Citizen TV Kenya
Ruto aeleza faida za kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu
- Title
- Ruto aeleza faida za kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu
- Runtime
- 2:55
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Rais William Ruto ametetea mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta cha Lamu, akisema mradi huo utapunguza gharama ya kuagiza mafuta kutoka nje na kutoa ajira kwa zaidi ya watu 60,000.
Rais Ruto, aliyekuwa katika ziara ya Kaunti za Kwale na Taita Taveta, pia aliwakosoa viongozi wa upinzani wanaopinga baadhi ya miradi ya maendeleo nchini, akiwataka Wakenya kupuuza upinzani huo.
Emmanuel Too na mengi zaidi.
- Title
- Kesi ya ardhi yatikisa mradi wa kiwanda cha mafuta Lamu
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mipango ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote mjini Lamu sasa inakabiliwa na kesi mahakamani, huku wakaazi wakitaka kulipwa fidia ya ardhi yao.
Hatua hiyo inajiri siku chache kabla ya Rais William Ruto kuuzindua rasmi mradi huo.
Wakaazi hao wanaitaka Mahakama ya Ardhi na Mazingira mjini Malindi kusitisha shughuli zote za mradi huo, licha ya vifaa vya ujenzi tayari kuanza kuwasili katika Bandari ya Lamu.
- Title
- CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ SEP 28, 2026
- Runtime
- 10:56
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Title
- Samburu governor calls for compensation over livestock deaths
- Runtime
- 1:37
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Samburu Governor Lati Lelelit has called on the national government to compensate 43 families whose livestock were killed during an ongoing security operation in the county, with losses estimated at KSh 70 million.
Speaking at Archers' Post Police Station, where he accompanied affected families to lodge formal reports, Lelelit claimed that more than 700 livestock were shot dead by police officers conducting the operation.
He called for investigations to establish the circumstances that led to the killing of the livestock. The governor says an estimated 15,000 people from four wards where the operation is ongoing have been displaced.
- Title
- Gachagua pledges to prioritise fight against corruption
- Runtime
- 1:03
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Democracy for the Citizens Party Leader Rigathi Gachagua has pledged to prioritize the fight against corruption in government if the United Opposition clinches power in 2027, alleging that graft remains the greatest stumbling block for Kenyans living abroad to invest back home.
Gachagua, who spoke when he attended Sunday service at the Victory Chapel in Dallas, Texas, said the quest to do away with the vice will top his election manifesto, in a bid to woo back investors, some of whom he believes have relocated from the country because of graft.
He also told Kenyans in the diaspora that the United Opposition would bring immediate reforms in the country’s health sector.
- Title
- KHRC demands accountability ahead of El Niño rains
- Runtime
- 1:11
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- The Kenya Human Rights Commision (KHRC) is demanding accountability and protection of human rights in preparations and interventions for the El Niño rains expected between October - December 2026.
The civil society group has condemned forced or arbitrary evictions, arrests and inhumane handling of potential flood victims as witnessed in the previous floods, which they say exposed the country’s vulnerabilities in management of disaster.
- Title
- Ndiritu Muriithi elected Kenya Reform Party leader
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kenya Revenue Authority Board Chairperson and former Laikipia Governor Ndiritu Muriithi has been elected leader of the Kenya Reform Party as political parties position themselves ahead of the 2027 presidential election.
Muriithi dismissed claims that he is a political project, saying Mount Kenya is not united behind one political party or leadership.
Leaders present said the mushrooming and revival of political parties was a declaration of independence from larger political parties.
They accused major political parties of undermining candidates seeking elective positions.
- Title
- Over 60 per cent of Murang’a industrial park taken up by investors
- Runtime
- 1:48
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- More than 60 per cent of Murang’a County’s 1,400-acre industrial park has already been taken up by investors, signalling growing activity at the flagship industrial project.
Governor Irungu Kang’ata says the remaining 40 per cent of the industrial city presents opportunities in manufacturing, agro-processing, logistics, healthcare and other value-adding industries.
Speaking at the Murang’a Governor’s Investment Dinner in Nairobi, Governor Kang’ata said the county has attracted more than 30 approved investors, with six companies already starting construction of their factories.
The industrial city has received 48 applications since the first investment conference in June 2025, while the county has issued 44 allotment letters for 99-year leases.
- Title
- Ruto defends Sh.2 trillion Lamu refinery project
- Runtime
- 1:41
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- President William Ruto has defended the construction of the Sh.2 trillion East African Oil Refinery project in Lamu, saying it will reduce the cost of fuel in the country and create more than 60,000 jobs for Kenyans.
Speaking in Lunga Lunga, Kwale County, President Ruto criticised opposition leaders who have opposed the project, claiming some had been sponsored to oppose a project they did not understand.
President Ruto also issued more than 26,000 title deeds to thousands of squatters in the county.
The move is part of a government plan to issue 500,000 land documents to residents of the Coast region by the end of this year.
- Title
- 133 Lamu residents challenge land takeover as Dangote refinery project begins
- Runtime
- 1:17
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- More than 130 Lamu residents are fighting to stop what they describe as the takeover of their ancestral land, as construction of the planned 2 trillion-shilling Dangote refinery and petrochemical complex gets underway.
The 133 residents of Chandavai have moved to court, claiming land their families have occupied and cultivated for generations is being cleared for works linked to the project.
They say crops, trees, homes and other property have already been affected and are seeking orders to stop further construction and excavation pending the determination of the dispute.
The legal battle comes as the 700,000-barrel-a-day refinery prepares to break ground this week.
As construction draws closer, the Kenya Ports Authority has received the first major shipment of heavy machinery for the project at the Port of Lamu aboard the MV Da Yang.
- Title
- Murkomen calls for greater citizen participation in intelligence gathering
- Runtime
- 1:00
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Interior and National Administration Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has called for greater citizen participation in intelligence gathering and information sharing as the government moves to strengthen community policing and public participation in security matters.
Speaking while delivering a lecture on citizen participation as a strategic pillar of national security at the National Defence College in Nairobi, Murkomen said citizen engagement can become a critical intelligence capability.
He said the government should develop effective mechanisms to convert information gathered from communities into strategic intelligence.
Murkomen said stronger collaboration between citizens and security agencies would enhance community policing and strengthen public participation in national security matters.
- Title
- Kenya kupambana na Tanzania katika mkondo wakufuzu kwa kombe la mataifa bora ya afrika.
- Runtime
- 1:48
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Timu ya taifa ya kandanda ya chini ya miaka 23 , emerging stars, itamenyana na tanzania leo kuanzia saa tisa alasiri katika mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya mechi za kufuzu kwa kombe la mataifa bora ya afrika.
- Title
- Joyce Wangare Njiru azikwa eneo la Mito Mbili kaunti ya Trans Nzoia baada ya miezi mitatu
- Runtime
- 1:21
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Hatimaye, mama Joyce Wangare Njiru amezikwa katikaeneo la Mito Mbili, kaunti ya Trans Nzoia, baada ya familia na wanakijiji kusubiri kwa zaidi ya miezi tatu kuupata mwili wake kwa ajili ya mazishi. Mwili wa marehemu ulikuwa umehifadhiwa katika hospitali moja ya kibinafsi jijini Nairobi kutokana na deni la matibabu, hali iliyochelewesha maandalizi ya mazishi ya heshima.
- Title
- Watetezi wa haki za watoto wafanya hamasa ya afya ya hedhi kaunti ya Kisii
- Runtime
- 2:12
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Ujumbe maalum kutoka taifa la Marekani ukiwemo watetetezi wa haki za watoto wamezuri kaunti ya Kisii kwa shughuli za kutoa hamasisho kwa vijana hususan wasichana wanaokumbwa na changamoto za hedhi mashinani.
- Title
- Huduma za upangaji uzazi zaongezeka kaunti ya Kilifi
- Runtime
- 2:18
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Idadi ya wanawake wanaopokea huduma za upangaji uzazi imeongezeka katika kaunti ya Kilifi hadi asilimia 47 katika njia zote 4 za upangaji uzazi ikiwemo njia ya kitamaduni huku asilimia 44 ikiwa wale wanaotumia njia za kisasa.
- Title
- Wakazi zaidi ya 1,000 Maungu kaunti ya Taita Taveta wapata huduma za matibabu ya bure
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu moja eneo la Maungu kaunti kaunti ya Taita Taveta baada ya kunufaika na huduma mbalimbali za matibabu kutoka kwa mamlaka ya bandari nchini.
- Title
- Mzozo waibuka eneo la Nyatike baada ya hospitali ya rufaa kuhamishiwa Awendo
- Runtime
- 1:56
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mzozo unatokota kati ya Serikali ya kaunti ya Migori na wakazi wa kaunti ndogo ya Nyatike baada ujenzi wa hospitali ya rufaa iliyopangiwa kujengwa eneo hilo kuhamishiwa katika eneo la Awendo.
- Title
- Wakazi 1,500 katika wadi ya Masongaleni, Kaunti ya Makueni wapata matibabu
- Runtime
- 1:55
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- wakazi zaidi ya 1,500 katika Wadi ya Masongaleni, Kaunti ya Makueni, wamefaidika na kambi ya matibabu, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa.
- Title
- Wito wa kuondolewa kwa unyanyapaa dhidi ya uavyaji mimba watolewa Embumbul kaunti ya kajiado
- Runtime
- 3:11
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya uavyaji mimba salama,Wadau wa afya ya uzazi waliokongamana huko Embumbul kajĩado kaskazini,wanatoa wito wa kuondolewa kwa unyanyapaa dhidi ya wanawake wanaopitia matatizo yanayohusiana na uavyaji mimba kwa sababu za kiafya, wakisema hofu ya kuhukumiwa huwafanya baadhi yao kuchelewa kutafuta matibabu. Wacuka Kiarie na mengi zaidi....
- Title
- Wakazi Bureti wamjengea Joseph Ngeno nyumba kwa msaada wa jamii
- Runtime
- 2:04
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Wakazi wa Kapsogeruk katika Wadi ya Litein, eneo la Bureti, wamejitolea kumjengea nyumba mkazi mwenzao Joseph Ngeno, ambaye ana watoto watatu walemavu.
- Title
- Wahudumu bodaboda Bangale Tana River watakiwa kuzingatia sheria za trafiki ili kupunguza ajali
- Runtime
- 2:12
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Wahudumu wa bodaboda kutoka eneo la Bangale huko Tana River wametakiwa kuzingatia sheria za trafiki ili kupunguza visa vya ajali za barabarani katika eneo hilo.
- Title
- Radio Citizen na Jamhuri Cultural Vibes wazindua mseto Jamhuri creatives masterclass
- Runtime
- 1:39
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kipindi cha Mseto cha Radio Citizen kwa ushirikiano na Jamhuri Cultural Vibes ya Uingereza wamezindua mpango mpya wa kitaifa, Mseto Jamhuri Creatives Masterclass.
- Title
- Eneo la Mambrui katika kaunti ya kilifi lalengwa kwa soko la utalii
- Runtime
- 1:45
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Wadau katika sekta ya utalii kaunti ya Kilifi wanalenga kutafutia soko eneo la Mambrui kama moja wapo ya vivutio vikuu vya utalii eneo hilo kutokana na mandhari yake ya matuta ya mchanga .
- Title
- Uwindwaji haramu watishia sekta ya utalii katika kaunti ya Garissa
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Uwindaji haramu kaunti ya Garissa umesalia kuwa changamoto kubwa katika kukuza sekta ya utalii eneo hilo.
- Title
- Mahakama yasitisha ujenzi wa jumba la ghorofa sita kaunti ya Kajiado
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mahakama ya Mazingira na ardhi imesitisha ujenzi wa jumba la ghorofa sita katika eneo la Olkeri, Kajiado Kaskazini, hadi kesi inayopinga mradi huo itakaposikilizwa na kuwamuliwa.
- Title
- Viongozi wa Jubilee kaunti ya Nyamira wampongeza Uhuru kwa kumteua Matiang’i
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Viongozi wa chama cha Jubilee katika kaunti ya Nyamira wamempongeza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kumteua aliyekuwa Waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang'i kuwa kinara wa chama cha Jubilee.
- Title
- Viongozi wa UDA Emurua Dikirr wapatanishwa baada ya tofauti za kisiasa
- Runtime
- 2:09
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Baadhi ya Viongozi wa Kenya Kwanza wamepatanisha viongozi wa UDA eneo la Emurua Dikirr walioukuwa na tofauti kali sana za kisiasa.
- Title
- Familia ya Dennis Oremo Osiemo yaomba idara ya IPOA kuchunguza kifo chake korokoroni
- Runtime
- 2:12
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Familia yake Dennis Oremo Osiemo kijana mwenye umri wa miaka 24 aliyedaiwa kujitia kitanzi akiwa korokoroni katika kituo cha polisi cha Narumoru, sasa imeomba IPOA kuchunguza kwa kina kilichosababisha kifo cha mpendwa wao.
- Title
- Waziri wa utalii Rebecca Miano asema wizara yake itatumia michezo kukuza utalii Kenya.
- Runtime
- 3:29
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Waziri wa utalii nchini Rebecca Miano, amesema wizara yake itaendelea kushirikiana na wizara ya michezo ili kutumia michezo kukuza utalii humu nchini. Waziri Miano aidha ameyasema wanalenga kutumia Akili Unde katika kuboresha utalii.Ameyasema hayo katika maadhimisho ya siku ya utalii duniani iliyoandaliwa katika chuo kikuu cha Eldoret kaunti ya Uasin Gishu.
- Title
- Uraibu wa dawa za kulevya wazidi kuathiri wakenya
- Runtime
- 3:29
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kulingana na takwimu kutoka mamlaka ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya, Wakenya zaidi ya wanne kati ya mia moja wanakabiliwa na uraibu wa dawa za kulevya. Wadau sasa wanaonya kuwa uraibu huo umesababisha mamilioni ya fedha kupotea kutokana na waathiriwa kupoteza ajira na kushindwa kuwa na tija katika jamii.
- Title
- Kina mama wajawazito wakabiliwa na hatari ya kuvuja damu wakijifungua katika kaunti ya Homa bay
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Suala la wanawake kuvuja damu nyingi wakati wa kujifungua na kupoteza maisha bado ni changamoto, hasa kwa kina mama wanaoishi maeneo ya vijijini. James Latano anaangazia masaibu na changamoto zinazowakabili kina mama wajawazito katika Kaunti ya Homa Bay.
- Title
- Ujenzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote kaunti ya Lamu watarajiwa kuanza baada ya uzinduzi
- Runtime
- 1:16
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kinachopendekezwa katika Kaunti ya Lamu unatarajiwa kuanza mara moja baada ya uzinduzi wa mradi huo Jumatano wiki hii. Mradi huo unatarajiwa kuwa na mchango katika maendeleo ya eneo hilo na kutoa fursa mbalimbali kwa wakazi.
- Title
- Jamii Lamu yataka fidia kabla ya mradi wa kiwanda cha Dangote
- Runtime
- 2:46
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Huku zikiwa zimesalia chini ya saa 24 kabla ya kuwekwa kwa jiwe la msingi kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, jamii za wafugaji na wakulima katika Kaunti ya Lamu zimeitaka serikali kuhakikisha zinalipwa fidia kabla ya mradi huo kuanza.
- Title
- Rais william ruto apigia debe mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta Lamu
- Runtime
- 1:39
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Rais william ruto ameendelea kupigia debe mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta cha lamu, akisema kiwanda hicho kitapunguza gharama ya kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi na pia kutoa nafasi za ajira kwa watu zaidi ya 60,000. Rais alizungumza kule lunga lunga kaunti ya kwale, anakotoa hatimiliki 26,000 wa wakazi wa eneo hilo.
- Title
- Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua ameahidi kuvipa kipaumbele vita dhidi ya Ufisadi
- Runtime
- 1:10
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua ameahidi kuvipa kipaumbele vita dhidi ya Ufisadi serikalini ikiwa wakenya watauchagua upinzani kuliongoza taifa, akidai ufisadi ndio chanzo kikuu cha wakenya wanaoishi ughaibuni, kutowekeza nyumbani.
- Title
- Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen asema usalama wa taifa ni wa wananchi wote
- Runtime
- 1:32
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen anasema suala la usalama wa taifa linahusisha wananchi wote. akihutubia hadhira katika chuo cha kitaifa cha ulinzi mtaani karen kuhusu masuala ya usalama wa taifa, Murkomen amesikitishwa na maandamano ya gen z yaliyosababisha vifo mwezi juni mwaka wa 2024.
- Title
- Mahakama kuu imemwachilia huru inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja
- Runtime
- 1:29
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mahakama Kuu imemwachilia huru Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kwenye kesi ya kukaidi amri ya mahakama.
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 6]
- Runtime
- 10:20
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 5]
- Runtime
- 28:53
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- “You are cursed,” CS Ruku tells Gachagua over his dismissal of DP Kindiki’s coronation
- Runtime
- 2:53
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 4]
- Runtime
- 32:31
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen atoa taarifa kuhusu usalama wa taifa
- Runtime
- 8:23
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 3]
- Runtime
- 10:20
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 2]
- Runtime
- 15:34
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | UKUMBI | Mpango wa inua jamii [Part 1]
- Runtime
- 20:30
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Serikali ya kaunti ya Kwale yaendelea kuboresha sekta ya elimu ya juu
- Runtime
- 2:04
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Serikali ya kaunti ya Kwale imesema inaendelea kuboresha mazingira ya kuwavutia wawekezaji katika sekta ya elimu ya juu ili kuinua viwango vya elimu katika kaunti hiyo.
- Title
- Viongozi kutoka Garissa wanaitaka tume ya kuajiri walimu TSC kuwaajiri walimu wanaohitimu
- Runtime
- 1:52
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Viongozi kutoka Garissa wanaitaka tume ya kuajiri walimu TSC kuwapa ajira kundi la kwanza la walimu wanaotarajiwa kuhitimu kutoka chuo cha walimu cha Garissa mwezi ujao.
- Title
- Viongozi wa Wajir wamewataka wakazi kujisajili kuwa wapiga kura
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Viongozi wa Wajir wamewataka wakazi kuungana na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao, wakisisitiza umuhimu wa kuongeza idadi ya wapiga kura katika eneo hilo.
- Title
- Baadhi ya viongozi wa magharibi wakosoa matamshi ya Uhuru
- Runtime
- 1:46
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Baadhi ya viongozi wa magharibi wameendeleza shutma dhidi ya aliyekuwa rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu matamshi yake ya wizi wa kura.
- Title
- Police bosses in court as they accompany IG Douglas Kanja for sentencing over contempt of court
- Runtime
- 1:18
- Date posted
- 9 days ago
- Description

