Citizen TV Kenya
| Maskani na Rashid | Nyakati za siasa [Part 1]
- Title
- | Maskani na Rashid | Nyakati za siasa [Part 1]
- Runtime
- 16:05
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Wahudumu 186 wa afya kaunti ya Makueni wapata ajira ya kudumu baada ya miaka ya kandarasi
- Runtime
- 3:15
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wafanyikazi 186 wa idara ya afya waliokuwa wanahudumu chini ya mpango wa UHC na waliokuwa chini ya ajira ya kanadarasi tangu wakati wa ugonjwa wa covid 19 wamepata ajira ya kudumu baada maafikiano kati ya serikali kuu na zile za kaunti, serikali ya Makueni ikiwa ya kwanza kuwaidhinisha katika ajira ya kudumu wafanyikazi hao
- Title
- Sharp Shooter: Gachagua, his wife Dorcas test weapon handling and shooting skills in Texas, USA
- Runtime
- 0:51
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Title
- Viongozi wa Wamaasai kuandaa kikao Samburu kudai fidia kwa wafugaji
- Runtime
- 1:34
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Viongozi wa jamii ya Wamaasai kutoka kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wanatarajiwa kuandaa kikao Jumamosi hii katika Kaunti ya Samburu, kuendelea kuishinikiza serikali kuwafidia wafugaji waliopoteza mifugo wa waliouawa kwa kupigwa risasi huko Samburu Mashariki.
- Title
- Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa aunga mkono uwekezaji wa kiwanda cha Dangote nchini Kenya
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amekaribisha uwekezaji wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote nchini Kenya, akisema mradi huo unatoa fursa muhimu za kiuchumi kwa maelfu ya Wakenya kupitia kubuni nafasi za kazi, maendeleo ya biashara na mahitaji ya wataalamu wenye ujuzi.
- Title
- Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti aunga mkono Kalonzo Musyoka kuwania urais 2027
- Runtime
- 0:57
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ameendelea kumuunga mkono Kiongozi WA Wiper Kalonzo Musyoka kuwania urais 2027 akiangazia ajenda yake ya kuimarisha ugatuzi na kuhakikisha usambazaji sawa wa rasilimali kote nchini.
- Title
- Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya aitaka IEBC ichunguze madai ya usajili wa wapiga kura Uganda
- Runtime
- 2:19
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameendeleza wito wa kutaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, ichunguze madai ya usajili wa wapigakura nchini Uganda. Natembeya anasema wasiokuwa raia wa Kenya hawafai kuruhusiwa kushiriki katika uchaguzi nchini.
- Title
- Zaidi ya wanachama 100 wapewa mafunzo ya kukabiliana na athari za El Niño kaunti ya Tana River
- Runtime
- 1:59
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wanachama zaidi ya 100 wa kamati ya kudhibiti Majanga katika kaunti ya Tana River wamepokea mafunzo kuhusu namna ya kujihepusha na madhara ya mvua ya Elnino inayotarajiwa mwezi huu.
- Title
- Viongozi wa kidini kaunti ya Nyandarua wataka juhudi zaidi kukabiliana na pombe haramu
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Kutokana na ongezeko la visa vya vifo vya vijana vinavyohusishwa na ulevi, wa pombe haramu , viongozi wa kidini kutoka Kaunti ya Nyandarua wameomba juhudi za pamoja za kupambana na uovu huo.
- Title
- Wanaharakati watishia kurejea mahakamani kuhusu kelele eleo la Lavington kaunti ya Nairobi
- Runtime
- 1:24
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wanaharakati wa haki za mazingira wametishia kurejea mahakamani iwapo mamlaka ya kudhibiti mazingira nema haitachukua hatua kudhibiti kelele zinazotokana na vyumba vya burudani eneo la lavington, nairobi.
- Title
- Ugonjwa wa selimundu waendelea kuwa changamoto kwa familia kaunti ya Bungoma
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Ugonjwa wa seli mundu unaendelea kuwa changamoto kwa familia nyingi katika Kaunti ya Bungoma, huku serikali na wahisani wakihimizwa kuweka mikakati zaidi ya kuhakikisha waathiriwa wanapata huduma za afya na msaada unaohitajika.
- Title
- Wadau wapendekeza kamati ya kushughulikia msongo wa mawazo kwa wafanyakazi Kisumu
- Runtime
- 1:24
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wadau mbali mbali sasa wanapendekeza uundwaji wa kamati maalum itakayochanganua masuala ya afya ya akili miongoni mwa wafanyikazi kaunti ya Kisumu, ili kupunguza visa vya msongo wa mawazo
- Title
- Walemavu wa kusikia kaunti ya Murang’a waandaa matembezi ya kuhamasisha umma
- Runtime
- 1:23
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Huku ulimwengu ukiadhimisha Wiki ya uhamasiohsaji kuhusu walemavu wa kusikia, kikundi cha walemavu hao kaunti ya murang'a kilifanya matembezi ya kuhamasisha umma mjini murang'a.
- Title
- Maafisa wa kliniki kaunti ya Kakamega wavamia ofisi ya waziri wa afya
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Maafisa wa kliniki katika Kaunti ya Kakamega wameandamana na kuvamia ofisi ya Waziri wa Afya, wakishinikiza serikali ya kaunti kutia saini Mkataba wa Makubaliano (CBA).
- Title
- Mahakama ya Kangundo yaagiza kukamatwa kwa mashahidi watatu wa kesi ya wizi
- Runtime
- 1:00
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Mahakama ya Kangundo imetoa hati ya kukamatwa kwa mashahidi 3 muhimu katika kesi ya wizi wa kutumia nguvu baada ya mashahidi hao kupuuza wito wa kufika kortini kutoa ushahidi.
- Title
- Mahakama Mombasa yawaweka kizuizini washukiwa wawili kwa siku 21
- Runtime
- 1:04
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Mahakama ya Mombasa imeagiza washukiwa wawili akiwemo raiya mmoja wa tanzania kusalia korokoroni kwa muda wa siku 21,kuhusu tuhuma za kuwalaghai wananchi kwa kuwapulizia dawa za kupoteza fahamu.
- Title
- OCS wa kituo cha polisi cha Lumakanda kujua hatma ya ombi la dhamana katika kesi ya unajisi unajisi
- Runtime
- 1:46
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- OCS wa kituo cha polisi cha Lumakanda eneo bunge la Lugari Kaunti ya kakamega Wycliffe Kwendo atajua hatma yake hii leo iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la, baada ya kushtakiwa kwa madai ya kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 14.
- Title
- What's Cooking with Chef Elijah
- Runtime
- 40:44
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Kenyan sunrise eggs benedict
Sweet potato rösti, beef bacon, local greens
Avocado, lemon hollandaise
- Title
- Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki na familia yake katika ajali ya helikopta
- Runtime
- 0:47
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Mfanyabiashara wa zimbabwe mwenye uhusiano na rais william ruto wicknell chivayo amefariki pamoja na mkewe na watoto wawili kwenye ajali ya helikopta katika eneo la marondera jumatano jioni.
- Title
- Wanafunzi na walimu St. Kizito Litein watembea km 8 kuhamasisha kuhusu ulemavu wa kusikia
- Runtime
- 1:45
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wanafunzi na walimu wa shule ya walemavu wa kusikia ya St. Kizito huko Litein, Kaunti ya Kericho, wametembea kwa umbali wa kilomita nane kuadhimisha Siku ya Uhamasishaji kuhusu ulemavu huo.
- Title
- Wadau wa elimu wataka marekebisho ya mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu
- Runtime
- 2:03
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Wadau wa elimu wameitaka serikali kufanyia marekebisho mfumo mpya wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wakisema bado una changamoto nyingi.
- Title
- Walimu Samburu wapongezwa kwa kujitolea licha ya changamoto za usalama
- Runtime
- 3:38
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- Walimu Kaunti ya Samburu wamepongezwa kwa kujitolea kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kuhudhuria masomo licha ya changamoto za kiusalama na mazingira magumu ya kazi. Kwenye Sherehe iliyokuwa na kambi ya matibabu ya bure pamoja na mashindano ya michezo, maafisa wa elimu na walimu walieleza hatua umuhimu ambazo walimu wamepiga licha ya hali ngumu ya mazingira ya kazi katika kaunti ya Samburu.
- Title
- Citizen TV Live:
- Runtime
- 11:54:59
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | State of the nation [Part 2]
- Runtime
- 56:08
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- | DAY BREAK | State of the nation [Part 1]
- Runtime
- 19:56
- Date posted
- 5 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- JKLive News | 2027: THE ART OF WAR | PART 2
- Runtime
- 1:04:48
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- JKLive News | 2027: THE ART OF WAR | PART 1
- Runtime
- 24:39
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- 2027 London Marathon to feature elite races on separate days
- Runtime
- 1:06
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The 2027 London Marathon will be run over two days, on Saturday 24th April and on Sunday 25th April on the streets of London. London Marathon has adopted the unique new programme where the elite men and women's marathons will be run on separate days.
Up until 2026, the men and women marathon were run on the same day, but 2027 will see the two separated but run on the same course at the same time but on two different days. The one-off marathon weekend will begin with the elite men’s and elite men's wheelchair races on Saturday 24 April, whilst the elite women’s and elite women’s wheelchair races will take place on the second day on Sunday 25 April. The decision was settled by 2026 London Marathon champions and world-record holders Sebastian Sawe, who broke the historic two-hour barrier in London last year, and Catherine Debrunner, a four-time London champion and the current women’s wheelchair marathon record holder.
- Title
- Kenyan private sector calls for faster shift to circular economy
- Runtime
- 2:11
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The private sector in Kenya is calling for the acceleration of the shift towards a circular economy as businesses and policymakers seek to strengthen local production, reduce waste and build resilience amid growing geopolitical and economic uncertainties. Speaking during the 11th annual Kenya Private Sector Alliance (KEPSA) Circular Economy Conference, proponents of a circular economy argued that circularity could provide an opportunity for Kenya to make greater use of locally available resources, creating new business and improving livelihoods through employment in the recycling sector, which remains heavily informal.
They say commercial success and environmental wellbeing are increasingly intertwined, requiring businesses to consider how economic, environmental and social interests can be incorporated into their operations.
- Title
- Harambee Stars face Guinea in crucial Pamoja AFCON qualifier
- Runtime
- 0:45
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The national football team, the Harambee Stars, have an uphill task on Thursday night as they take on a wounded Guinea in their second match of the Pamoja AFCON qualifiers in Conakry.
The Stars arrived in Guinea two days before the match and have a big fight on their hands as they chase a positive result away from home. The team had a rough week and did not train for five days before facing Eritrea at the Nyayo Stadium on Saturday. A late Ryan Ogam goal saved them blushes as they salvaged a 1-1 draw. They face a wounded Guinea who lost 2-1 away to South Africa on Saturday. The match in Guinea will be played at the 15,000-seater 28th September Stadium in Conakry, kick-off 7pm East Africa Time.
- Title
- Mombasa United host Kariobangi Sharks in promotion playoff first leg
- Runtime
- 1:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Mombasa United will host Kariobangi Sharks on Thursday afternoon in the first leg of the Kenya Premier League promotion and relegation playoffs. After almost three months of back and forth, the Football Kenya Federation bowed down to pressure and changed their earlier stand of no playoffs and followed the court orders that directed the league to start under the 2019 FKF rules.
Under those rules, the third team in the National Super League plays the third from bottom team in the Kenya Premier League to determine the 18th team to join the KPL. Mombasa United had a good run in the NSL but stumbled in the last few matches to drop from first to third. They are now preparing for two of their biggest matches, the two legs playoffs against Sharks. They host the first leg at the Mbaraki Stadium before the second leg in Nairobi next week on Tuesday. Kariobangi Sharks arrived in Mombasa on Tuesday for the match that will be free entry for all fans.
- Title
- CBK licenses 29 digital lenders, raising regulated providers to 281
- Runtime
- 1:09
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The Central Bank of Kenya (CBK) has licensed an additional 29 digital credit providers, raising the number of regulated digital lenders in the country to 281.
The move comes on the back of the licensing of another 25 digital credit providers in July, further expanding the number of lenders operating under CBK’s oversight.
The Central Bank has received over 900 applications from digital credit providers since 2022, noting that the engagement has focused on business models, consumer protection, fitness and propriety of proposed shareholders, directors and management to ensure adherence to the relevant laws and, importantly, that the interests of customers are safeguarded.
CBK says other applications are at different stages in the process, largely awaiting the submission of requisite documentation.
According to the regulator, as of August 2026, licensed digital credit providers had granted 9,596,509 loans valued at 165.1 billion...
- Title
- JKLive News | Sep 30, 2026
- Runtime
- 52:35
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Kenya turns to science and innovation to boost beef production
- Runtime
- 2:59
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Kenya is turning to science and innovation to boost beef production and improve farmers’ returns.
At the KALRO Beef Research Institute in Lanet, Nakuru County, researchers are working on better cattle breeds, affordable feeds and climate-resilient pastures to help bridge the country’s meat deficit.
Denis Otieno tells us more on this week’s Smart Farm.
- Title
- Witnesses recount Tob Cohen’s final night before disappearance
- Runtime
- 3:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Witnesses in the murder trial of businessman Tob Cohen on Wednesday recounted his final known moments on the night of July 19, 2019, before he disappeared, only for his body to be discovered 60 days later.
Prosecution witnesses who worked at entertainment joints he frequented told the court that Cohen spent the evening enjoying his favourite whiskey before leaving shortly after midnight.
Ben Kirui has more.
- Title
- Abducted activist Collins Otieno recounts ordeal, demands justice
- Runtime
- 2:56
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Human rights activist Collins Otieno, who was abducted and later found dumped along Thika Road, is now demanding justice following a horrifying ordeal that left him with severe physical trauma.
As Franklin Wallah reports, Otieno narrated the ordeal at the hands of his captors.
- Title
- Sugar workers threaten strike over Sh2.7 billion salary arrears
- Runtime
- 1:27
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- The Kenya Union of Sugar Plantation and Allied Workers has threatened to cripple sugar production to demand salary arrears.
The workers say they will down their tools starting Thursday to push for the release of their salary arrears totalling 2.7 billion shillings.
The union’s Secretary General, Francis Wangara, called on millers to initiate a shutdown of the mills to cushion them from the losses that will arise from the strike.
The government had pledged to pay up to 5.6 billion shillings in arrears owed to sugar sector stakeholders upon the leasing of the public sugar factories in 2025.
- Title
- Tribunal clears way for Linda Mwananchi name reservation, orders Registrar to act
- Runtime
- 2:47
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- It’s a win for the Sifuna-led movement after the Political Parties Disputes Tribunal cleared the way for Linda Mwananchi to proceed with registration as a political party.
The Tribunal ordered the Registrar of Political Parties to reserve the name within seven days. The Tribunal found that the Registrar’s decision to reject the party’s registration was contrary to the law and violated the rights of Linda Mwananchi leaders.
Melita Oletenges reports.
- Title
- Dangote’s $16 billion Lamu refinery set to reshape East Africa’s fuel industry
- Runtime
- 4:42
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Aliko Dangote has spent decades building an industrial empire across Africa. Now, the world’s richest black man is making his debut in East Africa.
His 16-billion-dollar refinery planned for Lamu will be among the largest private investments ever undertaken in Kenya, and is expected to reshape how the region sources its fuel.
But behind this enormous investment is an unusually understated billionaire, whose influence stretches across African industry and into the corridors of political power.
Our reporter Jasmine Wambui now takes a look at Dangote’s oil, wealth and power.
- Title
- Pentecostal leaders urge Ruto to address Lamu residents’ concerns over Dangote refinery
- Runtime
- 2:41
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Pentecostal church leaders across the country are calling on President William Ruto to address growing concerns over the proposed Dangote oil refinery in Lamu County, even as they welcomed the KSh 2 trillion project.
The Bishops and Pastors Association (BPA) wants the government to clearly explain the project's impact and benefits, particularly to residents of Lamu, and avoid using force to push it through.
Willy Lusige reports.
- Title
- Kalonzo faults Ruto over Lamu refinery launch, dismisses Kenya Kwanza defection claims
- Runtime
- 2:55
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Wiper leader Kalonzo Musyoka has called out the government for ignoring what he says are legitimate concerns by a section of Lamu residents opposed to the construction of the Dangote Refinery.
Despite not being opposed to its setting up, Kalonzo accused President William Ruto of bypassing the due process to ensure its launch.
The Wiper leader has at the same time disputed claims that he is likely to ditch the opposition for Kenya Kwanza ahead of the 2027 presidential contest if he is not named the United Opposition’s flag bearer.
Kamau Mwangi has that report.
- Title
- Leaders criticise Lafarge over Africa cement business as Dangote expands regional footprint
- Runtime
- 3:54
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Intrigues in the cement manufacturing business in Africa came to the forefront during the Lamu refinery groundbreaking ceremony, with leaders laying the blame at the doorstep of former French investor Lafarge.
Former Nigerian President Olusegun Obasanjo said the company’s investment in Africa was not done in good faith, while President William Ruto celebrated the takeover of the industry by Kenyans and East Africans in the country.
Brenda Wanga reports.
- Title
- Museveni, African leaders back Dangote refinery, call for support for investors
- Runtime
- 3:11
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Ugandan President Yoweri Museveni led three other heads of state and government in voicing their support for the establishment of the historic Dangote East Africa Oil Refinery Plant by the Dangote Group.
The leaders called upon various actors in the investment sector, including governments, leaders and project-affected persons, to cooperate with investors and provide a conducive working environment to spur economic growth for the continent.
Seth Olale with the details.
- Title
- Ruto assures Lamu residents of fair land deal as Sh2 trillion Dangote refinery project begins
- Runtime
- 3:48
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- President William Ruto has assured that the concerns raised by the Lamu residents over the more than 7,000-acre piece of land where the Dangote East Africa Refinery will be built, will be addressed fairly, adding that locals and Kenyans at large stand to win big from the over Sh2 trillion project.
President Ruto, who led the ground-breaking ceremony for the project alongside multi-billionaire Aliko Dangote, said the project will be completed in 3 years, and would create more than 60,000 jobs locally.
As Emmanuel Too now reports, President Ruto and Dangote said they would take anyone planning to undermine the project head-on.
- Title
- Dangote proves Africa can drive its own industrial growth DP Kithure Kindiki
- Runtime
- 1:22
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Title
- CITIZEN NIPASHE ~ SEP 30, 2026
- Runtime
- 29:39
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- #CitizenTV #citizendigital
- Title
- Mombasa United, Kariobangi Sharks kukutana katika mchujo wa KPL
- Runtime
- 1:33
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Timu ya Mombasa United kutoka Pwani itamkaribisha Kariobangi Sharks kesho alasiri katika mkondo wa kwanza wa mchujo wa kutafuta nafasi katika Ligi Kuu ya Kenya (KPL).
Baada ya karibu miezi mitatu ya mvutano, Shirikisho la Soka la Kenya lilibadilisha msimamo wake wa awali wa kutofanyika kwa mechi za mchujo na kufuata maagizo ya mahakama ya kuanzisha ligi chini ya sheria za FKF za mwaka 2019.
- Title
- Kilimo Biashara | Sayansi yaimarisha uzalishaji wa nyama ya ng’ombe nchini
- Runtime
- 3:20
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Sayansi na ubunifu kwenye uzalishaji wa nyama ya ng’ombe zinawawezesha wafugaji wa humu nchini kuboresha mapato yao. Katika kituo cha Taasisi ya Utafiti wa Mifugo na Kilimo Kalro, watafiti wanatumia sayansi kuboresha mifugo na lishe na kubuni malisho yanayostahimili mabadiliko ya hali ya hewa ili kuziba nakisi ya nyama nchini. Denis Otieno alizuru kituo cha Kalro katika Kaunti ya Nakuru na kututayarishia makala haya ya Kilimo Biashara.
- Title
- Wapiga picha sita watunukiwa Sh4.5 milioni kwa kuangazia mabadiliko
- Runtime
- 1:07
- Date posted
- 6 days ago
- Description
- Wapiga picha na watayarishaji wa video sita nchini wametunukiwa jumla ya Sh4.5 milioni kwa kuandika na kuwasilisha hadithi zinazoangazia mabadiliko katika jamii mbalimbali nchini.
- Title
- Kenya's gold feature | Boer goat farming
- Runtime
- 46:01
- Date posted
- 6 days ago
- Description

