba wa makubaliano uliotiwa saini. Kati ya masuala wanayotaka yaangaziwe ni kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara.
- Title
- Rais Ruto anaendelea na ziara ya maendeleo Laikipia
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Rais William Ruto hii leo anazuru kaunti ya Laikipia ambapo amezindua mradi wa ujenzi wa kituo cha huduma centre katika eneo la doldol huko Laikipia kaskazini. Kituo hicho kitawawezesha wakazi hawa kupata huduma za serikali karibu nao.
Aidha Rais ameahidi kuwa ujenzi wa Barabara kuu ya kilomita 60 kutoka Nanyuki kuelekea doldol utaanza katika muda wa wiki mbili zijazo akiongeza kwamba kaunti hii itanufaika na kilomita 217 zaidi za lami kutoka kwa serikali yake. Rais pia alishutumu viongozi wa upinzani akisema kwamba lengo lao ni kuwapotosha wananchi kwani hawana la kuwafanyia isipokuwa kupiga siasa.
- Title
- Watu zaidi ya 15 wafukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu Pokoto Magharibi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Hofu imetanda katika eneo la Ramos, Pokot Kaskazini, kaunti ya Pokot Magharibi baada ya watu zaidi ya 15 kufukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu ulioporomoka walipokuwa wakichimba. Shirika la Msalaba Mwekundu kwa ushirikiano na wakazi pamoja na maafisa wa usalama linaendelea na shughuli za uokoaji huku idadi kamili ya waliofukiwa na vifusi bado haijabainika. Na kama anavyotuarifu Collins Shitiabayi watu 12 wamejeruhiwa na wanapokea matibabu
- Title
- | SHAJARA NA RASHID | Mary Wanjiku anahitaji matibabu ya figo [Part 2]
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Safari ya kutafuta matibabu ya mary wanjiku
Mary Wanjiku ni muuguzi anayeugua figo
Wanjiku ni mzaliwa wa kwanza aliyeichumia familia yao
- Title
- | SHAJARA NA RASHID | Mary Wanjiku anahitaji matibabu ya figo [Part 1]
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Safari ya kutafuta matibabu ya mary wanjiku
Mary Wanjiku ni muuguzi anayeugua figo
Wanjiku ni mzaliwa wa kwanza aliyeichumia familia yao
- Title
- KE | SHAJARA NA RASHID | Masaibu ya Mtoto Wa Mama Leah Oricho Anayeugua Ini [Part 2]
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mtoto wa Leah Oricho anahitaji matibabu maalum India
Ugonjwa wa mtoto huyo ulitambuliwa hospitalini Kenyatta
- Title
- | SHAJARA NA RASHID | Masaibu ya Mtoto Wa Mama Leah Oricho Anayeugua Ini [Part 1]
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mtoto wa Leah Oricho anahitaji matibabu maalum India
Ugonjwa wa mtoto huyo ulitambuliwa hospitalini Kenyatta
- Title
- Wamatangi: I will vie on the party of choice for the people of Kiambu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Title
- Natembeya: Upinzani pia unashirikiana na Linda Mwananchi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ambaye pia ni mwanachama wa muungano wa upinzani amesema kuwa muungano huo umeanzisha harakati za kumteua kinara mmoja atakayemenyana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza baada ya kuwapokea wazee kutoka jamii ya Agikuyu, Natembeya alisema kuwa muungano huo unaendelea kushirikisha kikosi cha Linda Mwananchi pamoja na viongozi wengine wa kisiasa ili kuunda upinzani dhabiti utakaoleta ushindani mkubwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.
- Title
- Amina: Ujenzi wa soko la samaki la malindi umefikia 95%
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- kamati ya maswala ya Uchumi wa bahari na maziwa kutoka bunge la kitaifa iliamuru kuongezwa kwa shilingi milioni 55 za kukamilisha Soko la samaki lililokwama kwa muda mrefu huko malindi kaunti ya kilifi.
Wakizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo, wavuvi eneo hilo wameitaka serikali kupambana na kesi za ufisadi katika miradi ya KEMSFED.
Kulingana na mbunge wa Malindi Amina mnyazi ujenzi wa soko hilo umekamilika kwa asilimia 95.
- Title
- Vikundi vya wanawake na vijana vyapewa mahema na viti Kirinyaga
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Serikali ya kaunti ya kirinyaga imeongeza juhudi za kuwawezesha wakazi kiuchumi hasa vijana wa wanawake.
Kwenye miradi ya uwezeshaji inayoongozwa na gavana wa kirinyaga anne waiguru, makundi ya kina mama na jamii za mapato ya chini walipewa vifaa mbalimbali vya biashara yakiwemo mahema na viti, huku walemavu wakipewa viti vya magurudumu na vifaa vingine muhimu vya kuwawezesha kutembea. hafla hiyi ilifanyika kijijini Njukiini.
- Title
- Kamati ya bunge kuhusu nyumba yazuru Kwale kukagua miradi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu nyumba, ujenzi na mipangilio ya miji imesema nyumba za bei nafuu zinazojengwa kaunti ya Kwale pamoja na soko la Mvindeni, zinatekelezwa kulingana na matarajio ya bunge na kwa manufaa ya mwananchi.
Akizungumza baada ya kuongoza kamati hiyo kukagua baadhi ya miradi eno la Matuga na Diani, mwenyekiti wa kamati hiyo Mugambi Rindikiri amesema jumla ya shilingi bilioni 14 zilizowekezwa kenye miradi hiyo zimeinua uchumi wa kaunti hiyo kwa kubuni nafasi za ajira kwa vijana na akina mama.
- Title
- Vijana washauriwa kutumia vyema vituo vya dijitali Bungoma
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Vijana wametakiwa kuepukana na matumizi mabaya ya mitandao na badala yake kuitumia katika kubuni nafasi za ajira na kujiendeleza maishani.
Akizungumza kule ndengelwa katika wadi ya bukembe west kaunti ya bungoma wakati wa uzinduzi wa kituo Cha kidijitali kilichoanzishwa na mwakilishi wadi Anthony lusenaka,gavana wa bungoma Ken Lusaka amesema kuwepo kwa kituo hicho ni mwamko mpya kwa ndoto za vijana katika kujiimarisha na kuinua uchumi wa eneo hilo.
- Title
- TVET zatoa mafunzo yanayolingana na mahitaji ya viwanda
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Ukosefu wa maadili na dhana potovu ya kupokea masomo kwa miaka mitatu imetajwa kama changamoto kuu inayokumba vyuo vya ufundi kuendelea kurekodi idadi ndogo ya wanafunzi nchini.
- Title
- Madaktari wa watoto wapewa mafunzo maalum huko wote
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Balozi wa taifa la Israeli humu nchini Gideon
Behar amesema taifa la Israeli litaendelea kushirikiana na Kenya katika maswala mbalimbali ikiwemo afya .
Akizungumza mjini wote kaunti ya Makueni alipofungua warsha ya kutoa mafunzo maalum ya matibabu ya watoto kwa madktari na wauguzi zaidi ya 60 amesema uhusiano wa kenya na Israeli ni mzuri na unaendelea kuimarika.
- Title
- Serikali yazindua mpango maalum wa uokoaji na utafiti
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Serikali ya kenya imezindua mpango maalum ya utafiti na uokoaji ikiashiria maendeleo makubwa katika mfumo wa kukabiliana na majanga nchini .
Mpango huu ni matokeo ya juhudi za ushirikiano kati ya Kitengo cha Kitaifa cha Usimamizi wa Maafa (NDMU) , kitengo cha Huduma kwa Polisi cha kukabiliana na majanga, vikosi vya zimamoto vya kaunti za Kiambu na Nairobi, pamoja na Kituo cha taifa la Poland cha Msaada wa Kimataifa (PCPM).
- Title
- Waziri Murkomen apendekeza kuongeza masharti ya usajili
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Waziri wa usalama kipchumba murkomen, amependekeza hatua kali zaidi kwenye mchakato wa kuwasajili makurutu wa polisi.
akizungumza katika chuo cha mafunzo ya polisi cha kiganjo mjini nyeri, murkomen aliipongeza idara ya polisi kwa kuwatimua makurutu 54 kutoka chuo hicho kutokana na visa vya utovu wa nidhamu.
- Title
- Wakenya wahimizwa kuchukua vitambulisho huduma centre
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amehimiza wakenya ambao vitambulisho vyao vya kitaifa vingali kwenye vituo vya huduma kote nchini kuvichukua na kujisajili kuwa wapigakura.
Akizungumza alipozuru kituo cha huduma cha Garissa, Ruku amesema kuwa inatamausha kuona vitambulisho zaidi ya elfu nne vikiwa havijachukuliwa na wenyewe kwenye kituo hicho.
- Title
- Waathiriwa wa wanyamapori walipwa fidia Tana River
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Uharibifu wa makazi ya wanyama pori umetajwa kama chanzo kikubwa cha migogoro baina ya wanyama na binadamu nchini. Katibu wa uhifadhi katika idara ya wanyama pori Dkt. John Kipkorir Chumo amesema kuongezaka kwa idadi ya watu kumechangia uharibifu wa mazingira na kusababisha wanyama kuingia maeneo ya makazi ya binadamu hali inayohatarisha maisha yao.
Akizungumza mjini Hola wakati wa kukabidhi hundi ya shilingi milioni 172 kwa familia 225 zilizopoteza wapendwa wao kutokana na kushambuliwa na wanyama pori, Chumo amesema idara hiyo inatumia hadi shilingi bilioni moja kila mwaka kama fidia kwa mashambulizi ya wanyama pori.
- Title
- Wagonjwa wahangaika, mgomo wa maafisa tabibu kaunti ya Meru ukiingia wiki ya tatu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Maafisa wa kliniki wa kaunti ya Meru walipiga kambi nje ya Ofisi ya Gavana wa Meru huku mgomo wao ukiingia katika wiki ya tatu.
Maafisa hao wa huduma za matibabu wanataka kaunti itekeleze mkataba wa makubaliano uliotiwa saini. Kati ya masuala wanayotaka yaangaziwe ni kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara.
- Title
- | DAY BREAK | Suluhu: Just Beat Up Gen Zs!
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Youth: State of Politics
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | YVONNE'S TAKE | PRESIDENTS...AND FELLOW ADULTS
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | KAIKAI'S KICKER | LET THE SUPREME COURT REMAIN SUPREME!
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- |JAMILA'S MEMO | DO NOT LIE TO CHILDREN!
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | SAM'S SENSE | NUMBERS: GOVT-TO-GOVT CLASH
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | BONYO'S BONE | SOUTH C BUILDING: THEN WHAT?
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWSGANG | ODM: PEACE BE WITH YOU...
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWSGANG | UHURU'S PERKS AND SPARKS
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWSGANG | TANGA, WHICH TANGA?
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | NEWSGANG | MIKWAJU YA SULUHU
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Kevin Kiarie returns home after strong showing at Africa Skate Games in Egypt
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Freestyle slalom skater Kevin Kiarie is back in the country after a successful solo mission in Egypt at the Africa Skate Games.
Kiarie was the only Kenyan in the competition held in Cairo, which attracted participants from seven countries.
- Title
- Athletics Kenya Nairobi Region marks World Athletics Kids’ Day in Kibra
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Athletics Kenya Nairobi Region marked the fifth edition of the World Athletics Kids’ Athletics Day with a colourful activation at Toi Primary School in Kibra.
The event brought together more than 350 children in a celebration aimed at promoting youth athletics development.
- Title
- Kenya Prisons dominate Nairobi Prisons as women’s volleyball league resumes
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- The National Women Volleyball League matches resumed on Thursday with four matches lined up at the Nyayo National Stadium indoor courts.
Kenya Prisons won the battle of the prisons when they brushed aside Nairobi Prisons 3-0 in sets of 25-10, 25-14, and 25-19.
- Title
- Defence Ministry takes over stalled Kericho stadium rehabilitation projects
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- The Ministry of Defence has assumed control of the rehabilitation of Kiprugut Chumo and Kapkatet stadiums in Kericho County after efforts to upgrade the facilities to international standards stalled.
Kiprugut Chumo Stadium, formerly known as Kericho Green Stadium, remains in a dilapidated state amid allegations of misappropriation of millions of shillings that were spent on its initial renovation in 2023.
- Title
- Bank Kenya posts 5.5 percent rise in Q1 profit to 3.52 billion shillings
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Stanbic Bank Kenya has posted a modest growth in first-quarter earnings, with net profit rising 5.5 percent to 3.52 billion shillings.
The performance was supported by higher interest income and growth in customer deposits, even as businesses continue to grapple with weak demand and rising operating costs.
- Title
- KeNHA resumes stalled Mamboleo–Miwani road project in Kisumu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- The Kenya National Highways Authority has resumed construction of the long-stalled Mamboleo–Miwani road project in Kisumu County.
The multi-billion shilling road is expected to ease traffic congestion, improve movement of goods, and strengthen regional connectivity across western Kenya.
- Title
- Safaricom posts 99.7 billion shillings profit despite Ethiopia losses
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Telco service provider Safaricom
has posted a 99.7 billion shillings profit for the full year ending March 2026.
The performance was underpinned by strong growth from the Kenyan business, which recorded a 10 percent rise in service revenue, translating to a 119.1 billion shillings profit.
However, the results were weighed down by the company’s Ethiopian operations, which, despite an increase in service revenue to 14.1 billion shillings, posted a 21.2 billion shillings loss.
Here is Jimmy Mbogoh with more on Safaricom’s performance.
- Title
- Floods in Baringo North displace families and endanger pupils crossing crocodile-infested waters
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Hundreds of families from three villages in Baringo North have been forced to abandon their homes as the swelling waters of Lake Baringo continue to wreak havoc in the area.
The floods are now threatening to disrupt learning at Loruk Comprehensive Primary School, where more than 250 pupils risk their lives daily crossing crocodile and hippo-infested waters on a small private boat just to access education.
- Title
- Ciagiini residents in Mwea, Kirinyaga halt burial over alleged murder
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Tension gripped Ciagiini Village in Mwea, Kirinyaga County after furious residents halted the burial of a 30-year-old man and marched with his body to Ciagiini Police Station, demanding justice over his alleged murder.
The residents accused police of inaction, claiming the main suspect, a local church bishop alleged to have hired men to kill the youth, remains at large.
The aggrieved residents insisted that Martin would not be buried until justice is served.


