Citizen TV Kenya
| DATAPOINT | KEY IMPORTS AND KEY EXPORTS
- Title
- | DATAPOINT | KEY IMPORTS AND KEY EXPORTS
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Title
- Eight Kenyan families plead for government help as relatives remain detained in Libya
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Tonight, eight Kenyan families are in anguish and are pleading with the government to intervene and bring home their loved ones who are detained in Libya.
The men travelled to the North African country in search of construction jobs but now find themselves behind bars in Benghazi.
What began as a promise of employment has turned into a nightmare of unpaid wages and imprisonment.
Citizen TV has been speaking to relatives and witnesses who paint a disturbing picture of exploitation and abandonment in a foreign country.
- Title
- Ex-LSK president Faith Odhiambo urges Senate action over Karen Nyamu remarks on Grade 10 student
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Ex-Law Society of Kenya President Faith Odhiambo has called on the Senate to take action against Nominated Senator Karen Nyamu over remarks about a Grade 10 student, which she described as inappropriate and degrading.
Odhiambo questioned Nyamu’s apology, calling it insincere, but later issued her own apology after public backlash.
Nyamu is now facing widespread criticism from Kenyans over the comments involving the student.
- Title
- Matiang’i faults Ruto over silence on Samia Suluhu remarks on dissent
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Jubilee Party Deputy Leader Fred Matiang'i has faulted President William Ruto for failing to challenge Tanzanian President Samia Suluhu Hassan over her remarks on dealing with dissenting voices in Kenya and Tanzania.
Matiang’i says President Ruto’s silence amounts to a failure to defend the constitution and protect the rights of Kenyans.
He was speaking at the Jubilee Party headquarters during a student leaders forum.
- Title
- Court admits Gachagua affidavit citing illness during impeachment process
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- It is a win for former Deputy President Rigathi Gachagua after a three-judge bench presiding over hearings on his impeachment issued a ruling admitting an affidavit filed by his lawyers, which indicates that he was unwell at the time Parliament formally impeached him.
The court, while delivering its ruling, stated that the application was duly filed in the interest of justice.
- Title
- Gachagua’s lawyers challenge impeachment process, cite constitutional violations
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Former Deputy President Rigathi Gachagua’s lawyers have told the court that the impeachment process violated the constitution.
The advocates questioned what they termed a rushed public participation process that was conducted in a record two days.
The lawyers want the court to quash the decision by the Senate to remove the former deputy president from office through impeachment.
- Title
- Legal challenge filed against Social Health Authority over healthcare financing systems
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Tonight, the Social Health Authority is facing a fresh legal challenge. A constitutional petition filed at the High Court in Kiambu is contesting the legality of SHA, digital health systems, and public officer medical schemes, with the petitioner arguing that the healthcare financing structures are operating outside the law.
The petitioner seeks a ruling that the schemes cannot perform insurance-related functions, including premium deductions and claims settlement, without express approval from Parliament.
- Title
- Poverty keeps some Grade 10 learners out of school despite 99 percent transition claim
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Tonight, we begin with the Competency-Based Education transition into Grade 10, now in its second term. Even as the government insists that over 99 percent of learners have successfully transitioned to Grade 10, the reality on the ground tells a more painful story.
More learners continue to narrate how poverty has locked them out of classrooms despite competitively earning their placements.
In Mombasa County, a 15-year-old girl who emerged top in her school is yet to report to Grade 10, four months into the transition. She says her family cannot afford the school requirements, despite earlier declarations that required school heads to admit learners with or without school fees or uniforms.
This comes as President William Ruto joined calls for the amalgamation of all scholarship programmes, with proposals allowing well-wishers to contribute towards supporting learners from poor backgrounds.
- Title
- Murkomen atangaza kuboreshwa kwa Chuo cha kiganjo kuwa Chuo kikuu cha polisi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ametangaza mpango wa serikali wa kukipandisha hadhi Chuo cha Mafunzo cha Kiganjo kuwa chuo kikuu cha polisi.
Ambapo maafisa wa polisi sasa wataweza kusomea kozi za shahada wakiwa katika maeneo yao ya utendakazi.
Akizungumza alipokitembelea chuo hicho katika Kaunti ya Nyeri leo, Murkomen alisema serikali inaweka mikakati ya kuboresha vifaa na mafunzo ya polisi ili kukabiliana na changamoto za kiusalama za sasa.
- Title
- Familia zaomba serikali iwarejeshe wakenya wanane waliofungwa Libya
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usiku wa leo, familia za Wakenya wanane waliokwama nchini Libya zimeiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kuwarejesha nyumbani.
Watu hao, ambao walielekea Libya kutafuta ajira, kwa sasa wanasemekana kuwa gerezani mjini Benghazi.
Kumekuwa na madai kuwa kile kilichoanza kama ahadi ya ajira kimegeuka kuwa kesi za ulanguzi wa binadamu, kutolipwa mishahara, na hatimaye kufungwa gerezani.
Mwanahabari Odee Francis amezungumza na Wakenya walioko Libya pamoja na familia za waathiriwa, na kuandaa taarifa hiyo.
- Title
- SHA yajikuta mahakamani katika changamoto ya kisheria
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mamlaka ya Bima ya Afya ya SHA imerejea tena mahakamani kufuatia kesi iliyowasilishwa kupinga uhalali wake.
Mkenya Francis Awino, aliyefungua kesi hiyo, anadai kuwa mamlaka hiyo inatekeleza majukumu kinyume cha sheria.
Anaiomba Mahakama izuie SHA kukusanya ada kutoka kwa Wakenya, kufanya malipo au kutoa huduma kwa namna inayofanana na kampuni za bima.
- Title
- Wakazi Ciagiini wazuia mazishi wakidai haki kwa kifo cha kijana
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Kizaazaa kilishuhudiwa katika kijiji cha Ciagiini, Mwea, Kaunti ya Kirinyaga baada ya wakazi wenye hasira kuzuia mazishi ya kijana aliyedaiwa kuuawa na mhubiri.
Wakazi hao waliandamana na mwili wa marehemu Martin Kara hadi katika Kituo cha Polisi cha Ciagiini wakitaka haki itendeke kuhusiana na kifo chake.
Aidha, wakazi hao waliapa kutomzika marehemu hadi haki ipatikane, huku wakiwalaumu maafisa wa polisi kwa madai ya uzembe katika kushughulikia tukio hilo.
- Title
- Wanafunzi Loruk wakumbwa na hatari baada ya ziwa Baringo kuvunja kingo
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mamia ya wanafunzi katika eneo la Loruk, Baringo Kaskazini, wanaishi katika hatari baada ya Ziwa Baringo kuvunja kingo zake.
Zaidi ya wanafunzi 250 kutoka Shule ya Loruk wanalazimika kuhatarisha maisha kila wanapoelekea shuleni baada ya barabara ya kuingia katika shule hiyo kukatika.
Hali hiyo imewalazimu wazazi kuchangia shilingi 20 kwa kila mwanafunzi ili kulipia usafiri wa boti unaowasafirisha wanafunzi hao kwenda shuleni.
- Title
- Mahakama yaruhusu ushahidi wa afya wa Gachagua
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mahakama sasa imekubali kuwasilishwa kwa ushahidi kutoka kwa daktari wa aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, kuhusiana na hali yake ya afya wakati wa vikao vya kubanduliwa kwake.
Aidha, daktari Dan Gikonyo aliyewasilisha ushahidi unaoashiria kuwa Gachagua alikuwa hospitalini, sasa ametakiwa kufika mahakamani ili kutoa ushahidi huo moja kwa moja mbele ya mahakama.
- Title
- Gachagua apinga uamuzi wa seneti mahakamani
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mawakili wa aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, sasa wanaiomba Mahakama kubatilisha uamuzi wa Bunge la Seneti wa kumwondoa ofisini.
Katika kesi hiyo iliyosikilizwa leo, mawakili wa Gachagua wanadai kuwa zoezi la kutafuta maoni ya wananchi kabla ya hoja hiyo kujadiliwa bungeni lilikiuka Katiba.
Pia wanahoji kuwa zoezi hilo liliibua maswali kuhusu kwa nini kamati ya maseneta 11 haikubuniwa ili kumsikiliza Gachagua kabla ya uamuzi kuchukuliwa.
- Title
- Wanafunzi wa gredi ya 10 walia Kukosa karo wakati wizara ikidai uandikishaji wa juu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Watoto zaidi wa Gredi ya 10 wameendelea kujitokeza kusimulia changamoto wanazokumbana nazo baada ya masomo yao kukwama kutokana na ukosefu wa karo.
Mercy Kagendo kutoka eneo la Mishomoroni, Mombasa, bado hajajiunga rasmi na masomo ya Gredi ya 10 licha ya kuwa alishika nafasi ya kwanza katika Shule ya Mtopanga kwa alama 62.
Hali hii inajiri wakati Wizara ya Elimu ikijitetea kwamba asilimia 99.5 ya wanafunzi wameripotiwa kuwa shuleni.
- Title
- Idara ya ulinzi yachukua usimamizi wa viwanja vya Kiprugut Chumo na Kapkatet
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Idara ya Ulinzi sasa imechukua rasmi usimamizi na ukarabati wa viwanja vya Kiprugut Chumo na Kapkatet baada ya mradi wa kuviboresha kufikia viwango vya kimataifa kukwama.
Uwanja wa Kiprugut Chumo, unaojulikana pia kama Kericho Green Stadium, umeendelea kubaki katika hali duni huku ukiwa umezingirwa na sakata la ubadhirifu wa mamilioni ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya ukarabati wake.
- Title
- Seneta Nyamu aomba msamaha bungeni kufuatia kauli zake
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Seneta Maalum wa chama cha UDA Karen Nyamu alilazimika kuomba msamaha bunge la Seneti kuhusu matamshi aliyotoa.Katika kitendo cha kushangaza na cha aibu, Nyamu mnamo mwezi machi alitoa matamshi ya kumdhalilisha mwanafunzi wa Gredi ya 10 aliyekuwa amefika Seneti kwa mafunzo maalum. Matamshi hayo yaliibua hisia kali huku spika wa muda Veronica Maina akimtaka Nyamu aombe msamaha mara moja. Hata hivyo msamaha aliotoa Nyamu pia umekosolewa huku aliyekuwa Rais wa chama cha mawakili LSK, Faith Odhiambo akilitaka bunge la Seneti kuchukua hatua zaidi dhidi ya Seneta huyo..
- Title
- Kenya's Gold Feature | Avocado Farming in Kenya
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Burial of Martin Kara halted in Ciagiini, Mwea as residents demand justice over his killing
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Burial of Martin Kara halted in Ciagiini, Mwea as residents demand justice over his killing
- Title
- Regulators urged to prioritize public satisfaction amid rapid development
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Title
- Senator Karen Nyamu forced to apologise over ‘disrespectful’ comments she made to a Grade 10 learner
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Title
- Msingi wa Utaifa Party (MUP) registered, urges IEBC to uphold integrity of the 2027 polls
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- The government and Kenyans have been urged to treat all political parties equal as we near preparations towards next elections with Kenyans with politics Ambitions preparing on which vehicle to use.
Speaking after receiving the certificate of registration of musingi wa utaifa party in Nairobi they urged IEBC and Kenyans to continue with voter registration to enable a good percentage of kenyans register as a voter's
The party chairman, Mr Paul Ribathi urged the IEBC to make sure they prepare towards fair and transparent elections as per the Kenyan constitution.
They wondered how the government is shifting blame about goonsm in the country yet they have all the apparatus of power.
- Title
- WATCH LIVE: President Ruto Addresses the National Education Conference in Naivasha
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Title
- Nacada imezindua kampeni ya kuhamasisha umma
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mamlaka ya kudhibiti pombe na mihadarati nchini NACADA imezindua kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu athari za dawa za kulevya.
Akizungumza baada ya Kuzindua kampeini hiyo mjini Bungoma, Naibu Kamishna Geoffrey Githinji amesema kuwa shughuli hiyo inalenga kutoa hamasa kwa vijana na wazee. Githinji aidha amewataka wamiliki wa vilabu vilivyo halalishwa kufanya biashara ya vileo kuzingatia muda uliowekwa wa kuendeleza biashara hiyo
- Title
- Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bomet wanalalamikia ujenzi wa jalala karibu na chuo hicho
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Wanafunzi wa chuo kikuu cha Bomet na wanajamii wanalalamikia ujenzi wa eneo la kutupa taka karibu na chuo hicho na mto wa Nyangores.
Wanafunzi hao Wanasema kuwa licha ya kushinikiza serikali ya kaunti ya Bomet kutenge mahali mbadala, ujenzi umeendelea bila jamii kuhusishwa au athari za taka kuzingatiwa. Serikali ya kaunti ilianza kutupa takahapo baada ya jalala la awali lililokuwa karibu na nyumba za bei nafuu kuondolewa. Wakazi sasa wanataka jalala kuhamishwa kwa dharura.
- Title
- Zaidi ya wakulima 200 kutoka Kipini mashariki wapewa miche ya minazi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Zaidi ya wakulima 200 kutoka Kipini Mashariki, kaunti ya Tana River wamepokea miche laki tano ya minazi ili kuendeleza kilimo hicho ambacho kulikuwa kimeanza kudidimia.
Wizara ya kilimo ya kaunti hiyo inalenga kuimarisha na uboresha kilimo hicho kwa kuongeza thamani kwa bidhaa zinazokuzwa kaunti ya Kilifi ili kuongeza mapato na kufufua uchumi wa wakulima.Aidha wizara hiyo pia inashirikiana na taasisi za kilimo nchini kwa kuwapa wakulima miche iliyofanyiwa utafiti ili kuongeza uzalishaji .
- Title
- Vijana waraiwa kujiunga na taasisi za kiufundi mashinani huko Malindi
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Wito umetolewa kwa vijana kujiunga na taasisi za kiufundi mashinani ili kupata ujuzi wa kuwawezesha kujiajiri au kupata nafasi za ajira katika sekta ya Uchumi wa baharini.
Katika kaunti ya Kilifi, Zaidi ya vijana laki tatu hawana ujuzi wa kuwawezesha kupata fursa katika soko la ajira.Wakizungumza katika taasisi ya kiufundi ya Muyeye eneo bunge la Malindi, wadau waliwahimiza vijana kujitokeza kwa wingi na kuchukua fursa zilizoko kwenye vyuo vya mafunzo ya uchumi wa majini.
- Title
- Mwalimu mmoja anahangaikia matibabu ya ugonjwa wa figo
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Gharama ya juu ya matibabu ya ugonjwa wa figo imemfanya Mwalimu mmoja mwenye umri wa miaka 34 kutoka Diani, Kaunti ya Kwale, kujipata kwenye njia panda. Maisha ya mwalimu huyo yalibadilika baada ya mkono wake wa kulia kupooza kufuatia hitilafu wakati wa matibabu ya kusafisha damu. Sasa mwalimu huyo ameshindwa kuendelea na kazi yake huku gharama ya juu ya upandikizaji wa figo ikimshinda.
- Title
- Wagonjwa wa selimundu wanasikitikia gharama ya juu ya matibabu
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Wagonjwa wa selimundu pamoja na wazazi wenye watoto walioathirika kaunti ya Busia wamesikitikia kupanda kwa gharama za matibabu.
Wamesikitika kuwa wengi wao wameshindwa kumudu bei ya juu ya dawa za kila siku na vipimo vya mara kwa mara vya damu mbali na uangalizi wa kitaalamu. Wagonjwa wanasema wamelazimika kusalia nyumbani bila matibabu. Wameihimiza serikali kupunguza bei ya dawa hizo na kuhakikisha kuwa zinapatikana kwa urahisi, kwani baadhi wamepata ulemavu kwa kukosa matibabu. Ukosefu wa damu hospitalini pamoja na uhaba wa madaktari wataalam wa damu mashinani hulazimu wagonjwa kusafiri mbali na kutumia fedha nyingi kupata matibabu.
- Title
- Wauguzi Migori wanashinikiza maslahi yao kuzingatiwa
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Muungano ya wauguzi tawi la Migori unasisitiza kuzingatiwa kwa maslahi yao.
Wauguzi hao wanadai kutelekezwa na idara za afya za serikali za kaunti na Serikali kuu.Wauguzi hao walieleza kuwa wanapitia changamoto si haba wanapotoa huduma za afya kwani hawana bima thabiti ya afya.Wauguzi hao pia waliomba kuajiriwa Kwa wauguzi zaidi ili kuimarisha huduma
- Title
- Wakaazi wa Magarini wamefanya maandamano ya amani kupinga unyakuzi wa eneo la umma ufuoni
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Wakaazi wa eneo la Mjanaheri kaunti ndogo ya Magarini wamefanya maandamano ya amani wakipinga madai ya mpango wa mwekezaji kunyakua ufuo wa umma.
Wakiwa wamebeba mabango, wakazi hao walimshutumu mwekezaji huyo kwa hatua hiyo. Kulingana na wakazi hao eneo hilo ni la umma na lkivutio kutokana na mchanga wake wa kipekee katika ufuo wa bahari hindi. Eneo hilo linajulikana kama Dubai Ndogo na linazidi kupata umaarufu kwa kuwa kivutio kikubwa cha utalii. Wakaazi hao walisema kuwekewa uzio eneo hilo kutawazuia wananchi kupata ufuo huo na kuapa kutokubali hatua hiyo.
- Title
- Jaji Mohammed Warsame ameapishwa kama jaji wa Mahakama ya Upeo
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Jaji Mohammed Abdullahi Warsame ameapishwa rasmi kama jaji wa mahakama ya upeo.
kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ikulu ya nairobi, rais William Ruto alimtaja jaji Warsame kama ambaye amechangia pakubwa tasnia ya uanasheria. rais Ruto amemtaja warsame kama mwenye maadili ambayo yataimarisha idara ya mahakama na imani ya wananchi kwa idara hiyo. Warsame ni jaji wa 14 kuhudumu katika mahakama ya upeo.
- Title
- Watoto wafanya uchaguzi wa viongozi wa bunge la Watoto Turkana
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Watoto katika kaunti ya Turkana wamefanya uchaguzi wa viongozi wa watakaowawakilisha katika Bunge la Watoto.Uchaguzi huo uliofanyika kupitia kura ya siri unalenga kuwaandaa watoto kuwa viongozi kando na kuwaelekeza kuhusu utetezi wa haki na demokrasia.
Cheboit Emmanuel alihudhuria hafla hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.
- Title
- Wakazi wa Embu watakiwa kutoa taarifa kuhusu wahalifu kwa polisi
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Kamishna wa Kaunti ya Embu, Maurice Wanyonyi, amewataka wakazi wa Embu kushirikiana na vyombo vya usalama kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kudhibiti ongezeko la uhalifu.
Kamishna huyo amesema kuwa operesheni zinazoendelezwa na vikosi vya pamoja tayari zimepelekea kukamatwa kwa watu wanaohusishwa na wizi wa vifaa vya kielektroniki, huku uchunguzi zaidi ukiendelea.Aidha Wanyonyi pia anasema ukosefu wa taa za barabarani ni chanzo kikuu cha uhalifu kwani maeneo yenye giza yanatumiwa na wahalifu kujificha na kutekeleza uhalifu.
- Title
- Watu 2 wamekamatwa, simu za mkononi 305 zinazoaminika kuibwa zilipatikana kwenye operesheni Nakuru
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Watu wawili wamekamatwa na maafisa wa usalama katika eneo la Nakuru Magharibi kwenye operesheni ya usalama iliyofanywa usiku wa kuamkia leo, ambapo jumla ya simu za mkononi 305 zinazoaminika kuibwa zilipatikana.
- Title
- Wanaoishi karibu na msitu wa Maasai Mau wametakiwa kuhama
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Familia zinazoishi kwenye maeneo yanayopakana na msitu wa Maasai Mau wametakiwa kuhama kutokana na mvua nyingi inayoendelea kunyesha.
Kamishna wa Kaunti ya Narok Kipkech Lotiatia alikutana na familia zilizoathiriwa na maporomoko ya ardhi na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari za mapema mbali na kutoa habari kwa asasi husika kabla ya majanga kutokea. Hata hivyo wenyeji wameelekeza hasira zao kwa wanasiasa wakidai kuwa wanawatelekeza wakati wa shida.
- Title
- Wafugaji wa Oldonyiro, Isiolo, wapinga ujenzi wa bwawa la Nantudu
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Wafugaji katika eneo la Oldonyiro kaunti ya Isiolo waliandamana kupinga ujenzi wa bwawa katika eneo la Nantudu.
- Title
- Waziri Ruku awaonya wafanyikazi wanaochelewa kazini
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amewaonya watumishi wa umma wanaochelewa kufiika kazini kuwa watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Akizungumza baada ya kufanya ziara ya ghafla katika afisi kuu ya Kamishina wa eneo la Kaskazini Mashariki, Waziri Ruku alitamaushwa na idadi ndogo ya wafanyikazi waliokuwa wamefika kazini kufikia saa mbili ya asubuhi. Waziri huyo aliahidi kuhakikisha kuwa uwajibikaji wa maafisa wa serikali unatiliwa maanani.
- Title
- Wakenya 19 wameuwawa kwenye vita vya Urusi na Ukraine
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Wakenya 19 wameuwawa kwenye vita vya Urusi na Ukraine, huku wengine 42 wakiwa hawajulikani waliko. Akizungumza kwenye kikao cha kamati ya leba katika bunge la seneti, waziri wa masuala ya kigeni musalia mudavadi amesema kuwa watu wawili wanazuiliwa jela huku 53 wakirudishwa nchini. Idadi jumla ya wakenya wanaoshiriki kwenye vita hivyo imepanda hadi 291.
- Title
- Mawakili wa Gachagua wasema uamuzi wa kumtimua uliharakishwa
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Kesi ya kubaduliwa kwa Rigathi Gachagua Kama naibu rais inaendelea kusikizwa huku Gachagua akisisitiza kuwa mchakato wa kumbandua haukufuata sheria. Kupitia kwa mawakili wake, gachagua ameeleza jopo la majaji watatu kuwa mchakato huo haukuafikia viwango vinavyohitajika vya kikatiba na ushirikishwaji wa umma. Aidha Gachagua anaitaka mahakama kutathmini iwapo mchakato wa kumtimua ulifuata sheria kikamilifu.
- Title
- Rais Ruto na Waziri Ogamba wasema mpito wa sekondari umefikia asilimia 99.5%
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba Na Rais William Ruto wanasisitiza kuwa mpito wa wanafunzi wa gredi ya kumi umefikia asilimia 99. Hii ni licha ya takwimu kubaini kuwa hali sivyo na wanafunzi wakijitokeza kusimulia masaibu ya kushindwa kujiunga na sekondari ya juu. Wakizungumza kwenye kongamano la kitaifa la elimu huko Naivasha, rais ruto alirejelea msisitizo kuwa karo za shule zilipwe kupitia mfumo wa e-citizen ili kuzuia ufujaji wa fedha.
- Title
- Seven people arrested in Kisumu for exhuming a body over land dispute without permit
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Title
- Ruto: We were paying capitation for over 87k ghost secondary school students, 800k primary pupils
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- Title
- | DAY BREAK | Donkey Skin Trade Crisis
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- I AM: ERIC OMONDI [EPISODE 2]
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- On this episode of I AM, Jeff Koinange has a candid conversation with Eric Omondi on his journey from a humble beginnings to comedy, fame, activism and now politics.
- Title
- | DAY BREAK | State of the Nation: United Opposition Unity [Part 3]
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Poor Quality Fuel Concerns [Part 2]
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Poor Quality Fuel Concerns [Part 1]
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Kenya wrestling team returns home with eight-medal haul from African championships
- Date posted
- 4 days ago
- Description
- The Kenya team to the African Wrestling Championships is back home after an impressive display where they won a total of eight medals, including one gold, three silver, and four bronze.


