Citizen TV Kenya
CITIZEN NIPASHE ~ SEP 30, 2026
- Title
- CITIZEN NIPASHE ~ SEP 30, 2026
- Runtime
- 29:39
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Mombasa United, Kariobangi Sharks kukutana katika mchujo wa KPL
- Runtime
- 1:33
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Timu ya Mombasa United kutoka Pwani itamkaribisha Kariobangi Sharks kesho alasiri katika mkondo wa kwanza wa mchujo wa kutafuta nafasi katika Ligi Kuu ya Kenya (KPL).
Baada ya karibu miezi mitatu ya mvutano, Shirikisho la Soka la Kenya lilibadilisha msimamo wake wa awali wa kutofanyika kwa mechi za mchujo na kufuata maagizo ya mahakama ya kuanzisha ligi chini ya sheria za FKF za mwaka 2019.
- Title
- Kilimo Biashara | Sayansi yaimarisha uzalishaji wa nyama ya ng’ombe nchini
- Runtime
- 3:20
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Sayansi na ubunifu kwenye uzalishaji wa nyama ya ng’ombe zinawawezesha wafugaji wa humu nchini kuboresha mapato yao. Katika kituo cha Taasisi ya Utafiti wa Mifugo na Kilimo Kalro, watafiti wanatumia sayansi kuboresha mifugo na lishe na kubuni malisho yanayostahimili mabadiliko ya hali ya hewa ili kuziba nakisi ya nyama nchini. Denis Otieno alizuru kituo cha Kalro katika Kaunti ya Nakuru na kututayarishia makala haya ya Kilimo Biashara.
- Title
- Wapiga picha sita watunukiwa Sh4.5 milioni kwa kuangazia mabadiliko
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Wapiga picha na watayarishaji wa video sita nchini wametunukiwa jumla ya Sh4.5 milioni kwa kuandika na kuwasilisha hadithi zinazoangazia mabadiliko katika jamii mbalimbali nchini.
- Title
- Kenya's gold feature | Boer goat farming
- Runtime
- 46:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Title
- Collins Otieno asimulia masaibu ya siku tatu za utekaji
- Runtime
- 1:46
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Mwanaharakati Collins Otieno amezungumzia kuhusu masaibu yake ya siku tatu mikononi mwa watekaji nyara wake ambao anadai walikuwa maafisa wa polisi.
- Title
- Marais wanne wa kigeni waunga mkono mradi wa Dangote Lamu
- Runtime
- 2:24
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Marasi wanne wa mataifa ya Kigeni wakiongozwa na Yoweri Museveni wa Uganda wameunga mkono mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika kaunti ya Lamu, wakisema utaendeleza maendeleo barani. Aidha, serikali, wakazi na viongozi wametakiwa kuunga mkono juhudi za wawekezaji wa kigeni kufanikisha biashara zao ili kuboresha uchumi wa nchi
- Title
- Mashahidi wasimulia dakika za mwisho za Tob Cohen
- Runtime
- 1:26
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Tob Cohen wameelezea mahakama kuhusu dakika zake za mwisho kabla ya kutoweka usiku wa tarehe 19 Julai, mwaka wa 2019, na mwili wake kupatikana siku 60 baadaye
- Title
- Kalonzo ataka taratibu zifuatwe kabla ya mradi wa Dangote
- Runtime
- 2:39
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametaka utaratibu unaofaa kufuatiliwa kabla ya kuanzishwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote kilichozinduliwa kaunti ya lamu. Kalonzo aliyepongeza ujenzi wa Kiwanda hicho hata hivyo amemsuta Rais William Ruto kwa kutumia kifua kusukuma mradi huo, akimshutumu kwa kutozingatia lalama za wakazi na kupuuza sheria. Kalozno pia amepuuzilia mbali madai kuwa ananuia kuusaliti upinzani na kushirikiana na serikali, kwenye kinyang’anyiro cha mwaka 2027.
- Title
- Maaskofu wa Pentecostal wataka ufafanuzi kuhusu mradi wa Dangote
- Runtime
- 2:23
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Muungano wa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya Pentecostal kote nchini umemtaka Rais William Ruto kushughulikia wasiwasi unaozunguka mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote katika Kaunti ya Lamu, huku ukisisitiza kuwa mradi huo unapaswa kuendelea kama ulivyopangwa.
Maaskofu hao wamesema serikali lazima ieleze wazi athari na manufaa ya mradi huo kwa Wakenya, hasa wakazi wa maeneo yanayohusika.
Pia wameitaka serikali kuepuka kutumia nguvu katika kutekeleza mradi huo.
- Title
- Mahakama yaidhinisha usajili wa Linda Mwananchi
- Runtime
- 2:43
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Ni afueni kwa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna baada ya Mahakama ya kutatua migogoro ya Vyama vya Siasa kuidhinisha Mrengo wa Kisiasa wa Linda Mwananchi kusajiliwa kama chama na kumtaka msajili wa vyama vya kisiasa kutenga jina la chama hicho katika chini ya muda wa siku saba. Mahakama hiyo imebaini kwamba uamuzi wa msajili wa vyama vya kisiasa John Cox Lorionokou kukataa kusajili chama hicho ni Kinyume na Sheria na unyanyasaji wa haki za viongozi wa Linda mwananchi.
- Title
- Viongozi wakosoa uwekezaji wa Lafarge barani Afrika
- Runtime
- 2:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Mtafaruku katika biashara ya saruji barani Afrika uliibuliwa wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha lamu , huku viongozi wakimlaumu mwekezaji wa kifarasa Joseph-Auguste Lafarge. Rais wa zamani wa Nigerian Olusegon Obasanjo amesema kuwa uwekezaji wa kampuni ya Lafarge barani afrika haukufanywa kwa nia njema, huku rais William Ruto akishabikia kutwaliwa kwa sekta ya saruji na wamiliki kutoka kenya na afrika mashariki.
- Title
- Dangote azindua mradi wa kiwanda cha mafuta Lamu
- Runtime
- 3:31
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Aliko Dangote amejenga himaya ya kibiashara na viwanda barani Afrika kwa miaka kadhaa. Kiwanda chake cha kusafisha mafuta chenye thamani ya dola bilioni 16, kilichozinduliwa kw aujenzi hii leo huko Lamu, kitakuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya uwekezaji katika sekta binafsi kuwahi kufanywa nchini, na kinatarajiwa kubadilisha pakubwa jinsi eneo hili linavyopata mafuta yake. Bilionea huyo ambaye ni mpole na asiye na majivuno, anatambulika na baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi barani Afrika.
- Title
- Ruto: Malalamishi ya ardhi Lamu yatatatuliwa kwa haki
- Runtime
- 3:04
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Rais William Ruto amesema malalamishi ya wakazi wa Lamu kuhusu zaidi ya ekari 7,000 za ardhi yatasikilizwa na kutatuliwa kwa haki.
Ruto amesema wakazi hao watakuwa mstari wa mbele kunufaika na mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi katika kaunti hiyo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo, mwekezaji Aliko Dangote amesema kiwanda hicho chenye thamani ya Sh2.2 trilioni kitakamilika ndani ya miaka mitatu na kutoa ajira 60,000 kwa Wakenya.
- Title
- Six Kenyan creatives win Sh4.5m for community stories
- Runtime
- 1:36
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Six Kenyan photographers and videographers have been awarded a total of Sh4.5 million for documenting stories of transformation in communities across the country.
The six were recognised during the inaugural Safaricom and M-PESA Foundations Capture the Good Challenge, which saw creators showcase stories of transformation in education, health and economic empowerment.
- Title
- Gachagua pledges tax incentives for job-creating investors
- Runtime
- 1:33
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- DCP party leader Rigathi Gachagua says his government would introduce tax incentives for investors who demonstrate the capacity to create jobs if he is elected president.
Gachagua says the incentives would be aimed at attracting more investment into Kenya while encouraging existing investors to expand their businesses and create more employment opportunities.
- Title
- NCIC warns politicians against inciting language
- Runtime
- 1:18
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The National Cohesion and Integration Commission (NCIC) says it will take firm action against politicians who use inciting language at political rallies.
- Title
- Witnesses recount Tob Cohen’s final moments
- Runtime
- 1:50
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Witnesses in the murder trial of businessman Tob Cohen on Wednesday recounted his final known moments on the night of July 19, 2019, before he disappeared.
His body was discovered 60 days later.
- Title
- Citizen TV Live:
- Runtime
- 2:56:27
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Bishops urge clarity on proposed Dangote refinery
- Runtime
- 1:43
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Meanwhile, a section of bishops from across the country has called on President William Ruto to address concerns surrounding the proposed Dangote oil refinery in Lamu County, while insisting that the project should proceed as planned.
The bishops said the government should clearly explain the project’s potential impact and benefits to Kenyans, particularly residents of the affected areas.
They also urged the government to avoid using force to push the project through.
- Title
- Ruto launches Dangote refinery project in Lamu
- Runtime
- 1:09
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- President William Ruto has officially launched the construction of the Dangote East Africa Refinery in Lamu, saying the project will transform Kenya’s economic landscape.
Speaking after the groundbreaking ceremony in Lamu, business mogul Aliko Dangote said the refinery is expected to be completed within 40 months.
President Ruto and Dangote also vowed to address legal challenges brought by parties seeking to block the project.
- Title
- Groundbreaking Ceremony for the Dangote East Africa Oil Refinery in Lamu
- Runtime
- 2:10:56
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- President William Ruto and Africa's richest man, Aliko Dangote, are leading the groundbreaking ceremony for the 700,000-barrel-per-day oil refinery in Lamu, Kenya.
Several heads of state, led by Rwanda's Paul Kagame and President Yoweri Museveni of Uganda, have graced the occasion.
- Title
- Former Nigeria President Olusegun Obasanjo's Speech during groundbreaking for Lamu refinery
- Runtime
- 12:51
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Togo President speech during the groundbreaking ceremony of Dangote refinery in Lamu
- Runtime
- 7:17
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Ethiopia PM Abiy Ahmed's speech during the groundbreaking ceremony of the Dangote refinery in Lamu
- Runtime
- 4:04
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- President Yoweri Museveni's speech during the groundbreaking ceremony of Dangote refinery in Lamu
- Runtime
- 18:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- President William Ruto's speech during the groundbreaking ceremony of Dangote refinery in Lamu
- Runtime
- 43:19
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Aliko Dangote's speech during the groundbreaking ceremony of Dangote refinery in Lamu county
- Runtime
- 16:38
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Citizen TV Live:
- Runtime
- 1:15:12
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | JUKWAA LA AFYA "Magonjwa ya ngozi [Part 3]
- Runtime
- 9:13
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | JUKWAA LA AFYA "Magonjwa ya ngozi [Part 2]
- Runtime
- 24:23
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | Future of Dispute Resolution [Part 2]
- Runtime
- 1:06:12
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Chartered Institute of Arbitrators hosts the Takuka Conference
Participants include judges, arbitrators, mediators
Other participants: adjudicators, legal practitioners, academics
Delegates to examine how Africa can strengthen institutions
Conference to promote investment confidence in Africa
- Title
- | DAY BREAK | Future of Dispute Resolution [Part 1]
- Runtime
- 20:33
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Chartered Institute of Arbitrators hosts the Takuka Conference
Participants include judges, arbitrators, mediators
Other participants: adjudicators, legal practitioners, academics
Delegates to examine how Africa can strengthen institutions
Conference to promote investment confidence in Africa
- Title
- Citizen TV Live:
- Runtime
- 3:08:28
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Rais William Ruto aongoza hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu
- Runtime
- 4:04
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Kampuni ya Xiaomi yazindua simu mpya ya Redmi Note 17
- Runtime
- 1:23
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kampuni ya simu ya Xiaomi imezindua rasmi aina mpya ya simu redmi note 17, ikileta mitindo mitatu mipya ikiwa ni pamoja na toleo la kwanza kabisa la pro max, ambalo ni redmi note 17 pro max 5g.
- Title
- Wanawake kutoka kaunti ya Nandi walalamikia kunyanyaswa mitandaoni
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Mradi wa RESEA waibua fursa za kiuchumi kwa wanawake kaunti ya Kilifi
- Runtime
- 1:34
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Jamii imetakiwa kujumuisha kikamilifu wanawake katika miradi ya uchumi wa baharini ili kuwaimarisha kiuchumi katika sekta hiyo.
- Title
- President Ruto, DP Kindiki tour the site for Dangote EA oil refinery ahead of groundbreaking
- Runtime
- 1:21
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Title
- Wakazi na wafanyabiashara kaunti ya Uasin Gishu wapinga mswada wa kudhibiti tumbaku
- Runtime
- 1:09
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Baadhi ya Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu, wafanyabiashara na watumizi wa bidhaa za tumbaku wanapinga Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku wa mwaka 2024, unaopendekezwa na bunge la seneti.
- Title
- Tume ya NLC yazindua ripoti mpya ya kutatua dhuluma za kihistoria za ardhi Pwani
- Runtime
- 2:15
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Tume ya Kitaifa ya Ardhi nchini (NLC) imezindua ripoti mpya inayonuiwa kutatua dhulma za kihistoria kuhusu ardhi ukanda wa pwani.
- Title
- Mahakama yamzuia seneta wa Kisii Richard Onyonka kurudia matamshi dhidi ya gavana Simba Arati
- Runtime
- 1:53
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Mahakama kuu mjini Kisii imemzuia seneta wa Kisii Richard Onyonka kurudia matamshi aliyoyatoa dhidi ya Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati kutokana na mfumo wa uongozi wake.
- Title
- Gavana wa Kericho Eric Mutai awashambulia viongozi wa upinzani kwa kupinga miradi ya serikali
- Runtime
- 0:34
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Gavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kile alichokitaja kuwa ni kupinga miradi ya maendeleo ya serikali licha ya baadhi yao kuwa wamewahi kushikilia nyadhifa za juu serikalini ila hawakufanya mengi.
- Title
- Jamii ya Authaq wamtawaza Ali Bunow Korane kuwania ugavana Garissa 2027
- Runtime
- 3:10
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Jamii ya Authaq katika Kaunti ya Garissa imemtawaza aliyekuwa Gavana wa pili wa kaunti hiyo, Ali Bunow Korane, kuwania tena kiti cha ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Uamuzi huo umefikiwa kupitia kile viongozi wa jamii hiyo wanachokiita demokrasia ya maelewano, baada ya Mhandisi Moulid Mohamed Shuriye kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho.
- Title
- Tume ya NCIC yaonya wanasiasa dhidi ya semi za uchochezi wakati wa siasa
- Runtime
- 1:37
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Tume ya Uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC imesema itawachukulia hatua kali wanasiasa ambao wanatoa semi za uchochezi katika majukwaa ya kisiasa nchini.
- Title
- KWS latakiwa kuwaondoa ndovu wanaoshambulia wakazi eneo la Mosiro kaunti ya Kajiado
- Runtime
- 2:07
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini, KWS, limepewa makataa ya siku 7 kuwaondoa mamia ya ndovu wanaoendelea kusababisha vifo vya wakazi katika eneo la Mosiro, Kajiado Magharibi. Wakazi hao wanasema kisa cha hizi punde kinahusisha watu wanne waliofariki wiki jana baada ya kushambuliwa na tembo hao.
- Title
- Kaunti tano za Nyanza kunufaika na mpango wa viatamizi vya watoto wachanga
- Runtime
- 1:02
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kaunti za Kisumu, Nyamira, Siaya, Homa Bay, Kisii na Migori zitanufaika na mpango wa kupewa viatamizi kwa ajili ya watoto wachanga, hatua inayolenga kuimarisha huduma za afya kwa watoto katika maeneo hayo.
- Title
- Walimu katika kaunti ya Migori waitaka serikali kuboresha maslahi na mazingira ya kazi
- Runtime
- 0:37
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Kaunti ya Migori wametoa wito kwa serikali kuzingatia maslahi yao ya ajira na kuboresha mazingira ya kazi ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
- Title
- Mifumo endelevu ya maji na usafi wa mazingira yaimarishwa kukabiliana na athari za El Niño
- Runtime
- 3:43
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Huku utabiri wa mvua kubwa ya El Niño ukiendelea kuibua hofu ya mafuriko na kuenea kwa magonjwa yanayotokana na maji machafu, mifumo endelevu ya maji safi na majitaka inatajwa kuwa muhimu katika kulinda afya ya jamii na mazingira. Mradi wa Kenya wa usambazaji endelevu wa Maji na Usafi wa Mazingira katika Miji, unaendelea kuboresha huduma hizi mijini.
- Title
- Walemavu Uasin Gishu watangaza maandamano ya kila Alhamisi kudai Sh15 milioni
- Runtime
- 1:36
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Muungano wa walemavu katika kaunti ya Uasin Gishu umetangaza maandamano ya kila Alamisi kuishinikiza serikali ya kaunti hiyo kuwalipa fedha zao shilingi milioni 15 .

