ITV Tanzania
🔴TAARIFA YA HABARI SEPTEMBA 23, 2026 - TANZANIA KUWANIA KITI BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI SEPTEMBA 23, 2026 - TANZANIA KUWANIA KITI BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA
- Runtime
- 1:00:41
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WANAWAKE KUCHAPWA VIBOKO MIGODINI SERIKALI YAAGIZA UCHUNGUZI
- Runtime
- 3:05
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- #HABARI: Wanawake wanaojishughulisha na kazi za uchimbaji katika mgodi wa dhahabu wa Msasa, uliopo Wilayani Bukombe mkoani Geita, wameiomba Serikali kuuchukulia hatua uongozi wa mgodi huo kwa kuwachapa viboko na kuwataka rushwa.
Wakizungumza wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ruben Kwagilwa, wachimbaji hao, akiwemo Bi. Elizabeth Abudi na Bi. Caroline John, wameeleza kuwa wamekuwa wakichapwa kwa kushindwa kulipia shilingi elfu 20 za vitambulisho, huku pia wakitozwa rushwa ya shilingi elfu 60 kwa kila mwanamke anayetoka na makinikia.
Akizungumza na maelfu ya wachimbaji katika mgodi huo, Mhe. Ruben Kwagilwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Bukombe kuanza uchunguzi mara moja dhidi ya tuhuma hizo za udhalilishaji na kuwachukulia hatua za kisheria wote watakaobainika kuhusika.
Aidha, Naibu Waziri huyo amesisitiza kuwa Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali viongozi wa mgodi...
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: SEPTEMBA 23, 2026 -
- Runtime
- 10:35
- Date posted
- 9 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZAHURU: KUJUA KUOGELEA - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 1:18:30
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 4:50
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- NMB KUENDELEA KUPANUA MTANDAO KITAIFA NA KIMATAIFA KATIKA KUWAWEZESHA VIJANA
- Runtime
- 8:59
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Benki ya NMB imeendelea kupasua anga katika kuwawezesha vijana, wakiwemo wabunifu katika masuala ya Sayansi na Teknolojia, kupitia ushirikiano na taasisi za kitaifa na kimataifa, ikiwemo Chuo cha Nelson Mandela.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 3:55
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SEPTEMBA 23, 2026 - FURSA ZA BIDHAA ZILIZOTUMIKA
- Runtime
- 20:18
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SEPTEMBA 23, 2026
- Runtime
- 45:37
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA: SEPTEMBA 23, 2026 - MAONESHO YA MADINI GEITA
- Runtime
- 32:15
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI SEPT 23, 2026: LISSU KUTUPA KARATA YAKE YA MWISHO LEO
- Runtime
- 10:40
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: SEPT 23, 2026
- Runtime
- 30:40
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA: SEPTEMBA 22, 2026 -
- Runtime
- 10:15
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZAHURU: VIPAJI NA UJUZI KUWA FURSA - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 1:14:09
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAONESHO YA MADINI 2026: MAONESHO YA TISA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2026
- Runtime
- 18:35
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAONESHO YA MADINI 2026: ROYAL FAMILY SECONDARY SCHOOL
- Runtime
- 16:11
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAONESHO YA MADINI 2026: ROYAL FAMILY PRE AND PRIMARY SCHOOL
- Runtime
- 15:16
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 5:04
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 4:40
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 4:50
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MCHEZOSUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 5:26
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 4:20
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI SEPTEMBA 22, 2026 - MOTO WATEKETEZA SEHEMU YA SOKO LA MBAO SABASABA ILEMELA
- Runtime
- 58:45
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 45:56
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: SEPT 22, 2026
- Runtime
- 31:11
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA: SEPTEMBA 22, 2026 - MIKAKATI UPATIKANAJI UMEME KIPINDI CHA EL NINO
- Runtime
- 31:10
- Date posted
- 10 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- FULL STORY: ALIYEMTOLEA BASTOLA FEKI DEREVA WA BASI AKAMATWA-RPC ASIMULIA TUKIO ZIMA
- Runtime
- 7:37
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma Sath John Masawa (31) kwa kosa la kumtisha kwa kitu kilichodhaniwa kuwa ni bastola dereva wa basi la SATCO lenye usajili namba T308 EME aina ya Yutong aitwaye Said Fadhili (54), wakati akiwa anatoka kuweka mafuta katika kituo cha Total Energies na kudaiwa kukwangua gari mali ya TARURA lenye usajili namba STM 5806 aina ya Land Cruseir LX 70 series iliyokuwa ikiendeshwa na mtuhumiwa huyo.
Baada ya kuripotiwa kwa tukio hilo, Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio na kumkamata Sath John na baada ya kufanya upekuzi llifanikiwa kutambua kuwa kitu alichokuwa amevaa kiunoni ni toyi siyo silaha halisi kama ilvyodhaniwa na wananchi.
Jeshi la Polisi liligundua kuwa gari hilo lilikuwa halitumii namba za usajii halisi ambazo ni STM 5806 mali ya TARURA wakati wa tukio hilo bali namba za usajli T 881 ENZ ambayo ni gari mali ya mtu mwingine.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;...
- Title
- RAIS MWINYI AFIKA MSIBANI KWA MAMA FATMA KARUME
- Runtime
- 4:11
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- #HABARI: Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefika nyumbani kwa familia ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, Mbweni, Wilaya ya Magharibi 'B', Unguja, kutoa pole na rambirambi kufuatia kifo chake.
Mama Fatma Ghulam Hussein Ismail (MAMA Fatma Karume) aliyekuwa mjane wa Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar.
Rais Dkt. Mwinyi amefika nyumbani hapo kwa familia majira ya Adhuhuri na kusaini kitabu cha maombolezo na kutoa pole kwa wanafamilia, akiwataka kuwa na subira, uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao.
Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amewaomba wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki kuendelea kumuombea Marehemu Mama Fatma Karume, Mwenyezi Mungu amrehemu na amjaalie makaazi mema Peponi, huku akiwaombea wafiwa subira na moyo wa ustahimilivu.
Bi.Fatma Ghulamhussein Ismail aliezaliwa Bumbwini amefariki akiwa na umri wa miak...
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 4:40
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- DEREVA GUTA AMCHOMKEA BODABODA, PACHIMBIKA!
- Runtime
- 0:39
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- #HABARI: Timbwili la aina yake limeibuka maeneo ya Jangwani jijini Dar es Salaam kwa kile kilielezwa kuwa, ni baada ya dereva guta kumchomekea dereva wa bodaboda na kusababisha waanze kugombana.
Wawili hao ambao majina yao hayakuweza kupatikana kwa haraka, wamenaswa na kamera yetu wakiwa wanagombana wakiwa ni silaha kama bisibisi na mawe ambapo walisababisha foleni katika eneo hilo.
ITV Digital ilishuhudia shughuli zikisimama eneo hilo kwa muda kabla hawajashusha jazba na kuondoka eneo hilo.
- Title
- MAONESHO YA TISA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2026
- Runtime
- 10:56
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- #DAKIKA45: NA MKURUGENZI IDARA YA WAKIMBIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI, BW. SUDI MWAKIBASI
- Runtime
- 52:21
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴AIBUYAKO: UBEBAJI HUU MIZIGO NI HATARI VYOMBO VYA MOTO
- Runtime
- 6:41
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- SOKO LA MBAO SABASABA LATEKETEA KWA MOTO
- Runtime
- 3:41
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- #HABARI: Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeunguza sehemu ya Soko la Mbao Sabasaba, lililopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, na kusababisha hasara ya mamilioni ya shilingi kwa wafanyabiashara.
Moto huo ulizuka majira ya saa nane usiku na kuteketeza mitambo ya kuchana na kuranda mbao inayomilikiwa na baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo.
Juhudi za kuzima moto huo na kuzuia usienee katika maeneo mengine zimeendelea kufanywa na vyombo vya usalama.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SEPTEMBA 22, 2026 - FURSA KATIKA BIASHARA YA MCHELE
- Runtime
- 21:57
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 22, 2026
- Runtime
- 4:56
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI SEPT 22, 2026: AJALI ILIVYOUA POLISI WATANO NA MAHABUSU/ KOCHA SIMBA HESABU KALI
- Runtime
- 10:21
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA: SEPTEMBA 21, 2026 -
- Runtime
- 8:56
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZAHURU: KUKATA POINTI KWENYE LESENI YA UDEREVA - SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 1:08:35
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 3:50
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 4:40
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55 - SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 4:35
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 18:16
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MCHEZOSUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE - SEPTEMBA 21, 2026
- Runtime
- 2:20
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI SEPTEMBA 21, 2026 - LORI LA MAFUTA LAGONGA GARI YA POLISI, 12 WAFARIKI - SINGIDA
- Runtime
- 0:00
- Date posted
- 11 days ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- SHEHENA YA TANI 15 ZA MBEGU YAKAMATWA - MBEYA
- Runtime
- 8:21
- Date posted
- 11 days ago
- Description
-
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia Ayubu Charles (36) na Meshack Mwashimala (48), wote wakazi wa Itewe, kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya mbegu za mahindi ya wizi zenye ruzuku ya serikali yenye uzito wa zaidi ya tani 15.
Watuhumiwa hao walikamatwa Septemba 20, 2026, majira ya saa 11 jioni katika Mtaa wa Viwandani, Kata ya Mwakibete jijini Mbeya, kufuatia msako wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu.
Kukamatwa kwao kunafuatia taarifa zilizotolewa na Wakala wa Mbegu za Serikali (ASA) Kituo cha Polisi Mbeya majira ya saa 1:30 asubuhi, zikieleza kuibiwa kwa mifuko 375 ya mbegu hizo za mahindi.
Polisi walifanikiwa kuipata shehena hiyo yenye thamani ya Shilingi 56,250,000/= ikiwa imefichwa kwenye godown la kuhifadhia mizigo katika eneo hilo.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kutoa wito kwa wananchi kuacha tamaa ya kujipatia fedha kwa njia zisizo halali na badala yake wajishughulishe na k...
- Title
- 🔴KUMEKUCHA: SEPTEMBA 21, 2026 - WAHANDISI NA MAENDELEO YA TAIFA
- Runtime
- 25:21