Citizen TV Kenya
Court grants DCI 15 days to hold four suspects
- Title
- Court grants DCI 15 days to hold four suspects
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- A Nairobi court has granted the DCI 15 days to continue detaining four suspects arrested in connection with the killing of lawyer Mathew Kyalo Mbobu as investigators work to complete their probe.
- Title
- Man held over alleged killing of wife and child
- Runtime
- 1:56
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Police in Nyali are holding a man who is alleged to have stabbed his wife and child to death in the Shauri Yako area of Nyali Constituency, Mombasa County.
- Title
- Kamati ya kitaifa ya olimpiki ya kenya (noc-k) yaandaa warsha ya siku tatu kuhusu afya ya wachezaji
- Runtime
- 1:06
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Kamati ya kitaifa ya olimpiki ya kenya (noc-k) inaendelea na kongamano lake la siku tatu kuhusu afya ya wanamichezo, likiwaleta pamoja wataalamu wa matibabu, makocha, wasimamizi wa michezo na wadau wengine muhimu kwa lengo la kuimarisha mifumo ya afya na ustawi wa wanamichezo nchini kenya.
- Title
- Rais Ruto akutana na rais wa FIFA Gianni Infantino
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Serikali ya kenya na shirikisho la kandanda duniani fifa, zitaimarisha uhusiano katika jitihada za kukuza vipaji vya kandanda kutoka ngazi ya chini hadi ngazi ya kitaifa. Muhimu katika uhusiano huo ni msaada wa kiufundi na maendeleo ya miundombinu nchini kenya.
- Title
- Gavana wa kaunti ya Turkana Jeremiah Lomurukai ahamia UDA
- Runtime
- 3:32
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya kaunti ya Uasin Gishu watoa wito wa amani
- Runtime
- 2:09
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya kaunti ya Uasin Gishu, limeanzisha kampeni inayowalenga vijana waliohitimu umri wa miaka kumi na nane kujisajili kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
- Title
- Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku atetea utendakazi wake wa miaka kumi ya uongozi
- Runtime
- 4:05
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku ametetea utendakazi wake wa miaka kumi ya uongozi, akisema sekta muhimu kama afya, elimu, ardhi, maji na miundombinu zimeimarika chini ya uongozi wake. Akizungumza katika hafla ya kuangazia utendakazi wake iliyoandaliwa mjini Kajiado, Lenku amesema atatumia muda uliosalia kabla ya kumaliza muhula wake wa pili kukamilisha ahadi alizowapa wakazi wa Kajiado.
- Title
- Wakazi wa Laikipia Magharibi walalamikia uuzaji wa pombe haramu
- Runtime
- 1:10
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- IEBC yatakiwa kuhakikisha walemavu wanapiga kura bila vikwazo
- Runtime
- 1:34
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wadau wa masuala ya ulemavu sasa wanaitaka IEBC kuweka mazingira bora yatakayowawezesha watu wenye ulemavu wa kusikia kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
- Title
- Wakazi zaidi ya 5,000 wapata ajira kaunti ya Kitui baada mwekezanji kujenga kiwanda cha simiti
- Runtime
- 1:44
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wakazi zaidi ya 5, 000 kutoka kaunti ya Kitui wamefaidika kwa kupata ajira baada mwekezanji kujenga kiwanda cha simiti eneo la Kyuso .
- Title
- Lamu yajiandaa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta
- Runtime
- 1:42
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Maandalizi ya hafla Ya kuekwa Kwa jiwe la msingi Kiwanda cha kusafisha mafuta chenye thamani ya Zaidi ya trilioni mbili huko lamu yamekamilika.
- Title
- Mahakama Kuu mjini Kapsabet yasikiza kesi kuhusu uchimbaji migodi haramu
- Runtime
- 1:45
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mahakama Kuu mjini Kapsabet imeanza kusikiliza rasmi kesi inayowakabili watu watano wanaodaiwa kuhusika na uchimbaji wa migodi kinyume cha sheria uliosababisha vifo vya wafanyakazi watatu katika eneo la Karebe, Tinderet, miaka mitatu iliyopita.
- Title
- Wakazi wa Murang'a wataka JSS zipewe uhuru wa kujisimamia
- Runtime
- 2:07
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wakazi wa Murang'a wametoa maoni kuhusu miswada ya sekta ya elimu. Wametaka shule za Junior Secondary School zipate uhuru zaidi wa kujisimamia.
- Title
- Wakenya wahimizwa kukumbatia utamaduni katika mtaala wa CBE
- Runtime
- 2:16
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wakenya wamehimizwa kuzingatia maadili na utamaduni katika mfumo wa elimu unaotegemea umahiri. Pia kuna wito wa kuunganisha utalii na elimu tendaji katika utekelezaji wa CBE.
- Title
- Migogoro ya ardhi Pwani yatajwa kuwa kizingiti cha uwekezaji
- Runtime
- 1:58
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Chama cha wajenzi wa kibinafsi kimetaka serikali za kaunti kutoka pwani pamoja na serikali kuu kushughulikia mizozo ya umiliki wa ardhi wakisema ndio changamoto kuu katika uwekezaji na kukua kwa miji.
- Title
- Naibu rais Kithure Kindiki atoa wito wa umoja mlima Kenya
- Runtime
- 1:38
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewataka wakazi wa mlima kenya kuepuka siasa za migawanyiko .
- Title
- Familia ya Dennis Oremo Osiemo yakanusha madai ya kujinyonga
- Runtime
- 1:45
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Familia moja kutoka Iranya katika eneo bunge la Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira, imeandamana pamoja na wakazi wakita haki baada ya mwana wao kudaiwa kufariki mikononi mwa polisi.
- Title
- Mwanaume akabiliwa na kesi ya kumuua shemeji yake Shinyalu kaunti ya Kakamega
- Runtime
- 1:54
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Maafisa wa polisi eneo bunge la shinyalu kaunti ya Kakamega wanamzulia mwanamme mmoja wa miaka 29 kwa jina desmond kirishi, kwa tuhma za kumuua kwa kumkatakata shemeji yake na kisha kumjeruhi mwanawe wa miaka minne .
- Title
- Washukiwa wanne wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu wafikishwa mahakamani Milimani
- Runtime
- 0:49
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Washukiwa wanne wa mauaji ya wakili kyalo mbobu wakiwemo maafisa wawili wa polisi wamefikishwa katika mahakama ya milimani. Upande wa mashtaka unaomba kuwazuiliwa julius cheruiyot, nicholas lemiso, noah kipkirui na kennedy kipkemei kwa siku 30 kuwaruhusu kukamilisha uchunguzi.
- Title
- Polisi wadaiwa kuwapiga risasi mifugo kaunti ya Samburu
- Runtime
- 4:32
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Mwanaharakati Muteti Mulinge apatikana Mlolongo baada ya kuripotiwa kutoweka
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mwanaharakati Muteti Mulinge, anaendelea kupokea matibabu hospitalini baada ya kuokotwa eneo la Lukenya huko Athi river alikotupwa na waliomteka nyara baada ya Siku nne ....
- Title
- | Shajara na Rashid | Simulizi ya Lester odhiambo: Anaugua maradhi ya upungufu wa damu[Part 2]
- Runtime
- 20:56
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | Shajara na Rashid | Simulizi ya Lester odhiambo: Anaugua maradhi ya upungufu wa damu[Part 1]
- Runtime
- 31:55
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Broad-Based leaders led by Farouk Kibet rubbish off Uhuru’s claim that Raila won the 2022 election
- Runtime
- 0:49
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Title
- | Shajara na Rashid | Simulizi ya Stanley Ohera ambaye anaugua ugonjwa wa ngozi
- Runtime
- 12:34
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Kilome, kaunti ya Makueni yatengewa KSh 2.2B kwa usambazaji wa umeme
- Runtime
- 1:24
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Serikali imetenga takriban shilingi bilioni mbili nukta mbili za kusambaza umeme katika kaunti ya makueni.
- Title
- Wakazi Kwale wahamasishwa kuhusu usalama wa GMO
- Runtime
- 2:18
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mamlaka ya kitaifa ya usalama wa bioteknolojia imeendesha uhamasishaji kuhusu vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO) katika eneo la Kinondo kaunti ya Kwale.
- Title
- Walemavu wa kusikia wataka serikali iajiri watafsiri wa lugha ya ishara
- Runtime
- 1:42
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Walemavu wa kusikia na kuongea katika kaunti ya Tana River wanaomba serikali kuu na ya kaunti kuajiri wakalimani wa kuwatafsiria mahitaji yao kwenye ofisi za umma.
- Title
- Bomet yasisitiza haki za watu Wenye ulemavu wa kusikia
- Runtime
- 0:49
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Idara ya jinsia,utamaduni na huduma za kijamii ya kaunti ya Bomet ilijiunga na jamii ya walemavu wa kusikia kuadhimisha siku ya kimataifa ya walemavu wa kusikia.
- Title
- Maseneta wataka kaunti zipewe nafasi katika usimamizi wa hifadhi za vivutio vya utalii
- Runtime
- 1:40
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Baadhi ya maseneta wameitaka serikali ya kitaifa kuweka mfumo maalum wa kisheria Utakaoruhusu baadhi ya hifadhi za taifa na maeneo ya vivutio vya utalii kama marine park kusimamiwa na serikali za kaunti. Seneta wa kilifi Stewart madzayo na mwakilishi wadi wa shella twahir Abdulkarim wamesema wakati umefika ambapo serikali ya kitaifa inapaswa kuipa nafasi serikali ya kaunti ya kilifi mamlaka ya kuchukua usimamizi wa rasilimali hizo kama kaunti za narok na ile ya kajiado.
- Title
- Wakazi Nyandarua watoa maoni kuhusu miswada ya elimu
- Runtime
- 2:14
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wadau mbalimbali wa elimu kutoka Kaunti ya Nyandarua walipata fursa ya kuwasilisha mapendekezo yao katika mchakato unaoendelea wa ushirikishwaji wa umma na vikao vya kusikiliza maoni kuhusu Miswada sita (6) ya elimu iliyopendekezwa.
- Title
- Walimu wa KNUT walalamikia kuhamishwa KUPPET bila kujulishwa
- Runtime
- 1:55
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Chama cha walimu wa shule za msingi KNUT tawi la Kaskazini mwa bonde la ufa, kimekosoa tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC kwa kile wanachodai,tume hiyo inashirikiana na KUPPET kuwahamisha baadhi ya wanachama wake kuingia KUPPET bila idhini yao.
- Title
- KUPPET yatishia kususia mitihani ya kitaifa
- Runtime
- 1:25
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Uongozi wa KUPPET umetishia kuwashawishi wanachama wake kususia Usimamizi wa mitihani yote ya Kitaifa ikiwemo KPSEA, KCSE miongoni mwa mingine mwaka huu.
- Title
- Mradi wa maji Mwea-Makima wapunguza magonjwa yanayotokana na maji
- Runtime
- 2:39
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mradi wa maji wa Mwea-Makima umeelezwa kuwa umechangia kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maji. Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amezindua mradi huo unaolenga kuboresha upatikanaji wa maji kwa wakazi wa eneo hilo.
- Title
- Wakazi wa Mundeku, Butere, wanakabiliwa na tatizo la funza
- Runtime
- 2:17
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Uvamizi wa funza umetajwa kuwa donda sugu miongoni mwa wakazi wa mundeku eneo la eshitswitswi wadi ya marama central eneo bunge la butere kaunti ya kakamega. Aidha, asilimia kubwa ya kina mama hukosa kuhudhuria kliniki kutokana na umbali wa hospitali .
- Title
- Kaunti ya Garissa yahimizwa kupanda miti kukabiliana na athari za mvua
- Runtime
- 1:49
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wakazi wa Garissa wamehimizwa kuongeza juhudi za upanzi wa miti kama sehemu ya hatua za kukabiliana na changamoto za mazingira na athari zinazoweza kuletwa na mvua.
- Title
- Kaunti ya Kakamega yajiandaa kwa El Niño
- Runtime
- 1:30
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwa serikali yake imeweka mikakati kabambe ya kukabiliana na athari hasi za mvua ya el nino. akizungumza katika makao makuu ya kaunti mjini kakamega, gavana barasa amewashauri wachimbaji madini Ikolomani, Shinyalu, Lugari, Khwisero na Lurambi kusitisha shughuli hizo kwa muda hadi mvua iishe.
- Title
- Mashindano ya riadha 2029 yalenga kukuza utalii bonde la ufa
- Runtime
- 1:21
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Sekta ya utalii katika Bonde la Ufa inaangazia fursa zinazoweza kuibuliwa na Kenya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 2029. Wadadisi wa sekta hiyo wanataka tukio hilo litumike pia kutangaza vivutio vya utalii katika eneo hilo
- Title
- Kenya Tourism Board yaweka kaskazini mwa Kenya kwenye ramani ya utalii
- Runtime
- 1:02
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Bodi ya utalii ya Kenya imezindua kampeni ya “Hapa Ni Wapi” inayolenga kukuza utalii wa ndani, huku Kaskazini mwa Kenya ikiwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kupewa kipaumbele.
- Title
- Wafanyabiashara Embu watoa wito wa amani kabla ya uchaguzi
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Wafanyabiashara mjini Embu wanawataka wanasiasa na wafuasi wao kudumisha amani na kuvumiliana kisiasa, wakionya kuwa biashara huwa miongoni mwa sekta zinazoathirika kwenye ghasia za kisiasa.
- Title
- Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka aitaka IEBC kuhakikisha uchaguzi wa 2027 ni huru
- Runtime
- 2:38
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Viongozi wa upinzani wanazidi kuishinikiza tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa huru na wa haki baada ya madai ya wizi wa kura katika chaguzi zilizopita kuchipuka.
- Title
- Seneta wa Samburu ataka uchunguzi baada ya mifugo kuuawa
- Runtime
- 1:36
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Maseneta Lelegwe Ltumbesi wa Samburu na mwenzake Lenku Seki Ole Kanar wa Kajiado wameishtumu serikali baada ya mifugo kuuwawa na watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa polisi huko Losesia kaunti ya Samburu. wakizungumza huko malindi kwenye kikao cha seneti mashinani, wameitaka wizara ya usalama kuwachukulia hatua maafisa wa polisi wanaodaiwa kuwauwa mifugo hao.
- Title
- Polisi wadaiwa kuwapiga risasi mifugo Samburu
- Runtime
- 4:27
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Malalamiko yameibuka kuhusu operesheni ya usalama katika eneo la Losesia, Samburu, ambapo viongozi wanadai mamia ya mifugo waliuawa. Seneta wa Samburu Lelegwe Ltumbesi ameitaka serikali kuchunguza operesheni hiyo na kubaini waliohusika.
- Title
- Mwanaharakati Muteti Muling'e aripotiwa kupatikana Mlolongo baada ya kutoweka
- Runtime
- 0:52
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Mwanaharakati Muteti Mulinge, aliyeripotiwa kutoweka wakati wa vurugu zilizotokana na maandamano ya Kizza Besigye, amepatikana akiwa hai baada ya kutupwa eneo la Mlolongo.
- Title
- | DAY BREAK | Politics of kingship
- Runtime
- 23:07
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Uhuru: Raila won the poll
- Runtime
- 33:17
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | News Headlines
- Runtime
- 35:44
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | SAM'S SENSE | FUNDS ACCOUNTABILITY: PLEASE EXPLAIN
- Runtime
- 5:16
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- Last week the controller of budget Dr. Margaret Nyakang’o raised critical questions as to the accountability and transparency of various government agencies in deployment of resources. And she eloquently explained the step-by-step of how public finance is administered following a primary document called a budget, generated by a government, be it national or county.
The architecture that is the constitution intended public finance to be over sighted in an almost real-time style with regular reports of how the government was doing. And then at the end, the controller told how concerning it was becoming with the government increasingly establishing special funds that are outside the regular framework of checks and balances.
She particularly explained that the growing funds such as the national infrastructure fund, sovereign wealth fund, social health insurance fund, primary healthcare fund, affordable housing levy fund and more were slowly but surely departing ...
- Title
- | YVONNE'S TAKE | NEW YORK WALK OF SHAME
- Runtime
- 4:41
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- I have a question.
What did we do with our lives before social media?
How did we prove we were working? How did our bosses know we were busy? How did governments account for what they had actually done? How did we survive without the all-important photograph?
Because these days, if it didn't make it to LinkedIn, Instagram, Facebook or X, did it even happen?
We are living in the age of performative productivity.
Everyone is working.
Everyone is meeting.
Everyone is “engaging stakeholders.”
Everyone is “having fruitful discussions.”
Everyone is “delighted to announce.”
And, thank God, someone is always there to film it.
Our leaders travel abroad and, suddenly, we are treated to a tour of their walking skills.
Here they are walking out of the airport.
Here they are walking into a meeting.
Here they are walking through a train...
- Title
- KAIKAI'S KICKER | DEAR LUO, DEAR KIKUYU...
- Runtime
- 2:41
- Date posted
- 14 days ago
- Description
- On my kicker tonight, I cede the platform to a man whose name I do not know and a Kenyan I have never met — but a true patriot whose very short video is loaded with pure wisdom.
As the politics of tribe begin to rear their ugly head in the campaigns ahead of 2027, this gentleman will surely stand out as a voice of reason. He speaks about tribe, as I do here, as I donate the kicker for the delivery of a message addressed to members of the Kikuyu and Luo communities.
Let us listen carefully…
UPS — The video of the man speaking to Kikuyu and Luo
Nothing useful to add. Sisemi kitu. Are you Luo or Kikuyu? Tafakari hayo.
That is my kicker.

