ITV Tanzania
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 4:56
- Date posted
- 14 minutes ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- HADHI NA MAISHA YA WANANCHI DAR ES SALAAM INARUHUSU KUMILIKI.../ DAR ES SALAAM KUWA SMART CITY AFCON
- Runtime
- 6:28
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- #HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametembelea makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyopo Ilala na kulipongeza shirikisho hilo kwa weledi na uzalendo mkubwa unaoinua soka nchini.
RC Chalamila amepongeza mafanikio makubwa ikiwemo kufuzu kwa timu ya vijana ya wanaume (U-17) na timu ya Taifa ya wanawake (U-20) kuingia Kombe la Dunia, pamoja na Ligi Kuu ya NBC kuwa miongoni mwa ligi 10 bora barani Afrika.
Amesema mafanikio hayo yamechangiwa na uongozi imara na uwekezaji mkubwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika michezo, jambo lililoipa Tanzania heshima ya kuwa mwenyeji wa AFCON 2027.
Kuelekea mashindano hayo ya AFCON 2027, Chalamila ameeleza kuwa Rais Samia anaendelea kuboresha miundombinu ya barabara, maji, umeme na usalama, huku kukiwa na mkakati wa kuifanya Dar es Salaam kuwa "Smart City" ili kuratibu matukio yote kidigitali.
Aidha, ameahidi kuitisha kikao cha Halmashauri zot...
- Title
- SERIKALI INAKUJA NA MIKAKATI MIPYA YA KUDHIBITI UHALIFU MITANDAONI - KATAMBI
- Runtime
- 53:38
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 4:46
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 25, 2026
- Runtime
- 19:32
- Date posted
- 1 hour ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 4:31
- Date posted
- 2 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU- MEI 25 2026 - WACHINA MBARONI KWA KUTEKA WENZAO
- Runtime
- 1:00:41
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴DAKIKA 45 NA DKT. PIUS CHAYA - NAIBU WAZIRI MIPANGO NA UWEKEZAJI ...MEI 25, 2026
- Runtime
- 50:52
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA MICHEZO: .MEI 25, 2026
- Runtime
- 46:48
- Date posted
- 3 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...MEI 25, 2026:
- Runtime
- 28:21
- Date posted
- 4 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- UPANUZI WA KIWANDA CHA MAGARI CHA SATURN, MAELFU WANUFAIKA NA AJIRA
- Runtime
- 7:07
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- Serikali imesema mafanikio yaliyofikiwa na kiwanda cha kuunganisha magari aina ya Howo kinachomilikiwa na Saturn Corporation Limited ndani ya kipindi cha miaka miwili ni ushahidi wa ukuaji wa sekta ya viwanda nchini, huku uzalishaji, ajira na mapato ya Serikali vikiongezeka kwa kasi.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI, MEI 25, 2026
- Runtime
- 5:35
- Date posted
- 5 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴AFYAYAJAMII: JE, UNAZIJUA NAMBA SALAMA ZA VIPIMO KWA AFYA YA MWILI WAKO? - MEI 25 2026
- Runtime
- 1:18:48
- Date posted
- 6 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA: BARAZA LA MADIWANI LAKATAA SOKO LA JIONI - MEI 25, 2026
- Runtime
- 18:49
- Date posted
- 6 hours ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WACHINA WANNE WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUWATEKA WENZAO
- Runtime
- 6:44
- Date posted
- 9 hours ago
- Description
- #HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia raia wanne wa China kwa tuhuma za kuwateka wachina wenzao wawili eneo la Jengo pacha la PSSF lililopo stesheni Jijini Dar es Salaam na kudai dola milioni ishirini kutoka kwa ndugu wa wachina hao ili wawaache huru.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
- Title
- SABABU ZA SELASINI KUHAMA NCCR MAGEUZI ZATAJWA
- Runtime
- 5:46
- Date posted
- 9 hours ago
- Description
- #HABARI: Mkuu wa Idara ya Sheria Katiba na Haki za Bindamu Faustin Sungura wa NCCR Mageuzi ametoa ufafanuzi juu ya sakata la kuhama kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Joseph Selesini ambaye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mei 22, mwaka huu kwa kutaja sababu mbalimbali za kuhama kwake.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
- Title
- 🔴MEZA HURU- KUAGIZA BIDHAA NJE YA NCHI - .MEI 25 2026
- Runtime
- 1:49:05
- Date posted
- 9 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- #BUNGELIVE. BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA THELATHINI NA SITA TAREHE 25 MEI, 2026
- Runtime
- 5:14:01
- Date posted
- 10 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 4:02
- Date posted
- 10 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- #MAPISHI: KUNG PAO CHICKEN, MAY 2026
- Runtime
- 17:11
- Date posted
- 11 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 4:02
- Date posted
- 11 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 5:14
- Date posted
- 12 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MEI 25, 2026
- Runtime
- 5:16
- Date posted
- 15 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA - MEI 22, 2026
- Runtime
- 9:11
- Date posted
- 18 hours ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAMASHA LA MICHEZO..MEI 24, 2026
- Runtime
- 1:25:11
- Date posted
- 21 hours ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU- MEI 24 2026 -KUTOKAMILIKA MIUNDOMBINU STENDI MAGUFULI PALALAMIKIWA
- Runtime
- 1:00:15
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MAMA LISHE MKURANGA WAASWA KUTUMIA NISHATI SAFI
- Runtime
- 5:01
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #HABARI: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Mariam Ibrahim, amewakutanisha mama lishe 55 wa Wilaya ya Mkuranga katika shindano la "Mkali wa Chapati" lililofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mkuranga.
Shindano hilo lililenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, ambapo mbunge huyo aliwashauri washiriki waliokuja na majiko ya mkaa kuacha matumizi yake na badala yake waanze kutumia majiko ya gesi kwa manufaa ya afya zao na uhifadhi wa mazingira.
Mhe. Mariam Ibrahim alimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa kampeni ya nishati safi, akisisitiza kuwa nishati hiyo ni mkombozi mkubwa kwa wanawake kwa sababu inalinda afya zao na kurahisisha kazi ya mapishi.
Alieleza kuwa akina mama hao wana kila sababu ya kumshukuru Rais kwa jitihada hizo zinazoinua ustawi wa mama lishe nchini.
Katika kuhitimisha shindano hilo, washindi wa kwanza hadi wa tano walizawadiwa fedha taslimu pamoja na zawadi nyingine, hu...
- Title
- KIJANA WA MIAKA 19 AFARIKI AKIOGELEA TABORA
- Runtime
- 4:10
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Kijana mwenye umri wa miaka 19, Adam Abdulahi, amefariki dunia baada ya kuzama kwenye dimbwi la maji katika eneo la Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, wilayani na mkoani Tabora.
Taarifa zinasema kijana huyo alikuwa akiogelea kwenye dimbwi hilo lililoachwa wazi baada ya shughuli za uchimbaji wa mchanga kukamilika, kabla ya kuzama na kupoteza maisha.
Wananchi wa eneo hilo wameeleza kusikitishwa na tukio hilo na kuonya kuhusu hatari ya madimbwi yanayoachwa bila kufukiwa au kuwekwa alama za tahadhari.
Wameiomba Serikali na mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kuhakikisha maeneo hayo yanadhibitiwa ili kuzuia matukio kama haya kujirudia.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- SIMANZI, VILIO VYATAWALA MWILI WA BHAOZANG KWENYE ENEO LA KUCHOMWA MOTO
- Runtime
- 3:12
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- #HABARI: Mke na mtoto wa marehemu Bhaozang Ge, ambaye alikuwa mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI wakilia kwa uchungu mwili wa mpendwa wao ulipokuwa ukiwasili katika eneo maalumu lililotengwa kwa ajili ya kuchomwa moto sehemu ya Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Mmiliki huyo raia wa China Bhaozang Ge (50), aliuawa na watu wanaodaiwa ni walinzi binafsi wa kiwanda hicho kilichopo Mabibo, Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumamosi ya Mei 16, 2026 saa nane usiku.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, MEI 24, 2026: WATUHUMIWA 642 WANASHIKILIWA NA POLISI KWA MAKOSA
- Runtime
- 27:01
- Date posted
- 1 day ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI.. MEI 24, 2026 - MWIGULU ABAINI NJAMA KUVURUGA AMANI, ASEMA UTEKAJI, HUJUMA ZA KIDINI
- Runtime
- 6:26
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA- MEI 23, 2026
- Runtime
- 10:11
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴WATOTO WETU: MEI 23, 2026
- Runtime
- 1:05:50
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU MEI 23, 2026 -RAIS MWINYI ASEMA HANA NIA KUONGEZA MUDA WA URAIS
- Runtime
- 1:00:30
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MOTO WATEKETEZA VIBANDA 9 SOKO LA KIBIRIZI, CHANZO MAHARAGE
- Runtime
- 1:51
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Jumla ya Vibanda 9 vya wajasiriamali wadogo vimeteketea kwa moto katika Kata ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji, chanzo cha awali cha moto huo kikielezwa kuwa ni mama lishe aliyeacha maharage kwenye jiko la kuni kisha kuendelea na majukumu mengine huku.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴KUMEKUCHA: MJADALA BUNGE LA BAJETI, MEI 23, 2026
- Runtime
- 27:51
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WAZIRI MKUU MWIGULU AONYA 'VIBARAKA' WENYE NIA OVU NA NCHI
- Runtime
- 13:44
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema vyama vya siasa vilivyosajiliwa kikatiba ndivyo vyenye dhamana ya kupendekeza wagombea katika nyadhifa mbalimbali za kuwakilisha wananchi na si madhehebu ya dini.
"Nchi yetu hii, utaratibu wa kupata viongozi wakuu wa nchi ni kupitia vyama vya siasa, hatujawahi kusimamisha wagombea wa madhehebu, tunatumia vyama vya siasa ndivyo katiba inavyosema"
Akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Mkoa wa Iringa, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, ametumia nafasi hiyo pia kuwaonya vibaraka wenye nia ovu ya kuharibu amani nchini kwa kueneza habari zinazopotosha wananchi na kwamba hawatofanikiwa.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WAZIRI MKUU ACHARUKA - ETI KATEKWA, KATESWA ANA PINGU NI... MICHEZO-MWIGULU
- Runtime
- 7:55
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- "Unakaa hivi sijui Padri katekwa, nimeona jana mtandaoni mtu katekwa, kaumizwa ana pingu, hizi ni ajenda maalumu, hii ni michezo, na hii michezo haijaanza jana, na Watanzania tuamke, hizi ni ajenda za watu wenye akili, naijua hii michezo" -Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri Mkuu wa Tanzania.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MCHAKATO WA TAIFA KATIKA SAFARI YA MARIDHIANO. JE, MAMBO GANI YAZINGATIWE KUEPUSHA MKWAMO?
- Runtime
- 1:42:11
- Date posted
- 2 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 22, 2026
- Runtime
- 19:56
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- MTENDAJI WA KIJIJI AUAWA KWA PANGA NJOMBE, MTUHUMIWA ABANWA ATAJA BANGI
- Runtime
- 4:16
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Mtendaji wa Kijiji cha Kiwe, Kata ya Mawengi Wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Peter Lamon Ng’ingo (55), ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga na mtu anayedaiwa kuwa ni mwananchi wa Kijiji hicho aliyetambulika kwa jina la Kalisto Philimoni Haule.
Mwili wa marehemu umepelekwa katika kituo cha Afya cha Mlangali mochwari huku taratibu za mazishi zikiendelea.
Akizungumza baada ya kufika Kijiji cha Kiwe kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wananchi wa eneo hilo, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Bwana Olivanus Thomas, amesema mtuhumiwa wa mauaji hayo amekamatwa na anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.
- Title
- #BUNGELIVE. BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA THELATHINI NA TANO TAREHE 22 MEI, 2026
- Runtime
- 2:45:26
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- WANANCHI WAMVAA DC KIBAHA KISA MGOGORO WA ARDHI/ WAMCHONGEA KWA RAIS
- Runtime
- 3:54
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- KAMBI YA WAGONJWA WA EBOLA ILIVYO CHOMWA MOTO CONGO
- Runtime
- 2:22
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MAGAZETI.. MEI 23, 2026 - SABABU YA VIKWAZO VYA MAREKANI KWA MAFWELE
- Runtime
- 7:11
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #itvtanzania#hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...MEI 23, 2026
- Runtime
- 29:10
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA - MEI 22, 2026
- Runtime
- 10:31
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- #itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴MEZA HURU- UTOFAUTI WA MZIKI WA ASILI NA MZIKI WA PESA- .MEI 22 2026
- Runtime
- 1:17:56
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 22, 2026
- Runtime
- 4:35
- Date posted
- 3 days ago
- Description
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
- Title
- 🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....MEI 22, 2026