Citizen TV Kenya
Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amtaka Uhuru Kenyatta kukamatwa kwa tuhuma za kuchochea wakenya
- Title
- Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amtaka Uhuru Kenyatta kukamatwa kwa tuhuma za kuchochea wakenya
- Runtime
- 1:38
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli ameitaka serikali kumkamata rais mstaafu uhuru kenyatta, akimshutumu kwa kuchochea wakenya dhidi ya serikali iliyopo mamlakani.
- Title
- Mbwa na Punda wapewa chanjo eneo la Kisushe kaunti ya Taita Taveta
- Runtime
- 2:43
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya maradhi yatokanayo na kichaa cha mbwa, wakazi kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kuhakikisha mbwa wao wanapata chanjo mara kwa mara. Katika eneo la Kishushe eneo bunge la Wundanyi ambapo wakazi wanategemea zaidi punda kwa ajili ya kubeba maji pia wametakiwa kuwapatia chanjo punda wao.
- Title
- Isaac Ochalo, aka 'Baba Wanja’ arrested after he was captured on video assaulting a woman in Kamakis
- Runtime
- 0:11
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Title
- Mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani (NTSA) yatoa mafunzo kwa wenye matatu
- Runtime
- 0:57
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani (ntsa) imetoa mafunzo kwa wenye matatu na madereva ili kupunguza ajali na kurejesha nidhamu barabarani.
- Title
- Kampuni ya magari ya umeme EVMS yaingia Nairobi
- Runtime
- 2:10
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kampuni ya uchukuzi wa umma ya magari ya umeme ya evms, imezindua usafiri wa magari hayo maarufu 'ev mabasi solutions' hapa jijini nairobi .
- Title
- KEPSHA yakashifu na uchimbaji wa dhahabu katika wanja wa shule ya Nareng Emunyen kaunti ya Turkana
- Runtime
- 3:58
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Viongozi wa Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi KEPSHA katika kaunti ya Turkana,wameshangazwa na hatua ya wakaazi wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Nareng Emunyen iliyoko Turkana kusini,kuingia katika uwanja wa shule hiyo na kuanza kuchimba dhahabu.
- Title
- Ulimwengu waadhimisha mwezi wa uhamasishaji dhidi ya kujitoa uhai
- Runtime
- 4:20
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kwa kujitoa uha, majonzi hayamaliziki siku ya mazishi. Wengine hubeba maumivu hayo kwa miaka, huku wengine wakibaki na lawama na maswali yasiyo na majibu kuhusu kilichowachochea wapendwa wao kukata tamaa ya kuishi. Katika Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Kuzuia Kujiua,
- Title
- Hospitali ya rufaa Meru yaadhimisha miaka 100 ya huduma za afya
- Runtime
- 3:40
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Hospitali ya Rufaa ya Meru imeadhimisha Miaka 100 ya huduma za afya kwa Wakaazi wa Meru na Viunga Vyake. Na Kama anavyoripoti Gregory Murithi, Hospitali hiyo tayari imeanza mikakati ya kuboreshwa zaidi ili kupandishwa ngazi ya daraja la sita.
- Title
- President Ruto says Lamu protests sponsored by people who previously demanded bribes from Dangote
- Runtime
- 5:37
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Title
- Kaunti ya Kwale yazindua kampeni ya udhibiti wa vifo vya mama na watoto
- Runtime
- 4:28
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Idadi ya wanawake wajawazito wanaohudhuria kliniki mara nane inavyohitajika ingali chini ya asilimia 15 katika kaunti ya kwale. wataalamu wa afya wakisema Ni asilimia 71 pekee wanaojifungulia hospitalini, hali inayoongeza hatari ya vifo vya mama na mtoto. Sasa serikali ya kaunti kwa ushirikiano na mashirika ya afya imeanzisha kampeni kuhamasisha wanawake kuhudhuria kliniki na kujifungulia hospitalini.
- Title
- Mkewe naibu rais Joyce Kindiki awataka vijana kuongoza katika sera za hali ya hewa
- Runtime
- 1:29
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Mke wa naibu rais, dkt. Joyce kithure, amewasihi vijana kuchukua nafasi ya mbele katika kuunda sera za hali ya hewa na kuendeleza suluhu za kimazingira kote nchini
- Title
- Rigathi Gachagua asema waathiriwa wa mauaji ya mifugo Samburu wanapaswa kulipwa fidia
- Runtime
- 5:06
- Date posted
- 8 days ago
- Description
- Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameishutumu serikali kwa kile alichodai kuwa ni kuilenga jamii ya Wasamburu, baada ya mamia ya mifugo ya jamii hiyo kuripotiwa kupigwa risasi katika tukio la wiki iliyopita huko Samburu, wakati wa operesheni ya polisi ya kudumisha usalama.
- Title
- Shahidi afichua misukosuko kati ya Tob Cohen na Sarah Wairimu
- Runtime
- 5:53
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mfanyakazi wa zamani wa mfanyabiashara marehemu Tob Cohen na mkewe Sarah Wairimu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya mauaji, ametoa ushahidi mahakamani, akiangazia uhusiano uliokuwa na misukosuko kati ya wawili hao kabla ya mfanyabiashara huyo kupatikana amefariki. Shahidi huyo, Shilindwa Shishemi, ameiambia mahakama kuhusu msururu wa matukio yakiwemo kutofautiana na vita aliyodai kuyashuhudia ndani ya nyumba ya Cohen na Wairimu.
- Title
- Naibu rais Kithure Kindiki aagiza ukaguzi wa viwanda vya pombe nchini
- Runtime
- 1:26
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Naibu Rais Kithure Kindiki ameielekeza Wizara ya Usalama wa ndani na vyombo vya usimamizi wa sheria, kukagua upya viwanda vyote vya kutengeneza pombe, ili kubaini hali ya utiifu wa kanuni mpya zilizowekwa katika vita dhidi ya pombe haramu.
- Title
- Rais William Ruto asema viongozi wa upinzani wamepeleka kesi kuzuia mradi wa kiwanda cha Lamu
- Runtime
- 1:32
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Rais William Ruto sasa anasema baadhi ya viongozi wa upinzani ndiyo wamepeleka kesi mahakamani kuzuia kuendelea kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha lamu, akisema hataruhusu viongozi hao kuhujumu uchumi wa taifa.
- Title
- Maandamano dhidi ya kiwanda cha dangote kaunti ya Lamu
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika bustani ya Mkununi Kisiani Amu ya kupinga shughuli ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha dangote yalisitishwa kwa muda baada ya maafisa wa polisi kutumia vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji.
- Title
- Mahakama ya hukumu wanaume wanne kifo kwa mauaji ya George Muchai
- Runtime
- 0:55
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mahakama Kuu imewahukumu kifo wanaume wanne waliopatikana na hatia ya kumuua aliyekuwa Mbunge wa Kabete, George Muchai, pamoja na walinzi wake watatu.
- Title
- SHE MEANS BUSINESS| Gilgil MP Martha Wangari: I won't run on UDA ticket for my third term
- Runtime
- 45:05
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- On this week’s episode of She Means Business, Women in Politics Edition, Claire Munde sits down with Gilgil MP Martha Wangari for a candid conversation on her political future, her decision not to seek a third term on a UDA ticket, and why she is in no hurry to choose her next political vehicle.
Wangari also reflects on the Gachagua impeachment, the Utumishi Girls dormitory tragedy, her Births and Deaths Registration Bill, and creative ways politicians can fund campaigns beyond hard cash.
- Title
- | MWENGE WA KAUNTI | Katiba: Marudio tena? [Part 2]
- Runtime
- 34:35
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | MWENGE WA KAUNTI | Katiba: Marudio tena? [Part 1]
- Runtime
- 31:08
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- 'I won't run on UDA ticket ' - Gilgil MP Martha Wangari
- Runtime
- 0:50
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Gachagua impeachment: Gilgil MP speaks on why she didn't support the motion.
- Runtime
- 0:55
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Kenya's petition to ban social media for under 16 year olds
- Runtime
- 1:46
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Utimishi tragedy: Gilgil MP Martha Wangari speaks on her criticism of government inaction.
- Runtime
- 0:46
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Protests in Lamu as locals demand compensation before groundbreaking for oil refinery
- Runtime
- 2:31
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Gachagua condemns the killing of over 700 Cattle in Samburu
- Runtime
- 12:33
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- Wanaharakati wazidisha kampeni dhidi ya dhuluma za kijinsia bonde la ufa
- Runtime
- 2:01
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Wanaharakati wanaopigania kukomeshwa kwa dhulma za kijinsia kaskazini mwa bonde la ufa wamezidisha kampeni ya kukomesha dhulma hizo katika jamii,kampeni yao ikiwalenga makocha wa riadha ili kuwahamasisha kuchangia kwenye vita hivyo.
- Title
- Serikali ya kaunti ya Kilifi yaweka mikakati kudhibiti utata wa ardhi
- Runtime
- 2:07
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia Idara ya ardhi kaunti hiyo kwa ushirikiano na serikali kuu na wadau wengine wanao shughulikia maswala ya ardhi nchini inasema itatekeleza kikamifu mikakati waliyoweka kuhakikisha kuwa inadhibiti swala la utata wa ardhi ambalo limekuwa Donda sugu kaunti hiyo na hata pwani kwa jumla.
- Title
- Wakazi wa magharibi Kenya watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya ebola
- Runtime
- 1:46
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Wakazi wa maeneo ya Magharibi mwa Kenya, hasa wanaoishi karibu na mpaka wa Kenya na Uganda, wamehimizwa kuendelea kuwa waangalifu na kuzingatia hatua za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ebola.
- Title
- Kamati ya elimu yakagua ujenzi wa chuo kikuu cha koitalel samoei kaunti ya Nandi
- Runtime
- 2:32
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kamati ya Bunge kuhusu Elimu imefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi katika bewa la Chuo Kikuu cha Koitalel Samoei mjini Nandi Hills, Kaunti ya Nandi.
Ujenzi wa jengo la utawala, kumbi za mihadhara pamoja na miundombinu mingine ya chuo hicho ulikwama kwa muda kutokana na changamoto za kifedha pamoja na madai ya kutokuwepo kwa viwango vinavyohitajika katika kazi zilizotekelezwa na mkandarasi wa awali.
- Title
- Wanachama wa ODM kaunti ya Migori wataka uchaguzi mpya wa chama ngazi za chini
- Runtime
- 1:38
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Wanachama wa ODM katika Kaunti ya Migori wanatoa wito kwa uchaguzi mpya wa ngazi za chini baada ya Mahakama kubatilisha uchaguzi wa kamati ya uratibu wa chama hicho wa kaunti kwa madai ya ukiukaji wa Sheria.
- Title
- Mshukiwa wa uwindwaji haramu akamatwa kaunti ya Garissa
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Maafisa wa kulinda wanyama pori kutoka shirika la KWS wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja wa uwindaji haramu katika eneo la Dhaley viungani mwa mji wa Garissa akiwa na kipande cha nyama inayoaminika kuwa ya twiga.
- Title
- Kaunti ya Kajiado yaanza kusafisha mabomba ya maji kukabili el niño
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kaunti ya Kajiado imeanza kusafisha mabomba ya maji katika eneo la Embulbul, Kajiado Kaskazini, katika juhudi za kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua ya El Niño.
- Title
- Wakandarasi katika kaunti ya Kwale watakiwa kuharakisha miradi kabla ya mvua za el niño
- Runtime
- 2:31
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Taharuki yatanda eneo la Tumaini Pipeline kaunti ya Nairobi uvamizi na uharibifu wa mali
- Runtime
- 2:52
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Hali ya taharuki imetanda katika mtaa wa tumaini eneo la pipeline hapa jijini nairobi baada ya watu waliojihami kuvamia mtaa huo na kuharibu mali ikiwemo ua la mtaa huo.
- Title
- Maiti ya Samuel Maitha yapatikana mto Athi baada ya kuzama Oldonyo Kaunti ndogo ya Sabuk Matungulu
- Runtime
- 2:19
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Maiti ya mwanamume mmoja kwa jina Samuel Maitha aliyezama katika Mto Athi huko Oldonyo Kaunti Ndogo ya Sabuk Matungulu hatimaye imepatikana na wapiga mbizi kutoka Kaunti ya Kiambu.
- Title
- Meneja wa benki apatikana na hatia ya jaribio la mauaji Mombasa
- Runtime
- 2:21
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Mahakama ya mombasa imempata na hatia meneja wa benki moja jijini humo na kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mpenzi wake wa zamani kwa kumshambulia na kumuacha na majeraha mabaya.
- Title
- | SOCIAL HOUR | The art of adult friendship
- Runtime
- 47:48
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Opposition: Battle over parties
- Runtime
- 12:01
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | The Lamu refinery project [ Part 2]
- Runtime
- 51:14
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- #faidacafe #citizentv #citizendigital
- Runtime
- 0:53
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Title
- | DAY BREAK | The Lamu refinery project [ Part 1]
- Runtime
- 21:19
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- MONDAY REPORT I SAMBURU IN TURMOIL I
- Runtime
- 56:46
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- MONDAY REPORT NEWS ~28TH SEP, 2026
- Runtime
- 57:42
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Voi’s 10,000-seater Vindo Stadium set for completion by December 2026
- Runtime
- 1:15
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Major construction works at the Vindo Stadium in Voi are expected to be completed by December 2026, President William Ruto has announced.
President Ruto, who is on a tour of Taita Taveta County, inspected the ongoing construction works at the stadium, among other development projects.
The 10,000-seater facility is being developed to host football, rugby and athletics, with the government saying it will provide a platform for nurturing sporting talent in the region.
The project, whose groundbreaking was conducted in March after stalling for nine years, is currently about 50 percent complete and has a budget of 950 million shillings.
Once completed, the Vindo Stadium will provide an alternative sporting venue to the nearby Danson Mwanyumba Stadium.
The government says the facility is part of efforts to improve sports infrastructure and support emerging talent in Taita Taveta County.
- Title
- Kenya Police Bullets maintain perfect start to FKF Women’s Premier League
- Runtime
- 1:23
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Defending champions Kenya Police Bullets are among just three teams with a 100 percent record after two rounds of matches in the FKF Women’s Premier League.
The Police Bullets beat Zetech Sparks 2-0 on Monday afternoon to collect another three points and remain top of the table with the maximum six points.
The Ulinzi Starlets have climbed to second, up from fourth, after edging former champions Vihiga Queens 2-1 in Mumias.
Kibera Soccer Women also moved up to third after claiming the slum derby honours with a 1-0 victory over Mathare United at the Police Sacco Stadium.
Kayole Starlets secured their first win of the season with a 1-0 triumph over Trinity Starlets, moving up to fourth in the standings.
Shabana also recorded their first victory, beating fellow newcomers Elim White Ladies 2-0 to climb two places to fifth.
- Title
- Emerging Stars thrash Tanzania 4-1 in AFCON U-23 qualifier
- Runtime
- 1:38
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kenya’s Under-23 football team, the Emerging Stars, have taken a commanding advantage in their AFCON Under-23 qualifier against Tanzania after a 4-1 first-leg victory at Nyayo Stadium.
Kenya got off to a flying start, with striker Paul Osama opening the scoring after just 78 seconds.
The Emerging Stars doubled their lead just before half-time, Bandari FC striker Lawrence Okoth finding the back of the net.
Captain Kevin Wangaya made it 3-0 in the 51st minute after winning possession from the Tanzanian defence near the centre of the pitch.
Tanzania were handed a lifeline three minutes later when a handball in the box resulted in a penalty, which they converted to make it 3-1.
Second-half substitute Kelly Madada of AFC Leopards restored Kenya’s three-goal cushion with a superb strike from just outside the box.
The 4-1 victory gives the Emerging Stars a significant advantage heading into the second leg in Dar...
- Title
- Made in Kenya: Inside the making of books for a new generation of learners
- Runtime
- 5:00
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Kenya’s education system has shifted from the 8-4-4 system to the Competency-Based Education system, CBE.
The transition has increased demand for educational materials, particularly textbooks, with the textbook market accounting for a significant share of publishing.
Publishers such as Story Moja are constantly seeking new content to meet the growing demand for learning materials.
Edward Chweya takes us inside Story Moja Publishers, where books designed for schoolchildren are developed.
- Title
- ASK seeks private partners to modernize Jamhuri Park Showground
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- The modernization of the Agricultural Society of Kenya’s Jamhuri Park Showground has reached an advanced stage, with the society now seeking private partners through a public-private partnership model to complete the project.
The mixed-use master plan will introduce larger exhibition spaces, upgraded livestock pavilions and small business incubation centres, transforming the grounds into an organized, year-round commercial and exhibition hub.
The update came on the first day of the Nairobi International Trade Fair, which has attracted more than 10 foreign countries and an estimated 400 local and international exhibitors.
- Title
- Saccos disburse more credit than deposits mobilized in 2025
- Runtime
- 3:52
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- The Sacco sector disbursed more credit than the deposits mobilized by the sector in 2025.
This is according to the Sacco Societies Regulatory Authority, SASRA, annual supervision report.
SASRA CEO David Sandagi says the gap between deposits and credit has been driven by changes in the sector’s business model, with Saccos introducing different deposit and savings products beyond conventional deposits.
Here is Jimmy Mbogoh with more on the 2025 Sacco performance.

